Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

Huyo Nyerere anayelaumiwa ndie aliyeleta huu mfumo wa vyama vingi licha ya wengi ndani ya chama chake kuupinga, na bila huo mfumo kuwepo sidhani hata huyo Lissu leo angekuwa anajulikana kama alivyo.

Lissu anapoendelea kwa kuzungumzia "utakatifu wa Nyerere" hapa anachoonesha ni mihemko yake tu, huu utakatifu hauna uhusiano wowote naye, ni mchakato uliopo kati ya Nyerere [RIP] na Kanisa Katoliki.

Kama Lissu anamuona Nyerere ana dhambi basi atuoneshe aliye mtakatifu ni yupi tumjue, Lissu ana tatizo la kutochagua maneno wakati wa kuzungumza, anatawaliwa na mihemko ndio mqana asipokutana na viongozi wenye hasira za karibu, wanamuadhibu.
Lissu yuko very logical sema wewe humsikiliz8 kwa makini. Usiwe miongoni mwa walinsa hisia bali ukweli na uhalisia.

Wakati nyerere akijua Katiba Ilikuwa mbovu na haifai lakini hakufanya attempt yoyotebya kuiboresha.

Huo mfumo wa vyama vingi alileta sababu ua msukumo wa Kimataifa tu ili apate Pesa za wazungu.

Nje ya hapo ingekuwa ndoto.

Ni kweli Nyerere ana mazuri yake lakini manaya pia yasemwe iwe funzo kwa wengine.

Tujifunze kuwa Honesty.
 
Sijui hisia zangu ni zipi hapo.

- Unaposema Nyerere alileta mfumo wa vyama vingi ili apate pesa za wazungu, sijui unamzungumzia Nyerere yupi, huyo wako sio yule niliyekuwa namfahamu mimi, Nyerere niliyekuwa nikimfahamu alikuwa hajui kujikomba kwa wazungu kama hawa viongozi wetu wa sasa.

- Kama Nyerere alijua Katiba iliyopo ni mbovu na haifai lakini hakufanya lolote, sasa ndio aendelee kulaumiwa mpaka leo licha ya marais wengine watano waliofuata baada yake? hata sijui logic yako unayoizungumzia iko wapi!.

Sharti la kuwa honesty uongee reality, sio kuingiza mpaka mambo ya "mchakato wa utakatifu" ambao Lissu haumuhusu chochote, na nyie mjifunze kumwambia Lissu ukweli, sio kumsifia tu hata akiongea mihemko yake, mnamuharibu.
 
Huu ni uongo mkubwa, nchi gani aliyosaidia kuikomboa?,Angola &Mozambique zimepata uhuru baada ya mabadiliko ya serikali ya ureno,SA baada ya moderate leaders wakiongozwa na De Kleck kuchukua uongozi wa NP,Namibia baada ya makubaliano kati ya SA, US vs Cuba,Ussr;Zimbabwe baada ya uingereza kuingilia kati,elewa liberation movements they never won a war,only few battles
Mkuu siyo uongo, …..weye ndo hujui Historia ya Africa ,...fikiria tu yaani adui yako!! muuza watumwa sugu! na Mkoloni huyo huyo!! akufanyie mabadiriko yeye? ili iweje??

Unajua kuendesha Makoloni ni mtaji ni gharama na faida kuuubwaa yaani afe njaa kirahisi tu eti weye adui yake upone? mwee??

hata bibi yako wa Gumbaru hata kuelewa!.....De klerk hakuwa na jeuri hiyo alisukumiwa pila na watangulizi wake baada ya wao kushindwa kumudu ule muziki wa NAC,

kifupi alitolewa kafara baada ya kaburu kubanwa kila angle na nchi huru ambao sasa walikuwa maadui jirani yake !! ndo maana alianzisha Bantustan....lkn pia hizo hizo Bantustan ndo ukawa mwiba mkali Zaidi!

sababu nchi jirani zooote zilikuwa tayari huru na walikuwa na Umoja kupitia chama lao kubwa yaani!
chama Mama/tata la ''Non Aligned Countries!'' Na sasa SADACC

kwa sababu hii kaburu asinge chomoka!!! huyo De clerk hakuwa na jeuri hiyo hata Nusu! waalimu wako hao wa UPE /vilaza, hawakujua Africans History bali ulipigwa za uso!

