Mama mzungu aliwahi?
Angalia muda wa screeshot ilivyochukuliwa na ulivyotoka comment ila sababu ni miaka 57 ya uhuru na bado unaona ufahari kuhusu i devices...siku ukiwa na imac naona hutalala mwezi mzimaOi rudisha simu ya watu dah kisa tecno umeenda azima uje uringishie
Haya panic na hapoAngalia muda wa screeshot ilivyochukuliwa na ulivyotoka comment ila sababu ni miaka 57 ya uhuru na bado unaona ufahari kuhusu i devices...siku ukiwa na imac naona hutalala mwezi mzima
Duuh kwaio hapo ndo umeongeeea mwenyewe sio? Shule nishamaliza kitambo sana sihitaji sponsorship, labda niku sponsor wewe maana bado unahisi Iphone X ni latest wakati kuna XS Max...Bhaaana weeee Sikia nikuambie Bro Baba ako anakutafutia sponsorship ukasome ulaya Na wewe unatafuta sponsor wakukufundisha ujuaji 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Haya panic na hapo
Duuh kwaio hapo ndo umeongeeea mwenyewe sio? Shule nishamaliza kitambo sana sihitaji sponsorship, labda niku sponsor wewe maana bado unahisi Iphone X ni latest wakati kuna XS Max...
Kama ulivyo wewe sio?Lack of education , lack of integrity . Diamond Platnum has to be more prudent concerning mambo ya serikali, I have been watching lately , amekua akijifanya mdomo mdomo simply because of his tittle . He has to watch out , he is too young n soft to battle with Jmagufuli
Even though he has encountered such problem at the airport , he was supposed to send the complaints kwa wahusika by writing emails , wangempuuza ndo angekua na haki ya kuongea in public , hyo management yake fucken stupid .
Mkuu hebu onesha ushamba kwenye post yake?!Huyo dogo bado uchokoraa ha haujamuisha. Mashamba japo anaweza dhani ni mjanja.
Tatizo elimu hamna mule. Pia, bado ana msongo baada ya kuachwa na Mganda sasa kile kitoto Ki-Kikuyu kinawaza mpini na pesa kama si kummaliza DomoKijana sikio linataka kuzidi kichwa. Nimesoma hiyo article yake anahaki ya kulalamika ila nafikiri angeenda mbali kwa kufikiri zaidi namna gani au utaratibu unaofaa, isipokuwa yeye amefanya personal attack"... next time itaweza kusababisha vurugu... watch out mdogo wangu
Wallahi Hakuna kitu niko makini nayo kama ratiba za UEFA aisee...seenYeah. Usije singizia fastjest kula kona ukachelewa iona hio ratiba pia
Fastjet ukichelewa pesa yako inaliwa no refund, check in yao wanafunga one hour before departure ukifika muda huo huingii na ndege unaiona.hivi kama mtu umechelewa flight shirika husika huwa anachukua hatua gani maana huyu msanii wa #@$$# alikili kuwa amechelewa flight
Sifa zikizidi mambo yanaharibika. Sababu alizotoa hazina mashiko. Wahusika wametoa tamko lao.
Dai ajiweke kistaa zaidi na busara badala jazba,jeuri etc. Mlezi wa WCB utawala wake unaishia dar tu
dogo mjinga sana yule anajiona kama waziri hv nadhani kauli za jana hata Magu zime mkera ila leo kaomba msamaha kiaina kaposti yupo kwenye ndege anajifanya anasifia ATCL na kwamba zinakuna zingine mbili...kalishwaaneno apost hivo ili mkuu asichukie...hasa ile kauli ya kusema ndo maana shirika huwa linakufa...