Ufafanuzi wa kina kuhusu Utatu Mtakatifu: Je, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni Mungu watatu?

Ufafanuzi wa kina kuhusu Utatu Mtakatifu: Je, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni Mungu watatu?

Mfano mwingine wa utatu mtakatifu Kwa ufafanuzi wa kibinadam tunaweza chukulia mfano
1. boss (Manager) akiwa ofisini, atafanya shughuli za kuongoza uzalishaji na kuitwa boss au CEO na watendaji wake.
2. Huyo huyo boss ana mke anayemwita mume na kutekeleza majukumu yake nyumbani Kwa mkewe
3. Huyo huyo boss ana watoto anaowajibika nao kama baba yao na majukumu yake ni kama mzazi

Kwa iyo Mungu ni mmoja katika nafsi tatu zinazotenda kazi tofauti ila lengo likiwa kuponya, kufariji, kulinda dhidi ya mwovu (Adui) na kufundisha yaliyo mema
Huu mfano sio sahihi. Hakuna mfano wa kibinadamu unaoweza kuelezea kikamilifu Utatu Mtakatifu
 
WAKATI MMOJA, SIKU SI NYINGI TUTAYAFAHAMU HAYA YOTE ILIVYOBORA

Tuombe,

Hmmm

=== Konsayansi ===
...

Basi ndiyo yawa, kile ambacho hunukuliwa kuhusu Shauri la Yesu kuzungumza khabari za kwenda Juu mbinguni, kwa baba, ni muktadha akilifu wa UJAMII-IMANI-TUMAINI; ambavyo Udugu ndiyo 'Mahusiano ya Kinguvu' yenye kujinasibu na 'Ushirika wa Kiroho'. Hili lafanya 'Sala na Kazi' ni jambo linafungamana na kulandana na 'Makusudi Bora na yenye Kheri' kwa maendeleo ya Kweli ya Jamii / Taifa kwa kuwa 'Haki' ni ufunguo wa Amani ya Kweli na 'Riziki kwa Mafungu' -- mafungu ya Stahiki za 'Kujituma-Kuwajibika-Kutumikia'.

Yesu kuzungumza khabari za kwenda Juu Mbinguni ni metafo ya 'Sala na Kazi' ilivyo ni muktadha akilifu wa 'Metafanusi'; ambavyo kwenye TRIZANIAMU hujitokeza kama kitovu cha Mizania ya 'DHAMIRA' na 'MIONGOZO'. Hili lafanya ule UTATU MTAKATIFU katika jamii si chochote bali ufungamanifu na ulandanifu wa (1) Siasa za Nchi : Mizania ya Mwana, (2) Uweza wa Jamii : Mizania ya Mama, (3) Mipango ya Muda mfupi na Mirefu ya Ustawi wa Jamii : Mizania ya Baba...

Mizania ya "Mwana" ilivyo ni Ulali kwa Trizaniamu katika Ulandanifu wa 'Mambo ya Siasa za Nchi' ni muktadha akilifu wa Sifa-Tabia-Hadhi ya mwanajamii / Wanajamii kwenye 'Kujisikia' na 'Elimu / Upeo wa Kiakili na Maarifa / Maarifu'; ambavyo 'KUJITAMBUA (OX)' ndiko kunakoyakinisha (1) Uweza wa Kimafikara na Hisia, na (2) Utayari wa mwanajamii Kujipangia-kujiamulia-Kujiongoza mapito yake ya Kimaisha. Hili lafanya KUJICHAGULIA ni jambo linalowezekana kwa yeyote kwa kadiri ya Uweza wake kujipima / kujitathmini , kimawazo, ile dhamiri na tafakuri ya matendo yake kwa wakati, na kumbe huku 'Kumbukumbu-Uzoefu' kuwa ni ufunguo wa nasibu ya yeye kuishi kwa mazoea ama kujiongeza ili kuyamudu mambo ya 'Nafsi' -- katika fizikia ama / na metafizikia ya mambo...

Mizania ya "Mama" ilivyo ni Ulali kwa Trizaniamu katika Ulandanifu wa 'Uweza wa kujichagulia kazi' ni muktadha akilifu wa sifa-Tabia-Hadhi ya mwanajamii / Wanajamii kwenye 'Kufaa Miundo Fulani ya Kiutendaji' na 'Uwezo wa Kutenda Mambo kwa kadiri ya Miundo / Mifumo'; ambavyo 'UNASABA(OY)' ndiyo unaoyakinisha (1) Dhana ya Ujamii -- iwe labda UTAIFA / Ukabila /Ukoo n,k, na (2) Wajibu wa kivitendo kwa ajili ya MAISHA-KUISHI-UISHO ili kuifaa 'Matriksi'. Hili lafanya KUJICHAGULIA ni jambo linalowezekana kwa yeyote kwa kadiri ya yeye KUSHAWISHIKA na Mifumo ya Maisha yenye Kutawala Mapana ya Ujamii wake -- Iwe kwa Mwangaza wa Kweli ama Mwangaza wa Uongo / Hadaa / Hila n.k na kumbe huku 'Kumbukumbu-Uzoefu' kuwa ni egemeo la NIA yake kuishi sawa sawa na 'Uongo / Ujinga' ama 'Ukweli / U-JUA-ji' wa Mambo...

