🤣🤣🤣hasa mabebru.Mbona wakoloni na wazungu tunawalaumu mpaka leo? Mpaka vitabu viliandikwa vya kulaumu wazungu
Lissu yuko very logical sema wewe humsikiliz8 kwa makini. Usiwe miongoni mwa walinsa hisia bali ukweli na uhalisia.Huyo Nyerere anayelaumiwa ndie aliyeleta huu mfumo wa vyama vingi licha ya wengi ndani ya chama chake kuupinga, na bila huo mfumo kuwepo sidhani hata huyo Lissu leo angekuwa anajulikana kama alivyo.
Lissu anapoendelea kwa kuzungumzia "utakatifu wa Nyerere" hapa anachoonesha ni mihemko yake tu, huu utakatifu hauna uhusiano wowote naye, ni mchakato uliopo kati ya Nyerere [RIP] na Kanisa Katoliki.
Kama Lissu anamuona Nyerere ana dhambi basi atuoneshe aliye mtakatifu ni yupi tumjue, Lissu ana tatizo la kutochagua maneno wakati wa kuzungumza, anatawaliwa na mihemko ndio mqana asipokutana na viongozi wenye hasira za karibu, wanamuadhibu.
Sijui hisia zangu ni zipi hapo.Lissu yuko very logical sema wewe humsikiliz8 kwa makini. Usiwe miongoni mwa walinsa hisia bali ukweli na uhalisia.
Wakati nyerere akijua Katiba Ilikuwa mbovu na haifai lakini hakufanya attempt yoyotebya kuiboresha.
Huo mfumo wa vyama vingi alileta sababu ua msukumo wa Kimataifa tu ili apate Pesa za wazungu.
Nje ya hapo ingekuwa ndoto.
Ni kweli Nyerere ana mazuri yake lakini manaya pia yasemwe iwe funzo kwa wengine.
Tujifunze kuwa Honesty.
Mkuu siyo uongo, …..weye ndo hujui Historia ya Africa ,...fikiria tu yaani adui yako!! muuza watumwa sugu! na Mkoloni huyo huyo!! akufanyie mabadiriko yeye? ili iweje??Huu ni uongo mkubwa, nchi gani aliyosaidia kuikomboa?,Angola &Mozambique zimepata uhuru baada ya mabadiliko ya serikali ya ureno,SA baada ya moderate leaders wakiongozwa na De Kleck kuchukua uongozi wa NP,Namibia baada ya makubaliano kati ya SA, US vs Cuba,Ussr;Zimbabwe baada ya uingereza kuingilia kati,elewa liberation movements they never won a war,only few battles
Na wakimaliza kupigana hawatakaa mezani kuzungumza? Kwanini wasizungumze kabla?
Labda ndiyo maana Mbowe amepotea baada ya kuona hakuna lolote na atawaambia nini watu!Mazungumzo baada ya mapigano huwa yanaheshimiwa, lakini haya ya kukutana wakati wengine wanajiona wako juu, usitegemee lolote la maana.
Kumbe nimeeleweka vizuri!! sasa iko hivi kuna maadui wa ndani na maadui wa nje!!….. kama Zanzibar kuna maadui lazima avamie akomboe ili wengi wanyonge wapone!! na ndo maana tulimchaguaKakomboa wengine, kavamia wengine. Kwa mfano Zanzibar ndiye Nyerere alivamia.
Ushawahi kujiuliza risasi zinavyomtesa mwilini mwake? Huyo ana laana kubwa sana anajifanya kudoma sheria ndo kujua kila kitu! Very stupid!Muulize Mungu kwa nini hakuruhusu afe kwa risasi lakini kuna wengine pamoja na kuzungukwa na madaktari bingwa koona ikawachota?
Ukipata jibu tusaidie na sisi
Diplomasia inaweza kuwa suluhu kama una deal na mtu mwenye busara na utu. Ila diplomasia haifanyi kazi kwenye mtu anaeamini falsafa za ubepari haiwezi kuwa na jibu muafaka.
Bepari yeyote anaamini katika vita ili ahodhi madaraka na mali wala hana huruma na wewe hata kama ni mnyonge kiasi gani. Tena anafurahia uzidi kuwa mnyonge ili yeye afaidi matunda ya unyonyaji.
This is what we are going through as a nation. Ujinga wa kufikiri suluhu itapatikana kwa kumbembeleza aliyeshiba asiendelee kujikusanyia magunia ya nafaka sababu wewe una njaa utaishia kufedheeka na kushangaa na roho yako Mzee.