DSM Bongo Land! yetu ya leo ndo ilikuwa Makao Makuu ya NAC, kimafunzo, siraha, hifadhi ya wakimbizi KM Mazimbu ,Msata pale kwa uchache tu tuliwahifadhi wooote wa kusini mwa Africa!

ndo Maana TZ nchi zote za kusini mwa Africa wanatuheshimu saaana!...acha akili za ivo Muingereza, Usa,Mreno ndo adui zetu waliouza babu zako utumwani eti huyo huyo tena akusaidie! Loool!

Cuba ni ndg zetu wa Damu lililo wasibu nasi pia lilitusibu!...……...Russia, China nk, walikuwa ni Marafiki zetu wa kweli hatuta washau pia ni adui zao hao maadui zetu!

mpaka sasa navoongea hapa Africa tutamsaidia M-Russsia kumpiga m-Ukraine!...hata iweje ikitokea Kenyatta kuwa kinyume na hili ndo mwisho wake!...rudia kusoma historia ya Drs la tano af uje temna hapa!

siku hizi mnaita uraia?????/
 
Kakomboa wengine, kavamia wengine. Kwa mfano Zanzibar ndiye Nyerere alivamia.
Kumbe nimeeleweka vizuri!! sasa iko hivi kuna maadui wa ndani na maadui wa nje!!….. kama Zanzibar kuna maadui lazima avamie akomboe ili wengi wanyonge wapone!! na ndo maana tulimchagua

yaani tulimtuma sisi afanye ivo!! make Zanzibar ni mali yetu sisi bara kisiwa cha uvuvi….. ..so alikuwa sahihi san ttuu!...…. asinge fanya ivo ...tungemkomesha ikulu asiione tena!
 
Muulize Mungu kwa nini hakuruhusu afe kwa risasi lakini kuna wengine pamoja na kuzungukwa na madaktari bingwa koona ikawachota?
Ukipata jibu tusaidie na sisi
Ushawahi kujiuliza risasi zinavyomtesa mwilini mwake? Huyo ana laana kubwa sana anajifanya kudoma sheria ndo kujua kila kitu! Very stupid!
 
Diplomasia inaweza kuwa suluhu kama una deal na mtu mwenye busara na utu. Ila diplomasia haifanyi kazi kwenye mtu anaeamini falsafa za ubepari haiwezi kuwa na jibu muafaka.

Bepari yeyote anaamini katika vita ili ahodhi madaraka na mali wala hana huruma na wewe hata kama ni mnyonge kiasi gani. Tena anafurahia uzidi kuwa mnyonge ili yeye afaidi matunda ya unyonyaji.

This is what we are going through as a nation. Ujinga wa kufikiri suluhu itapatikana kwa kumbembeleza aliyeshiba asiendelee kujikusanyia magunia ya nafaka sababu wewe una njaa utaishia kufedheeka na kushangaa na roho yako Mzee.

Usitufananishe mabepari na hao mafisadi. Mafisadi ndiyo wanaotajirika wakiingia kwenye siasa na ndiyo maana hawataki mfumo ubadilike. Mabepari tuko sekta binafsi ambayo inabanwa na kushambuliwa tangu nchi ipate uhuru.
 
umejuaje? ina maana unatembea na mama yake? anasafisha vya stend ya magufuli. After five minutes nitakblock indefinitely!
Si umesema wewe? mara hii tu umeshasahau Mkuu?.....well natembea na *****! kwani kutembea na mtu kuna kosa gani? au unaongea kwa influence ya kile cha Arusha Mkuu!...

hiviii ukini -Bolocku nita suffocate au …..kufanya ivo unafikiri ndo uta kuwa Idealistic wa kimataifa km Mimi? sometimes Kwa akili zako hizo unadhani ndo ntakufa sijui??..

To sum up! yaani weye ni ritoto!! tena ritoto illitrate kabisa! yale Matoto mashamba yaliyokuzwa na Bibi zao hukooo vijijini!..ni kususa susa tuuu na kulilia tuu viporo vya ugari ule wa muhogo wa kutwanga na mrenda wa juzi!!

MKubwa mzima!! tena IT ofisa, mie unanitishia Blockage??/Looool ufwilwe nyambara…... ebu block nikuon eeeee kilaza unavo buloku!
 
Huyo Nyerere anayelaumiwa ndie aliyeleta huu mfumo wa vyama vingi licha ya wengi ndani ya chama chake kuupinga, na bila huo mfumo kuwepo sidhani hata huyo Lissu leo kama angekuwa anajulikana kama alivyo.