Mizania ya "Baba" ilivyo ni Ulali kwa Trizaniamu katika Ulandanifu wa 'Mipango na Makusudi ya Wakati hata Wakati' ni muktadha akilifu wa Sifa-Tabia-Hadhi ya mwanajamii / Wanajamii kwenye 'Kudhamiria Maendeleo na Ustawi Bora Zaidi' na tena 'Kufuatisha Miongozo Bora kwa Sheria na Kanuni za Mambo' ilivyo ni 'Uono Mifumo'; ambavyo 'METAFANUSI(OZ)' ni kitovu cha 'Ibada na Sala' ya UTU --ibada na sala kwa vile Maendeleo na Ustawi Bora Zaidi daima ni mambo ya "Subira"... Hili ndilo lafanya 'Dini' ni kichocheo cha msingi kwa ajili ya Kujumuisha UTU wa Jamii yeyote, kila jamii ina 'DINI' kwa kuwa muktadha akilifu wa 'Mila-Destruri-Jadi', katika jamii yeyote yenye haya--Duniani ama Sayarini Kokote kule Ulimwenguni, si chochote bali 'Dini'...

Basi ndiiyo yawa, TRIZANIAMU si chochote bali 'MIZANIA MARA TATU' kwa ufraktali wa 'DHAMIRI / DHAMIRA' ya mwanajamii / wanajamii wowote kisomoni; ambavyo 'Jamii-Wakati-Machaguo ya Kitaasisi-Matukio' ni dhahiri ya MAISHA-KUISHI-UISHO kwa kadiri ya Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu. Hili lafanya kile ambacho kwenye mapokeo ya Ukristo hufahamika kama UTATU MTAKATIFU si chochote bali nasibu ya sifa-tabia-Hadhi ya kukadirisha 'Sura na Utukufu wake Mungu' katika MAISHA-KUISHI-UISHO wetu Duniani / Kwenye 'Matriksi'...

Kwa kadiri ya sisi kufanyika na Konsayansi, Nuru yetu ya Ufahamu inaweza kujichagulia 'Ushetani' ama 'Umalaika' kwa wakati kwa kuwa (1) Kushawishika Kwetu, na pia (2) Nia zetu, daima huandamwa na (A) 'Nuru ya Kweli' : "Mwangaza Kristu", ama (B) 'Mbalamwezi ya Nyota na Mwezi' : "Mwangaza Gizani wa Lusifa"; ambavyo UTASHI ni KUJICHAGULIA kujua (Uzima wa Matriksi Lusifa / Shetani ) ama ku-JUA (UZIMA wa MATRIKSI KRISTU) na kumbe Wema na Uovu ni mambo ya 'Dhamiri' na 'Nguvu' ili kuyakinishi muktadha akilifu wa Kumbukumbu-Uzoefu ilivyo ni Fadhila na Rehema za 'ROHO MTAKATIFU'... Hili lafanya UTATU MTAKATIFU ndiyo 'Vekta Udhamirifu' kwa chochote na vyote -- iwe ni vibaya ama vizuri, kwa kuwa kila kitu kimefanyika kwa UTATU MTAKATIFU katika Uimajinishi wa 'Mfano Wa-Ke'...

Kwa kadiri ya sisi kufanyika na Konsayansi, Nuru yetu ya Ufahamu inaweza kufuzu 'Nuru ya Kristu' ama 'Nuru ya Lusifa / Shetani' ili kuakisi MAISHA-KUISHI-UISHO ulio ni 'Mbingu / Pepo' ama hata ' Kuzimu / Kuliko Laanika'; ambavyo ule usemi kuwa 'Kufa ni Faida' na 'Kristu ni kuishi' si chochote bali shauri la 'KUJICHAGULIA' katika kitovu cha Metafanusi ya UZIMA WOTE. Hili lafanya lile Shauri ya Yesu kwenda kwa Baba, aliye ni baba yetu aliye Mbinguni, si chochote bali metafo ya Undugu katika 'Nuru ya Kristu'... Mambo ya 'Imani ya Injili'...

Kwa kadiri ya sisi kufanyika na Konsayansi, Nuru yetu ya Ufahamu inaweza kutubakiza kwenye 'Himaya ya Lusifa / Shetani' ama ' Ufalme wa Mbingu / Kristu " kwa kuwa 'Dhambi' si chochote bali ule muktadha akilifu wa kukosa mwangaza sahihi wa kimifumo kwa ajili ya UTU, AKILI na UZIMA na basi kupelekea kudumu katika "Ulimwengu wa Dhambi na Mapatilizio yake : Karma "; ambavyo Mbinguni ama /na Kuzimu, kiufundi ni mahala popote tunapoishi huku tukidhihirisha UKUU KIROHO ama ANGUKO KIROHO kwa kuwa vyote viwili Ushetani ama Umalaika ni sifa-tabia-hadhi ya kujichagulia Msimamo wa Kimaisha kiwakati. Hili lafanya Ushetani ama Umalaika vyote viwili ni fanusi za Utendaji kwa Mashauri ya Kiroho/Uadilifu, Maadili na Miiko -- vitatu vinavyoyakinisha 'Kuinulika Kwetu Kiroho' ama 'Kukwama kwetu Kiroho'...

Kwa mintarafu ya haya, Sala ya Bwana aliyofundisha Yesu si chochote bali mafungu ya dhamiri na nia ili kuleta mageuzi katika maisha yetu -- kusudi tuweze kugeuza mambo ya nchi ilivyo ni 'Maisha-Kuishi-Uisho' yawe 'Mapya' na tena yawe ni yenye kuakisi 'Usafi wa Mambo ya Mbingu' ilivyo ni Utukufu Wake Mungu -- Mungu / CHANZO SENTIENTI katika UTATU MTAKATIFU; ambavyo Amani-Haki-Udugu-Uhuru ni daraja ya matendo kwa ajili ya TORATI. Hili lafanya kufuzu mafungu makuu manne ya dhamiri, ilivyo ni kujichagulia, ni kutimilisha 'Mapenzi yafanyike Duniani, Kama Mbinguni'... Na hili ndilo khasa ufunguo wa 'fumbo la Imani ya Injili'...