Si umesema wewe? mara hii tu umeshasahau Mkuu?.....well natembea na *****! kwani kutembea na mtu kuna kosa gani? au unaongea kwa influence ya kile cha Arusha Mkuu!...umejuaje? ina maana unatembea na mama yake? anasafisha vya stend ya magufuli. After five minutes nitakblock indefinitely!
Kesha lamba asali huyo.Huyo Nyerere anayelaumiwa ndie aliyeleta huu mfumo wa vyama vingi licha ya wengi ndani ya chama chake kuupinga, na bila huo mfumo kuwepo sidhani hata huyo Lissu leo kama angekuwa anajulikana kama alivyo.
Lissu anapoendelea kwa kuzungumzia "utakatifu wa Nyerere" hapa anachoonesha ni mihemko yake tu, huu utakatifu hauna uhusiano wowote naye, ni mchakato uliopo kati ya Nyerere [RIP] na Kanisa Katoliki.
Kama Lissu anamuona Nyerere ana dhambi basi atuoneshe aliye mtakatifu ni yupi tumjue, Lissu ana tatizo la kutochagua maneno wakati wa kuzungumza, anatawaliwa na mihemko ndio maana anapokutana na kiongozi mwenye hasira za karibu, anamuadhibu.
Kafanye hayo machafuko umezuiliwa na nani??Bila machafuko hakuna mabadiliko yanayotakiwa kutokea yatatokea. Najua hukubaliani na ukweli huu, lakini ili mabadiliko halisi yatokee, machafuko ndio njia pekee. Hizi porojo za kukaa mezani watu wakiwa wamevaa suti na sio kuwa na bandeji, tutaendelea kuchezeana.
Mkuu hilo nimelisema ironically sababu kwa Tanzania fisadi,mnyonyaji wa wenzie na mla rushwa kwa kupitia mgongo wa siasa au cheo chake kazini ndio hujiita bepari.Usitufananishe mabepari na hao mafisadi. Mafisadi ndiyo wanaotajirika wakiingia kwenye siasa na ndiyo maana hawataki mfumo ubadilike. Mabepari tuko sekta binafsi ambayo inabanwa na kushambuliwa tangu nchi ipate uhuru.
Blah Blah blah ni haki yetu to disagree, NAC umeirudia zaidi ya mara mbili hapo juu, ninaamini ni typing error, vyama vyote hivyo havijawahi kushinda vita dhidi ya hao na mbaya zaidi hakuna battle yeyote iliyofanywa na PAC(Azania)au ANC(U.sizwe),uhuru wa SA umeletwa zaidi na pressure ya moderates waliochukua madaraka ya NP, na msukumo wa UDF ndani ya nchi, hao wote uliowapa hifadhi nchini hapa walikuwa picnic, always ukweli uelezwe hata kama ni mchungu, wazimbabwe ndio kabisa ,wao walikuwa wanapiga soft targets including kuipiga ndege iliyobeba watoto kutoka Victoria falls, nimesoma vitabu vya historia na kubahatika kutembelea hizi nchi zote za sadc mkuuMkuu siyo uongo, …..weye ndo hujui Historia ya Africa ,...fikiria tu yaani adui yako!! muuza watumwa sugu! na Mkoloni huyo huyo!! akufanyie mabadiriko yeye? ili iweje??
Unajua kuendesha Makoloni ni mtaji ni gharama na faida kuuubwaa yaani afe njaa kirahisi tu eti weye adui yake upone? mwee??
hata bibi yako wa Gumbaru hata kuelewa!.....De klerk hakuwa na jeuri hiyo alisukumiwa pila na watangulizi wake baada ya wao kushindwa kumudu ule muziki wa NAC,
kifupi alitolewa kafara baada ya kaburu kubanwa kila angle na nchi huru ambao sasa walikuwa maadui jirani yake !! ndo maana alianzisha Bantustan....lkn pia hizo hizo Bantustan ndo ukawa mwiba mkali Zaidi!
sababu nchi jirani zooote zilikuwa tayari huru na walikuwa na Umoja kupitia chama lao kubwa yaani!
chama Mama/tata la ''Non Aligned Countries!'' Na sasa SADACC
kwa sababu hii kaburu asinge chomoka!!! huyo De clerk hakuwa na jeuri hiyo hata Nusu! waalimu wako hao wa UPE /vilaza, hawakujua Africans History bali ulipigwa za uso!
DSM Bongo Land! yetu ya leo ndo ilikuwa Makao Makuu ya NAC, kimafunzo, siraha, hifadhi ya wakimbizi KM Mazimbu ,Msata pale kwa uchache tu tuliwahifadhi wooote wa kusini mwa Africa!
ndo Maana TZ nchi zote za kusini mwa Africa wanatuheshimu saaana!...acha akili za ivo Muingereza, Usa,Mreno ndo adui zetu waliouza babu zako utumwani eti huyo huyo tena akusaidie! Loool!