Lissu anapoendelea kwa kuzungumzia "utakatifu wa Nyerere" hapa anachoonesha ni mihemko yake tu, huu utakatifu hauna uhusiano wowote naye, ni mchakato uliopo kati ya Nyerere [RIP] na Kanisa Katoliki.

Kama Lissu anamuona Nyerere ana dhambi basi atuoneshe aliye mtakatifu ni yupi tumjue, Lissu ana tatizo la kutochagua maneno wakati wa kuzungumza, anatawaliwa na mihemko ndio maana anapokutana na kiongozi mwenye hasira za karibu, anamuadhibu.
Kesha lamba asali huyo.
Sasa hivi anatafuta pa kutokea!!
 
Bila machafuko hakuna mabadiliko yanayotakiwa kutokea yatatokea. Najua hukubaliani na ukweli huu, lakini ili mabadiliko halisi yatokee, machafuko ndio njia pekee. Hizi porojo za kukaa mezani watu wakiwa wamevaa suti na sio kuwa na bandeji, tutaendelea kuchezeana.
Kafanye hayo machafuko umezuiliwa na nani??
 
Usitufananishe mabepari na hao mafisadi. Mafisadi ndiyo wanaotajirika wakiingia kwenye siasa na ndiyo maana hawataki mfumo ubadilike. Mabepari tuko sekta binafsi ambayo inabanwa na kushambuliwa tangu nchi ipate uhuru.
Mkuu hilo nimelisema ironically sababu kwa Tanzania fisadi,mnyonyaji wa wenzie na mla rushwa kwa kupitia mgongo wa siasa au cheo chake kazini ndio hujiita bepari.

Kimsingi sina tatizo na ubepari sababu huwa kilele chake kinakuwaga na element ya philanthropy. Ila ubepari wenye element za kishenzi kama za CCM za kutesa raia wakati wao wanainjoy ndio sizipendi na ndio maana nilimkubali Magufuli.
 
Mkuu siyo uongo, …..weye ndo hujui Historia ya Africa ,...fikiria tu yaani adui yako!! muuza watumwa sugu! na Mkoloni huyo huyo!! akufanyie mabadiriko yeye? ili iweje??

Unajua kuendesha Makoloni ni mtaji ni gharama na faida kuuubwaa yaani afe njaa kirahisi tu eti weye adui yake upone? mwee??

hata bibi yako wa Gumbaru hata kuelewa!.....De klerk hakuwa na jeuri hiyo alisukumiwa pila na watangulizi wake baada ya wao kushindwa kumudu ule muziki wa NAC,

kifupi alitolewa kafara baada ya kaburu kubanwa kila angle na nchi huru ambao sasa walikuwa maadui jirani yake !! ndo maana alianzisha Bantustan....lkn pia hizo hizo Bantustan ndo ukawa mwiba mkali Zaidi!

sababu nchi jirani zooote zilikuwa tayari huru na walikuwa na Umoja kupitia chama lao kubwa yaani!
chama Mama/tata la ''Non Aligned Countries!'' Na sasa SADACC

kwa sababu hii kaburu asinge chomoka!!! huyo De clerk hakuwa na jeuri hiyo hata Nusu! waalimu wako hao wa UPE /vilaza, hawakujua Africans History bali ulipigwa za uso!

DSM Bongo Land! yetu ya leo ndo ilikuwa Makao Makuu ya NAC, kimafunzo, siraha, hifadhi ya wakimbizi KM Mazimbu ,Msata pale kwa uchache tu tuliwahifadhi wooote wa kusini mwa Africa!

ndo Maana TZ nchi zote za kusini mwa Africa wanatuheshimu saaana!...acha akili za ivo Muingereza, Usa,Mreno ndo adui zetu waliouza babu zako utumwani eti huyo huyo tena akusaidie! Loool!