Kwenye 'Utaasisi wa Dini', haya ndiyo yanayofanya 'Katekisimu kwa Muumini wa Ukristo' kuwa na mafungu matatu ya Shauri:- (1) Kutafuta Kumjua Mungu (Kupitia Usafi wa Moyo na Upendo), (2) UTATU MTAKATIFU (Intelijensia ya Kujisikia katika Matendo ya Shiriki zenye Nguvu : Liturujia), na (3) Maisha katika Kristu ( Sala na Kazi : Kudhihiri Utukufu na Nguvu katika Maisha na Kujitoa katika yale yote yenye sifa-tabia-hadhi ya 'Unyoofu' na 'Mapenzi Mema' kwenye Jamii : Dhamma)...

...​
Nimetoka kapa
 
Somo la Utatu kulielewa inahitaj mtu atulie.

Hebu kwanza tuanzie hapa..
Mwanzo 1:1-3
“Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na Nchi, nayo nchi ilikuwa ukiwa tena Utupu, na giza lilikuwa juu ya Uso wa Maji, Roho ya Mungu ikatulia juu ya Uso wa maji.”

Twaweza kusema kuwa Kuna 1. Mungu na 2. Roho yake.

Katika Mungu huyo huyo mmoja hapa kaonekana mara 2.

Wale wanaopinga utatu wanasadiki?.

Mungu akasema, Iwe nuru, Ikawa nuru” Aya ya 3

Hapa kuna neno. (Mungu alitamka).

Kwa hiyo twaona kuwa kwa mujibu wa maandiko haya kuna Mungu, Roho yake, na Neno lake.
 
Yohana 1:1-3
“Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu…vyote vilifanyika kwa huyu (Neno), wala pasipo Yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika”

Hapa tunaona kuwa "Neno" alikuwa kwa Mungu.hivyo Mungu yuko na Roho na Neno lake.

“Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba, amejaa neema na Kweli” Yohana 1:14

Hapa huyo Neno aliyekuwa kwa Mungu akafanyika Mwili.

Kwahiy Kuna Mungu, Roho wa Mungu pamoja na neno. Ambalo lililofanyika kuwa Mwili.

Kwa kufanyika Neno kuwa mwili ndiyo hapa tunapata sifa ya Mungu Baba, Mungu Mwana, Mungu Roho Mtakatifu. Hii ni kutokana na ukweli kwamba, kitendo hicho cha Neno kufanyika Mwili hakimwondolei sifa ya Uungu. Tunachoweza kuona hapa ni kwamba Neno la Mungu limevaa Mwili na hivyo kukatokea muunganiko wa Neno (Mungu) na Mwili (Mwanadamu).
 
Jambo linalowatatiza wengi ni Pale Neno alipofanyika Mwili na Kuonekana na Umbo la Mwanadamu. Katika umbo hilo Yesu alikuwa na mahiyaji yote ya kibinadamu, aliona njaa na kiuu, alipata usingizi, alitahiriwa kama mwanadamu katika Siku ya nane, alilia machozi, alichoka nk. Kama mwanadamu wa kawaida.

Pamoja na Kuishi Kibinadamu.
Yeye alikuwa mkamilifu na kufuata amri zote 10 za Mungu na Torati.

“… bali yeye alijaribiwa sawasawa na sisi katika mambo yote bila kufanya dhambi” Waebrania 4:15

“Yeye hakutenda dhambi wala hila haikuonekana kinywani mwake” 1Petro 2:22

Na Katika hali ya ubinadamu alimtegemea Mungu kwa kila jambo. Hapa ndipo utaona kwamba aliomba kwa Mungu Baba, ndipo utaona pia alitamka maneno kama vile ,
“… usinishike, kwamaana sijapaa kwena kwa Baba yangu, naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu” Yohana 21:

Katika hali ya Uungu uliokuwa ndani yake (Neno la Mungu) ndiyo maana alisema maneno kama

“Mimi na Baba tu Umoja” Yohana 10:30.

“Aliyeniona mimi, amemwona Baba” Yohana 14:9

“Mnisadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba. Na Baba yu ndani yangu, la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe” Yohana 14:11

Hapa tumeona katika Biblia kuwa Mungu ni Mmoja lakini amejifunua kwetu katika nafsi tatu za utundaji wake wa Kazi.
 
Kwenye Kuran.

Quran 11:7
"Na yeye ndiye aliyeziumba mbingu na ardhi kwa siku sita na Arshi yake ilikuwa juu ya maji…”

Arshi ni nini?.

Pia tunaona Allah ana roho
Quran 38:72 - Na nitakapo mkamilisha na kumpulizia roho inayo tokana nami, basi muangukieni kwa kumt'ii.

Quran 32:9 - Kisha akamtengeneza, na akampulizia roho yake, na akakujaalieni kusikia na kuona, na nyoyo za kufahamu. Ni uchache mnavyo shukuru

Allah kumbe ana roho.
Je tutaitaje?.

