Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

Ukiona kaanza kelele ujue asali imeanza kuisha.

Kuna watu wanamsikiliza punguwani mkubwa huyo anatafuta kulaumu wafu kila siku.
 
Muulize Mungu kwa nini hakuruhusu afe kwa risasi lakini kuna wengine pamoja na kuzungukwa na madaktari bingwa koona ikawachota?
Ukipata jibu tusaidie na sisi
Na kwa nini MUNGU huyo huyo aliruhusu Mwokozi afe?
 
Kwani Lisu ni nani hadi niamini anacho ongea, kamwe siwezi kufanya kosa la kumuamini mwanasiasa
 

Na wakimaliza kupigana hawatakaa mezani kuzungumza? Kwanini wasizungumze kabla?
 
Una mawazo ya kijima na very primitive. Kwa hiyo yasisemwe maovu kwa vile serikali hiyo ilijenga na kutaifisha shule?
Kwani wananchi walikuwa wanalipa kodi ili iweje? Nyie ndio hata mkiibiwa na watumishi wa umma mnaona ni stahili yao.
Stupid people only speak of problems, Lissu style.
Intelligent people speak of solutions, Mwalimu style.
 
Kumbe Nyerere hakuwa na demokrasia, alikuwa dictator mkubwa, eti huyo ndiye anakuja kuwa Mtakatifu!

Sikiliza kwa makini:

So wewe LISSU kwako ndo Ukweli na encyclopedia yako? Mkuu jiue tu mana umepoteza sifa ya binadamu mwenye utashi na akili
 
Lisu ana matatizo ya akili angalia watu anaowachukia.

Nyerere na Magufuli.

Anaowapenda ni kichekesho.

Mnamuentertain mgonjwa badala ya kumpeleka hospitali akapate tiba ya magonjwa ya akili.
 
Nonsense.....Namibia too was a protectorate under South Africa but it was only through armed struggle she achieved her independence in 1990.....

achieving our independence peacefully was one of Mwl Nyerere's best achievements for this country.
Jitahidi usome kijana najua wewe ni wa juzi naona unavyo present arguments zako...

Discover Namibia's past before visiting this African country​

Early in the 20th Century Namibia was a German Colony. After the 1st World War it became a League of Nations administered territory. Following the 2nd World War, South Africa administered Namibia, until independence in 1990.

Namibia owes much of its most recent history to the infamous ‘Scramble for Africa’ that resulted in the 1878 British Annexation of the land surrounding Walvis Bay Harbour, the Afrikaner ‘trek boers’ escaping to the Cape Colony to the south and the proclamation in 1884 by Bismarck, of the protectorate of German South West Africa. During the First World War the South African forces gained control of German South West Africa and following the Treaty of Versailles continued to administer the areas as South West Africa. Resolution 435 of the United Nations in 1989 finally resulted in a peaceful independence for the Namibia people in 1990.
 
You probably do not know the meaning of the word "prevail".

Which history are you alluding to?
Nyerere's accomplishments tramps every trash that is invented, yet you term it history?
Rubbish, even Hitler has a lot of good deeds!
 
Una mawazo ya kijima na very primitive. Kwa hiyo yasisemwe maovu kwa vile serikali hiyo ilijenga na kutaifisha shule?
Kwani wananchi walikuwa wanalipa kodi ili iweje? Nyie ndio hata mkiibiwa na watumishi wa umma mnaona ni stahili yao.
jidula kumbe ni takataka , nilikuwa nalifikiria vingine...
 
Huu ni uongo mkubwa, nchi gani aliyosaidia kuikomboa? Angola & Mozambique zimepata uhuru baada ya mabadiliko ya serikali ya Ureno, SA baada ya moderate leaders wakiongozwa na De Kleck kuchukua uongozi wa NP, Namibia baada ya makubaliano kati ya SA, US vs Cuba, USSR; Zimbabwe baada ya uingereza kuingilia kati, elewa liberation movements they never won a war, only few battles
 
Kumbe Nyerere hakuwa na demokrasia, alikuwa dictator mkubwa, eti huyo ndiye anakuja kuwa Mtakatifu!

Sikiliza kwa makini:
Mbona Nyerere mwenyewe alishalitolea ufafanuzi swala la mamlaka makubwa aliyopewa kwenye katiba kipindi chake. Hakuna jambo jipya hapo bro au kwasababu Lissu amesema!!!
Basi ndio unaona maajabu!?
 
Huyo Nyerere anayelaumiwa ndie aliyeleta huu mfumo wa vyama vingi licha ya wengi ndani ya chama chake kuupinga, na bila huo mfumo kuwepo sidhani hata huyo Lissu leo kama angekuwa anajulikana kama alivyo.

Lissu anapoendelea kwa kuzungumzia "utakatifu wa Nyerere" hapa anachoonesha ni mihemko yake tu, huu utakatifu hauna uhusiano wowote naye, ni mchakato uliopo kati ya Nyerere [RIP] na Kanisa Katoliki.

Kama Lissu anamuona Nyerere ana dhambi basi atuoneshe aliye mtakatifu ni yupi tumjue, Lissu ana tatizo la kutochagua maneno wakati wa kuzungumza, anatawaliwa na mihemko ndio maana anapokutana na kiongozi mwenye hasira za karibu, anamuadhibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…