Cuba ni ndg zetu wa Damu lililo wasibu nasi pia lilitusibu!...……...Russia, China nk, walikuwa ni Marafiki zetu wa kweli hatuta washau pia ni adui zao hao maadui zetu!
mpaka sasa navoongea hapa Africa tutamsaidia M-Russsia kumpiga m-Ukraine!...hata iweje ikitokea Kenyatta kuwa kinyume na hili ndo mwisho wake!...rudia kusoma historia ya Drs la tano af uje temna hapa!
siku hizi mnaita uraia?????/
Alihubiri maneno matamu lakini matendo yake yalikuwa ni ya hovyo snBut angalau yeye hakuwa mlafi na alikuwa na maono makubwa
Hakufanya lolote la maana zaidi ya kuandaa mafisadi na majangili ya nchiNyerere is iconic figure World Wide ever!! come what may! u' gel ma drift?
OAU ilifanya Dar kuwa makao makuu ya liberation movements.Huu ni uongo mkubwa, nchi gani aliyosaidia kuikomboa? Angola & Mozambique zimepata uhuru baada ya mabadiliko ya serikali ya Ureno, SA baada ya moderate leaders wakiongozwa na De Kleck kuchukua uongozi wa NP, Namibia baada ya makubaliano kati ya SA, US vs Cuba, USSR; Zimbabwe baada ya uingereza kuingilia kati, elewa liberation movements they never won a war, only few battles
Hao ni zao la vijana waliokuwa brainwashed na western media.Mkuu siyo uongo, …..weye ndo hujui Historia ya Africa ,...fikiria tu yaani adui yako!! muuza watumwa sugu! na Mkoloni huyo huyo!! akufanyie mabadiriko yeye? ili iweje??
Unajua kuendesha Makoloni ni mtaji ni gharama na faida kuuubwaa yaani afe njaa kirahisi tu eti weye adui yake upone? mwee??
hata bibi yako wa Gumbaru hata kuelewa!.....De klerk hakuwa na jeuri hiyo alisukumiwa pila na watangulizi wake baada ya wao kushindwa kumudu ule muziki wa NAC,
kifupi alitolewa kafara baada ya kaburu kubanwa kila angle na nchi huru ambao sasa walikuwa maadui jirani yake !! ndo maana alianzisha Bantustan....lkn pia hizo hizo Bantustan ndo ukawa mwiba mkali Zaidi!
sababu nchi jirani zooote zilikuwa tayari huru na walikuwa na Umoja kupitia chama lao kubwa yaani!
chama Mama/tata la ''Non Aligned Countries!'' Na sasa SADACC
kwa sababu hii kaburu asinge chomoka!!! huyo De clerk hakuwa na jeuri hiyo hata Nusu! waalimu wako hao wa UPE /vilaza, hawakujua Africans History bali ulipigwa za uso!
DSM Bongo Land! yetu ya leo ndo ilikuwa Makao Makuu ya NAC, kimafunzo, siraha, hifadhi ya wakimbizi KM Mazimbu ,Msata pale kwa uchache tu tuliwahifadhi wooote wa kusini mwa Africa!
ndo Maana TZ nchi zote za kusini mwa Africa wanatuheshimu saaana!...acha akili za ivo Muingereza, Usa,Mreno ndo adui zetu waliouza babu zako utumwani eti huyo huyo tena akusaidie! Loool!
Cuba ni ndg zetu wa Damu lililo wasibu nasi pia lilitusibu!...……...Russia, China nk, walikuwa ni Marafiki zetu wa kweli hatuta washau pia ni adui zao hao maadui zetu!
mpaka sasa navoongea hapa Africa tutamsaidia M-Russsia kumpiga m-Ukraine!...hata iweje ikitokea Kenyatta kuwa kinyume na hili ndo mwisho wake!...rudia kusoma historia ya Drs la tano af uje temna hapa!
siku hizi mnaita uraia?????/
Mkuu hilo nimelisema ironically sababu kwa Tanzania fisadi,mnyonyaji wa wenzie na mla rushwa kwa kupitia mgongo wa siasa au cheo chake kazini ndio hujiita bepari.
Kimsingi sina tatizo na ubepari sababu huwa kilele chake kinakuwaga na element ya philanthropy. Ila ubepari wenye element za kishenzi kama za CCM za kutesa raia wakati wao wanainjoy ndio sizipendi na ndio maana nilimkubali Magufuli.