Quran 40:15
"Yeye ndiye Mwenye vyeo vya juu, Mwenye Arshi. Hupeleka Roho kwa amri yake juu ya amtakaye katika waja wake, ili kuwaonya kwa Siku ya Mkutano”

Quran 2:87
"na tukampa Isa mwana wa Maryam, hoja zilizo wazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu…”

Quran 5:110
"Na pale Mwenyezi Mungu atakaposema, Ewe Isa bin Maryamu, Kumba neema yangu, juu yako na juu ya mama yako, niipokutia nguvu kwa Roho Takatifu, ukazungumza na watu katika Utoto na utuuzimani. Na nilivyokufunza kuandika, na hikima na Taurati na Injili, na ulipotengeneza udongo sura ya ndege kwa idhini yangu, kisha ukapuliza ikawa ndege kwa idhini yangu, na ulipowaponyesha vipofu na wakoma kwa idhini yagu, na ulipowafufua wafu kwa idhini yangu…”

Allah aliruhusu Nabii Isa afanye miujiza kwa idhini yake kwasababu alikuwa na Roho ya Allah ndani yake.

Pia
Quran 3:45
"(Kumbukeni) waliposema Malaika Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria kwa Neno litokalo kwake. Jina lake (huyo Neno) ni Masihi Isa mwana wa Maryam, mwenye hishima katika dunia na Akhera na Miongoni mwa waliokaribishwa kwa Mwenyezi Mungu”

Kwahiyo ni kusema Kuna Allah.
Kuna Roho wa Allah aliyekuwepo wakat wa Uumbaji na
Na neno ambalo lilitumwa na kufanyika mwili na ambaye ndani yake kuna Roho wa Mungu (Nabii Isa)
Based na hayo ya juu kwenye Quran

Je hapa utaita Mungu watatu au ni Mungu huyo huyo mmoja?.

Quran inasadifu Allah.
Ina sadifu Roho wa Allah.
Ina sadifu kuna Neno tu lilifanyika Mwili na ambao ulijazwa Roho Mtakatifu.

Kwa Wakristo wanaamini ni Mungu yule yule kwenye nafasi tatu.
 
WAKATI MMOJA, SIKU SI NYINGI TUTAYAFAHAMU HAYA YOTE ILIVYOBORA

Tuombe,

Hmmm

=== Konsayansi ===
...

Basi ndiyo yawa, kile ambacho hunukuliwa kuhusu Shauri la Yesu kuzungumza khabari za kwenda Juu mbinguni, kwa baba, ni muktadha akilifu wa UJAMII-IMANI-TUMAINI; ambavyo Udugu ndiyo 'Mahusiano ya Kinguvu' yenye kujinasibu na 'Ushirika wa Kiroho'. Hili lafanya 'Sala na Kazi' ni jambo linafungamana na kulandana na 'Makusudi Bora na yenye Kheri' kwa maendeleo ya Kweli ya Jamii / Taifa kwa kuwa 'Haki' ni ufunguo wa Amani ya Kweli na 'Riziki kwa Mafungu' -- mafungu ya Stahiki za 'Kujituma-Kuwajibika-Kutumikia'.

Yesu kuzungumza khabari za kwenda Juu Mbinguni ni metafo ya 'Sala na Kazi' ilivyo ni muktadha akilifu wa 'Metafanusi'; ambavyo kwenye TRIZANIAMU hujitokeza kama kitovu cha Mizania ya 'DHAMIRA' na 'MIONGOZO'. Hili lafanya ule UTATU MTAKATIFU katika jamii si chochote bali ufungamanifu na ulandanifu wa (1) Siasa za Nchi : Mizania ya Mwana, (2) Uweza wa Jamii : Mizania ya Mama, (3) Mipango ya Muda mfupi na Mirefu ya Ustawi wa Jamii : Mizania ya Baba...

Mizania ya "Mwana" ilivyo ni Ulali kwa Trizaniamu katika Ulandanifu wa 'Mambo ya Siasa za Nchi' ni muktadha akilifu wa Sifa-Tabia-Hadhi ya mwanajamii / Wanajamii kwenye 'Kujisikia' na 'Elimu / Upeo wa Kiakili na Maarifa / Maarifu'; ambavyo 'KUJITAMBUA (OX)' ndiko kunakoyakinisha (1) Uweza wa Kimafikara na Hisia, na (2) Utayari wa mwanajamii Kujipangia-kujiamulia-Kujiongoza mapito yake ya Kimaisha. Hili lafanya KUJICHAGULIA ni jambo linalowezekana kwa yeyote kwa kadiri ya Uweza wake kujipima / kujitathmini , kimawazo, ile dhamiri na tafakuri ya matendo yake kwa wakati, na kumbe huku 'Kumbukumbu-Uzoefu' kuwa ni ufunguo wa nasibu ya yeye kuishi kwa mazoea ama kujiongeza ili kuyamudu mambo ya 'Nafsi' -- katika fizikia ama / na metafizikia ya mambo...

Mizania ya "Mama" ilivyo ni Ulali kwa Trizaniamu katika Ulandanifu wa 'Uweza wa kujichagulia kazi' ni muktadha akilifu wa sifa-Tabia-Hadhi ya mwanajamii / Wanajamii kwenye 'Kufaa Miundo Fulani ya Kiutendaji' na 'Uwezo wa Kutenda Mambo kwa kadiri ya Miundo / Mifumo'; ambavyo 'UNASABA(OY)' ndiyo unaoyakinisha (1) Dhana ya Ujamii -- iwe labda UTAIFA / Ukabila /Ukoo n,k, na (2) Wajibu wa kivitendo kwa ajili ya MAISHA-KUISHI-UISHO ili kuifaa 'Matriksi'. Hili lafanya KUJICHAGULIA ni jambo linalowezekana kwa yeyote kwa kadiri ya yeye KUSHAWISHIKA na Mifumo ya Maisha yenye Kutawala Mapana ya Ujamii wake -- Iwe kwa Mwangaza wa Kweli ama Mwangaza wa Uongo / Hadaa / Hila n.k na kumbe huku 'Kumbukumbu-Uzoefu' kuwa ni egemeo la NIA yake kuishi sawa sawa na 'Uongo / Ujinga' ama 'Ukweli / U-JUA-ji' wa Mambo...

