Ufafanuzi wa Diamond kuhusu kilichotokea jana uwanja wa ndege Mwanza

Ufafanuzi wa Diamond kuhusu kilichotokea jana uwanja wa ndege Mwanza

Oi rudisha simu ya watu dah kisa tecno umeenda azima uje uringishie
Angalia muda wa screeshot ilivyochukuliwa na ulivyotoka comment ila sababu ni miaka 57 ya uhuru na bado unaona ufahari kuhusu i devices...siku ukiwa na imac naona hutalala mwezi mzima
 
Bhaaana weeee Sikia nikuambie Bro Baba ako anakutafutia sponsorship ukasome ulaya Na wewe unatafuta sponsor wakukufundisha ujuaji 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Angalia muda wa screeshot ilivyochukuliwa na ulivyotoka comment ila sababu ni miaka 57 ya uhuru na bado unaona ufahari kuhusu i devices...siku ukiwa na imac naona hutalala mwezi mzima
Haya panic na hapo
 
Bhaaana weeee Sikia nikuambie Bro Baba ako anakutafutia sponsorship ukasome ulaya Na wewe unatafuta sponsor wakukufundisha ujuaji 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Haya panic na hapo
Duuh kwaio hapo ndo umeongeeea mwenyewe sio? Shule nishamaliza kitambo sana sihitaji sponsorship, labda niku sponsor wewe maana bado unahisi Iphone X ni latest wakati kuna XS Max...
 
hivi kama mtu umechelewa flight shirika husika huwa anachukua hatua gani maana huyu msanii wa #@$$# alikili kuwa amechelewa flight
 
Duuh kwaio hapo ndo umeongeeea mwenyewe sio? Shule nishamaliza kitambo sana sihitaji sponsorship, labda niku sponsor wewe maana bado unahisi Iphone X ni latest wakati kuna XS Max...
 
Lack of education , lack of integrity . Diamond Platnum has to be more prudent concerning mambo ya serikali, I have been watching lately , amekua akijifanya mdomo mdomo simply because of his tittle . He has to watch out , he is too young n soft to battle with Jmagufuli

Even though he has encountered such problem at the airport , he was supposed to send the complaints kwa wahusika by writing emails , wangempuuza ndo angekua na haki ya kuongea in public , hyo management yake fucken stupid .
Kama ulivyo wewe sio?
 
Ngoja tumuoneshe...

Amuulize mwenzake aliyesemaga haongei na nanilii... bali anaongea na mwenye nanilii, kilichomkuta...

Cc: mahondaw
 
Diamond is very right.. wanaosema he should watch outand be more prudent hawajui frustrations za mashirila yetu ya ndege. USE YOUR PLATFORM DIAMOND. I belive sweeping changes are coming. Mwanza ni Airport ya ki pimbi sanaa. It needs reform
 
Angesema wameuza siti yake hapo angewapa kazi ya kujibu kivingine.. sasa kusema tiketi na kajibiwa.

Ila hiyo ya wao mtu akishindwa kusafiri mengine 🤔🤔🤔
 
Kijana sikio linataka kuzidi kichwa. Nimesoma hiyo article yake anahaki ya kulalamika ila nafikiri angeenda mbali kwa kufikiri zaidi namna gani au utaratibu unaofaa, isipokuwa yeye amefanya personal attack"... next time itaweza kusababisha vurugu... watch out mdogo wangu
Tatizo elimu hamna mule. Pia, bado ana msongo baada ya kuachwa na Mganda sasa kile kitoto Ki-Kikuyu kinawaza mpini na pesa kama si kummaliza Domo
 
hivi kama mtu umechelewa flight shirika husika huwa anachukua hatua gani maana huyu msanii wa #@$$# alikili kuwa amechelewa flight
Fastjet ukichelewa pesa yako inaliwa no refund, check in yao wanafunga one hour before departure ukifika muda huo huingii na ndege unaiona.

Kwa mashirika mengine ukichelewa flight unatozwa penalty ili kusafiri na next available flight.
 
dogo mjinga sana yule anajiona kama waziri hv nadhani kauli za jana hata Magu zime mkera ila leo kaomba msamaha kiaina kaposti yupo kwenye ndege anajifanya anasifia ATCL na kwamba zinakuna zingine mbili...kalishwaaneno apost hivo ili mkuu asichukie...hasa ile kauli ya kusema ndo maana shirika huwa linakufa...
Sifa zikizidi mambo yanaharibika. Sababu alizotoa hazina mashiko. Wahusika wametoa tamko lao.

Dai ajiweke kistaa zaidi na busara badala jazba,jeuri etc. Mlezi wa WCB utawala wake unaishia dar tu
 
Wasiione misukule yake hii post wakakutukana balaa. Jamaa hawataki kuambiwa ukweli.

Kalewa sifa sana. Hapo kashindwa tu kuisingizia clouds na hili sakata

Back
Top Bottom