Mizania ya "Baba" ilivyo ni Ulali kwa Trizaniamu katika Ulandanifu wa 'Mipango na Makusudi ya Wakati hata Wakati' ni muktadha akilifu wa Sifa-Tabia-Hadhi ya mwanajamii / Wanajamii kwenye 'Kudhamiria Maendeleo na Ustawi Bora Zaidi' na tena 'Kufuatisha Miongozo Bora kwa Sheria na Kanuni za Mambo' ilivyo ni 'Uono Mifumo'; ambavyo 'METAFANUSI(OZ)' ni kitovu cha 'Ibada na Sala' ya UTU --ibada na sala kwa vile Maendeleo na Ustawi Bora Zaidi daima ni mambo ya "Subira"... Hili ndilo lafanya 'Dini' ni kichocheo cha msingi kwa ajili ya Kujumuisha UTU wa Jamii yeyote, kila jamii ina 'DINI' kwa kuwa muktadha akilifu wa 'Mila-Destruri-Jadi', katika jamii yeyote yenye haya--Duniani ama Sayarini Kokote kule Ulimwenguni, si chochote bali 'Dini'...

Basi ndiiyo yawa, TRIZANIAMU si chochote bali 'MIZANIA MARA TATU' kwa ufraktali wa 'DHAMIRI / DHAMIRA' ya mwanajamii / wanajamii wowote kisomoni; ambavyo 'Jamii-Wakati-Machaguo ya Kitaasisi-Matukio' ni dhahiri ya MAISHA-KUISHI-UISHO kwa kadiri ya Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu. Hili lafanya kile ambacho kwenye mapokeo ya Ukristo hufahamika kama UTATU MTAKATIFU si chochote bali nasibu ya sifa-tabia-Hadhi ya kukadirisha 'Sura na Utukufu wake Mungu' katika MAISHA-KUISHI-UISHO wetu Duniani / Kwenye 'Matriksi'...

Kwa kadiri ya sisi kufanyika na Konsayansi, Nuru yetu ya Ufahamu inaweza kujichagulia 'Ushetani' ama 'Umalaika' kwa wakati kwa kuwa (1) Kushawishika Kwetu, na pia (2) Nia zetu, daima huandamwa na (A) 'Nuru ya Kweli' : "Mwangaza Kristu", ama (B) 'Mbalamwezi ya Nyota na Mwezi' : "Mwangaza Gizani wa Lusifa"; ambavyo UTASHI ni KUJICHAGULIA kujua (Uzima wa Matriksi Lusifa / Shetani ) ama ku-JUA (UZIMA wa MATRIKSI KRISTU) na kumbe Wema na Uovu ni mambo ya 'Dhamiri' na 'Nguvu' ili kuyakinishi muktadha akilifu wa Kumbukumbu-Uzoefu ilivyo ni Fadhila na Rehema za 'ROHO MTAKATIFU'... Hili lafanya UTATU MTAKATIFU ndiyo 'Vekta Udhamirifu' kwa chochote na vyote -- iwe ni vibaya ama vizuri, kwa kuwa kila kitu kimefanyika kwa UTATU MTAKATIFU katika Uimajinishi wa 'Mfano Wa-Ke'...

Kwa kadiri ya sisi kufanyika na Konsayansi, Nuru yetu ya Ufahamu inaweza kufuzu 'Nuru ya Kristu' ama 'Nuru ya Lusifa / Shetani' ili kuakisi MAISHA-KUISHI-UISHO ulio ni 'Mbingu / Pepo' ama hata ' Kuzimu / Kuliko Laanika'; ambavyo ule usemi kuwa 'Kufa ni Faida' na 'Kristu ni kuishi' si chochote bali shauri la 'KUJICHAGULIA' katika kitovu cha Metafanusi ya UZIMA WOTE. Hili lafanya lile Shauri ya Yesu kwenda kwa Baba, aliye ni baba yetu aliye Mbinguni, si chochote bali metafo ya Undugu katika 'Nuru ya Kristu'... Mambo ya 'Imani ya Injili'...

Kwa kadiri ya sisi kufanyika na Konsayansi, Nuru yetu ya Ufahamu inaweza kutubakiza kwenye 'Himaya ya Lusifa / Shetani' ama ' Ufalme wa Mbingu / Kristu " kwa kuwa 'Dhambi' si chochote bali ule muktadha akilifu wa kukosa mwangaza sahihi wa kimifumo kwa ajili ya UTU, AKILI na UZIMA na basi kupelekea kudumu katika "Ulimwengu wa Dhambi na Mapatilizio yake : Karma "; ambavyo Mbinguni ama /na Kuzimu, kiufundi ni mahala popote tunapoishi huku tukidhihirisha UKUU KIROHO ama ANGUKO KIROHO kwa kuwa vyote viwili Ushetani ama Umalaika ni sifa-tabia-hadhi ya kujichagulia Msimamo wa Kimaisha kiwakati. Hili lafanya Ushetani ama Umalaika vyote viwili ni fanusi za Utendaji kwa Mashauri ya Kiroho/Uadilifu, Maadili na Miiko -- vitatu vinavyoyakinisha 'Kuinulika Kwetu Kiroho' ama 'Kukwama kwetu Kiroho'...

Kwa mintarafu ya haya, Sala ya Bwana aliyofundisha Yesu si chochote bali mafungu ya dhamiri na nia ili kuleta mageuzi katika maisha yetu -- kusudi tuweze kugeuza mambo ya nchi ilivyo ni 'Maisha-Kuishi-Uisho' yawe 'Mapya' na tena yawe ni yenye kuakisi 'Usafi wa Mambo ya Mbingu' ilivyo ni Utukufu Wake Mungu -- Mungu / CHANZO SENTIENTI katika UTATU MTAKATIFU; ambavyo Amani-Haki-Udugu-Uhuru ni daraja ya matendo kwa ajili ya TORATI. Hili lafanya kufuzu mafungu makuu manne ya dhamiri, ilivyo ni kujichagulia, ni kutimilisha 'Mapenzi yafanyike Duniani, Kama Mbinguni'... Na hili ndilo khasa ufunguo wa 'fumbo la Imani ya Injili'...

Kwenye 'Utaasisi wa Dini', haya ndiyo yanayofanya 'Katekisimu kwa Muumini wa Ukristo' kuwa na mafungu matatu ya Shauri:- (1) Kutafuta Kumjua Mungu (Kupitia Usafi wa Moyo na Upendo), (2) UTATU MTAKATIFU (Intelijensia ya Kujisikia katika Matendo ya Shiriki zenye Nguvu : Liturujia), na (3) Maisha katika Kristu ( Sala na Kazi : Kudhihiri Utukufu na Nguvu katika Maisha na Kujitoa katika yale yote yenye sifa-tabia-hadhi ya 'Unyoofu' na 'Mapenzi Mema' kwenye Jamii : Dhamma)...

...​
Muhtasari kwa Hisani ya Voila AI:

Muhtasari wa Maelezo Kuhusu Shauri la Yesu na Mfano wa Utatu Mtakatifu​

Muhtasari huu unaeleza kwa ufupi maana ya ujumbe wa Yesu kuhusu kuzungumza khabari za kwenda mbinguni, ukitumia muktadha wa kijamii, kiimani na matumaini, hasa kwa mtazamo wa udugu na mahusiano ya kiroho.

1. Muktadha wa Udugu na Mahusiano ya Kiroho

Maelezo yanaonyesha kuwa ujumbe wa Yesu kuhusu kwenda mbinguni ni mfano wa "Sala na Kazi" iliyounganishwa na udugu wa kweli, ambao ni mahusiano yenye nguvu na ushirika wa kiroho. Hii ina maana kwamba maisha ya kiroho na ya kijamii yanapaswa kuunganishwa kwa lengo la maendeleo ya haki, amani, na riziki kwa wale wanaojituma kwa haki na uwajibikaji.

2. Utatu Mtakatifu kama Mfumo wa Mizania Tatu

Utatu Mtakatifu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu) unaelezewa kwa njia ya mizania mitatu inayounganisha vipengele vitatu muhimu katika jamii:
  • Mizania ya Mwana: Huu ni muktadha wa sifa, tabia, na hali ya mwanajamii kujiamulia na kujitambua, ambapo mtu anapima uwezo wake wa fikira, hisia, na dhamiri kwa ajili ya kujiendesha maisha yake.
  • Mizania ya Mama: Hii inahusiana na uwezo wa mtu kuchagua kazi na kuwajibika katika mfumo wa kijamii, ikizingatia mila, desturi na wajibu wa kivitendo kwa maisha ya kila siku.
  • Mizania ya Baba: Inahusiana na mipango na malengo ya muda mfupi na mrefu kwa maendeleo bora ya jamii, ambapo dini na mila zinachukua nafasi muhimu katika kuendeleza utawala wa sheria, maadili, na ustawi wa jamii.

3. Dhamira na Nia katika Maisha ya Kiroho na Kijamii

Dhamira ni nguzo kuu inayounganisha maisha ya mtu na jamii, ikihusisha uchaguzi kati ya mema na mabaya. Nuru ya ufahamu inaweza kumsaidia mtu kuchagua kati ya mwanga wa kweli (Kristu) na mwanga wa giza (Lusifa), ambapo kila mtu ana jukumu la kuchagua njia yake katika maisha.

4. Shauri la Yesu kama Mfano wa Undugu na Imani

Shauri la Yesu linatambuliwa kama mfano wa undugu katika nuru ya Kristo, likisisitiza umuhimu wa imani, sala, na kazi katika maisha ya kila siku ili kuleta mageuzi ya kweli ya kijamii na kiroho. Hii ni sehemu ya mafungu makuu ya imani ya Injili, ambayo inalenga kuleta utimilifu wa mapenzi ya Mungu duniani kama mbinguni.

5. Umuhimu wa Dini na Katekisimu kwa Muumini

Dini inaelezewa kama msingi wa kuunganisha utu wa jamii kupitia mila, desturi, na maadili. Katekisimu kwa mkristo una sehemu kuu tatu: kumjua Mungu, kuelewa Utatu Mtakatifu, na kuishi maisha ya Kristo kwa sala na kazi. Hii inasaidia muumini kuonyesha utukufu wa Mungu katika maisha yake na jamii kwa ujumla.

Hitimisho​

Maandishi haya yanasisitiza kuwa ujumbe wa Yesu kuhusu kwenda mbinguni ni mfano wa maisha yenye dhamira, udugu wa kweli, na mchakato wa kuishi kwa haki na amani ndani ya jamii. Utatu Mtakatifu unatoa msingi wa kuelewa maisha haya kwa kuunganisha vipengele vya mtu binafsi, jamii, na malengo ya muda mrefu, huku dini ikitoa mwanga wa kiroho na maadili kwa maisha ya mtu binafsi na jamii kwa ujumla.

==== Jinesesia na Kur'ani ===

Nashauri 'Rizayati' kwa Mashauri yatokanayo na Kitabu hichi : "Light Within Me"
 
Jambo linalowatatiza wengi ni Pale Neno alipofanyika Mwili na Kuonekana na Umbo la Mwanadamu. Katika umbo hilo Yesu alikuwa na mahiyaji yote ya kibinadamu, aliona njaa na kiuu, alipata usingizi, alitahiriwa kama mwanadamu katika Siku ya nane, alilia machozi, alichoka nk. Kama mwanadamu wa kawaida.

Pamoja na Kuishi Kibinadamu.
Yeye alikuwa mkamilifu na kufuata amri zote 10 za Mungu na Torati.

“… bali yeye alijaribiwa sawasawa na sisi katika mambo yote bila kufanya dhambi” Waebrania 4:15

“Yeye hakutenda dhambi wala hila haikuonekana kinywani mwake” 1Petro 2:22

Na Katika hali ya ubinadamu alimtegemea Mungu kwa kila jambo. Hapa ndipo utaona kwamba aliomba kwa Mungu Baba, ndipo utaona pia alitamka maneno kama vile ,
“… usinishike, kwamaana sijapaa kwena kwa Baba yangu, naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu” Yohana 21:

Katika hali ya Uungu uliokuwa ndani yake (Neno la Mungu) ndiyo maana alisema maneno kama

“Mimi na Baba tu Umoja” Yohana 10:30.

“Aliyeniona mimi, amemwona Baba” Yohana 14:9

“Mnisadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba. Na Baba yu ndani yangu, la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe” Yohana 14:11

Hapa tumeona katika Biblia kuwa Mungu ni Mmoja lakini amejifunua kwetu katika nafsi tatu za utundaji wake wa Kazi.
Asante kwa kusaidia kutoa ufafanuzi. Ila nilikushauri ubadili hiyo avatar yako. Hiyo Castle_Lite inakuchafua.
Kwani bado tu hujajua kuwa pombe ni sumu?
 
huyo Mwana tuna mashaka nae .
baadae mnatuambia yesu ni Mungu.
sasa yesu kama Mungu kwanini maria asiwe mama wa Mungu?
na kama maria ni mama wa Mungu Ina maana yesu alfanya mapenzi na mama yake
 
Kuna watu wanaojiuliza: “Kama Mungu ni mmoja, kwa nini Wakristo husema kwamba kuna Baba, Mwana na Roho Mtakatifu? Je, wanaabudu Mungu watatu?"

Kabla ya kujibu swali hilo ngoja nieleze nafsi ya mwanadamu ni nini. Ukiielewa nafsi ya mwanadamu itakuwa rahisi kufahamu vizuri nafsi tatu za Mungu au Utatu Mtakatifu.

Maandiko yanatuonyesha kuwa mwanadamu ana sehemu tatu kuu: nafsi, roho na mwili.
“Mungu wa amani mwenyewe awatakase kabisa; nanyi nafsi zenu na roho zenu na miili yenu mhifadhiwe muwe kamili, bila lawama, wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo.” (1 Wathesalonike 5:23)

Nafsi ni utu wa mtu unaojumuisha akili, hisia na mapenzi; roho ni kiini cha ndani kabisa kinachowasiliana na Mungu na mwili ni sehemu ya nje inayoonekana.

Nafsi ni sehemu ya kati ya utu wa mwanadamu, inayomfanya afikiri, aamue, na ahisi. Mifano ya kibiblia:
“Nafsi yangu inamhimidi Bwana...” (Zaburi 103:1)
“Nafsi yangu imejaa huzuni...” (Zaburi 119:28)

Maandiko hayo yanaonesha kuwa nafsi ni sehemu hai ya mtu, yenye utambulisho wa kipekee.

Mwanadamu ana nafsi moja tu. Je, Mungu naye ana nafsi moja kama mwanadamu? Jibu ni hapana. Mungu sio mtu kama sisi. Yeye ni wa kipekee, anazo nafsi tatu bila kuwa miungu watatu kwa sababu Uungu hauna mipaka kama ubinadamu.

Hebu tuangalie sasa kwa kina Utatu Mtakatifu au Nafsi tatu za Mungu mmoja:

Katika Biblia, Mungu amejifunua katika nafsi tatu tofauti:
1. BABA ni Mungu. “Neema na amani zitokazo kwa Mungu Baba…” (Wagalatia 1:3)
BABA ni nafsi ya kwanza, chanzo cha mpango wa wokovu. Baba anapenda, anatuma, anasema...

2. MWANA (Yesu Kristo) ni Mungu. “Naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu... akafanyika mwili.” (Yohana 1:1,14). MWANA ni nafsi ya pili ya Mungu. Alifanyika mwili, akafa kwa ajili yetu. Anaongea na Baba, anaomba...

3. ROHO MTAKATIFU ni Mungu. “...kwa nini Shetani amekujaza moyo wako kumwambia uongo Roho Mtakatifu...Hukumwambia uongo mwanadamu, bali Mungu..."
Roho Mtakatifu ni nafsi ya tatu. Anafundisha, anaongoza, anaonyesha mapenzi ya Mungu. Hutoa vipawa kama apendavyo (1 Wakorintho 12:11)

Je, hizi Nafsi Tatu ni miungu watatu? Hapana! Mungu ni mmoja, lakini ana nafsi tatu zenye ushirikiano mkamilifu. Sio miungu mitatu, bali ni Mungu mmoja aliye hai kwa namna tatu tofauti.

Ukisoma Mathayo 3:16–17 utaona kuwa wakati wa ubatizo wa Yesu, Yesu alikuwa ndani ya maji (Mwana); Roho Mtakatifu akashuka kama hua na sauti ya Baba ikasikika ikitokea mbinguni. Hapo Nafsi tatu zilitenda kazi kwa umoja, lakini ni Mungu mmoja. Nafsi za Mungu huongea kati yao bila mipaka.

Naamini umeelewa sasa kuwa Mungu sio kama mtu mwenye nafsi moja. Yeye ni Mungu mmoja aliye na nafsi tatu za Uungu: Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.

1 Yohana 5:7
"Kwa maana wako watatu washuhudiao mbinguni: hao ni Baba, Neno na Roho Mtakatifu. Hawa watatu ni umoja.”

Haya hapa Maandiko mengine yanayofunua Utatu Mtakatifu, yaani Mungu ni mmoja lakini mwenye nafsi tatu:
Baba ni Mungu (Yn 6:27, 1 Kor. 8:6),
Mwana(Yesu Kristo) ni Mungu (Yn 1:1, Yn 20:28, Tito 2:13, Ebr. 1:8),
Roho Mtakatifu ni Mungu (Mdo 5:3–4, 1 Kor 3:16–17)
huelewi chochote kuhusu uungu ni bora ukakaa kimya ......God the father , God the son and God the Holly spirit are three independent beings yet one in purpose and desire"
KJV 1 John 5
7 For there are three that bear record in heaven, the Father, the Word, and the Holy Ghost: and these three are one.............idea kwamba kuna Mungu mu1 aliyegawanyika katika nafsi tatu ni uongo .........ukwel ni kuwa wapo watatu ...na hao watatu ni umoja......lbda swali liwe umoja katika nini na nini.....
 
Thank you for your comment, but I would encourage a more balanced discussion rather than personal attacks like "you understand nothing..." Let’s engage with Scripture and reason together.

1. Clarifying "Three Independent Beings":
You stated that the Father, Son, and Holy Spirit are “three independent beings.” However, Scripture never refers to God as three Gods or three beings. That would be tritheism, not biblical Christianity. The Bible is clear:
“Hear, O Israel: The LORD our God, the LORD is one.” (Deuteronomy 6:4)

This foundational truth affirms the oneness of God's being. Christians do not believe God “divides” into three beings but that He exists eternally as one Being in three Persons: Father, Son, and Holy Spirit, each fully and equally God.

2. Oneness does not deny distinction:
You rightly quoted 1 John 5:7:
“For there are three that bear record in heaven… and these three are one.”

This verse supports the doctrine of the Trinity. It says they are three, yet they are one, not just “one in purpose,” but one in essence. They testify distinctly, yet remain united in nature.

3. Not "One Person in three roles":
You implied that belief in “one God in three Persons” is the idea of one God splitting Himself into parts. That’s not accurate. The Trinitarian view does not teach that God morphs into different modes or roles (that would be modalism, a heresy). Rather, the Bible reveals that the Father sends the Son (John 3:16), the Son prays to the Father (John 17), and the Spirit proceeds from both (John 15:26). These are real relationships, not acting roles or independent beings.

So my brother Fortyseven to clarify:
Christianity teaches one eternal God (not three beings), existing as three co-equal, co-eternal Persons, united in nature, purpose, and will, yet personally distinct. This is not contradiction, it’s divine mystery, revealed in Scripture, and affirmed throughout Church history.
 
"Nafsi tatu" za Mungu, halijaandikwa popote Katika Biblia.

Tufuate Neno la Mungu SI hisia zetu.
Asante Rabbon kwa mchango wako.
Ni kweli tunapaswa kufuata Neno la Mungu na si hisia zetu. Lakini pia ni kweli kwamba mafundisho ya Utatu Mtakatifu yanatokana na Neno hilo hilo la Mungu hata kama neno "nafsi" halijaandikwa moja kwa moja.

Kumbuka kuwa hata neno "Biblia" halijaandikwa popote katika kitabu hiki hiki tunachokubali kwamba kinaitwa Biblia.

Tatizo la watu wengi siyo mafundisho yenyewe ya Biblia, bali ni kushindwa kuelewa maneno yanayotumika kufafanua mafundisho fulani.

Sasa, kwa nini tunasema Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu ni “nafsi” tatu?
Neno “nafsi” tunalitumia kwa ajili ya kueleza utu wa kila mmoja, yaani, Baba si Mwana, Mwana si Roho, na Roho si Baba, lakini wote ni Mungu mmoja. Kuwaita nafsi ni njia sahihi ya kuelezea tofauti yao katika mahusiano, badala ya kuwaita Miungu watatu.

Katika Biblia:
Baba anasema, anatenda, anapenda, anapanga (soma Yohana 6:38-40).
Mwana (Yesu) anaongea, anatiii, anaomba (Mathayo 26:39; Yohana 17).
Roho Mtakatifu anaongoza, anafundisha, anasema, ana huzunika (Yohana 14:26; Matendo 13:2; Waefeso 4:30).

Hizo zote ni tabia za utu au personality.

Kwa hiyo, tunasema Mungu ni nafsi tatu katika umoja kwa sababu: wote ni Mungu kweli kweli, wana mawasiliano na mahusiano kati yao (Yohana 17:5; Mathayo 3:16-17), na kila mmoja anatenda kwa njia ya kipekee lakini kwa umoja (1 Wakorintho 12:4-6).
 
Back
Top Bottom