Cuba ni ndg zetu wa Damu lililo wasibu nasi pia lilitusibu!...……...Russia, China nk, walikuwa ni Marafiki zetu wa kweli hatuta washau pia ni adui zao hao maadui zetu!

mpaka sasa navoongea hapa Africa tutamsaidia M-Russsia kumpiga m-Ukraine!...hata iweje ikitokea Kenyatta kuwa kinyume na hili ndo mwisho wake!...rudia kusoma historia ya Drs la tano af uje temna hapa!

siku hizi mnaita uraia?????/
Blah Blah blah ni haki yetu to disagree, NAC umeirudia zaidi ya mara mbili hapo juu, ninaamini ni typing error, vyama vyote hivyo havijawahi kushinda vita dhidi ya hao na mbaya zaidi hakuna battle yeyote iliyofanywa na PAC(Azania)au ANC(U.sizwe),uhuru wa SA umeletwa zaidi na pressure ya moderates waliochukua madaraka ya NP, na msukumo wa UDF ndani ya nchi, hao wote uliowapa hifadhi nchini hapa walikuwa picnic, always ukweli uelezwe hata kama ni mchungu, wazimbabwe ndio kabisa ,wao walikuwa wanapiga soft targets including kuipiga ndege iliyobeba watoto kutoka Victoria falls, nimesoma vitabu vya historia na kubahatika kutembelea hizi nchi zote za sadc mkuu
 
Huu ni uongo mkubwa, nchi gani aliyosaidia kuikomboa? Angola & Mozambique zimepata uhuru baada ya mabadiliko ya serikali ya Ureno, SA baada ya moderate leaders wakiongozwa na De Kleck kuchukua uongozi wa NP, Namibia baada ya makubaliano kati ya SA, US vs Cuba, USSR; Zimbabwe baada ya uingereza kuingilia kati, elewa liberation movements they never won a war, only few battles
OAU ilifanya Dar kuwa makao makuu ya liberation movements.

Asilimia kubwa ya wapigania uhuru walikua hapa Dar.

Mipango yote ilikua hapa.

Huko Morogoro kuna ushahidi ya makambi ya wapigania uhuru.

Ndugu success yeyote ile kwa nchi hizo chanzo chake ilikua hapa.
 
Mkuu siyo uongo, …..weye ndo hujui Historia ya Africa ,...fikiria tu yaani adui yako!! muuza watumwa sugu! na Mkoloni huyo huyo!! akufanyie mabadiriko yeye? ili iweje??

Unajua kuendesha Makoloni ni mtaji ni gharama na faida kuuubwaa yaani afe njaa kirahisi tu eti weye adui yake upone? mwee??

hata bibi yako wa Gumbaru hata kuelewa!.....De klerk hakuwa na jeuri hiyo alisukumiwa pila na watangulizi wake baada ya wao kushindwa kumudu ule muziki wa NAC,

kifupi alitolewa kafara baada ya kaburu kubanwa kila angle na nchi huru ambao sasa walikuwa maadui jirani yake !! ndo maana alianzisha Bantustan....lkn pia hizo hizo Bantustan ndo ukawa mwiba mkali Zaidi!

sababu nchi jirani zooote zilikuwa tayari huru na walikuwa na Umoja kupitia chama lao kubwa yaani!
chama Mama/tata la ''Non Aligned Countries!'' Na sasa SADACC

kwa sababu hii kaburu asinge chomoka!!! huyo De clerk hakuwa na jeuri hiyo hata Nusu! waalimu wako hao wa UPE /vilaza, hawakujua Africans History bali ulipigwa za uso!

DSM Bongo Land! yetu ya leo ndo ilikuwa Makao Makuu ya NAC, kimafunzo, siraha, hifadhi ya wakimbizi KM Mazimbu ,Msata pale kwa uchache tu tuliwahifadhi wooote wa kusini mwa Africa!

ndo Maana TZ nchi zote za kusini mwa Africa wanatuheshimu saaana!...acha akili za ivo Muingereza, Usa,Mreno ndo adui zetu waliouza babu zako utumwani eti huyo huyo tena akusaidie! Loool!

Cuba ni ndg zetu wa Damu lililo wasibu nasi pia lilitusibu!...……...Russia, China nk, walikuwa ni Marafiki zetu wa kweli hatuta washau pia ni adui zao hao maadui zetu!

mpaka sasa navoongea hapa Africa tutamsaidia M-Russsia kumpiga m-Ukraine!...hata iweje ikitokea Kenyatta kuwa kinyume na hili ndo mwisho wake!...rudia kusoma historia ya Drs la tano af uje temna hapa!

siku hizi mnaita uraia?????/
Hao ni zao la vijana waliokuwa brainwashed na western media.
 
Mkuu hilo nimelisema ironically sababu kwa Tanzania fisadi,mnyonyaji wa wenzie na mla rushwa kwa kupitia mgongo wa siasa au cheo chake kazini ndio hujiita bepari.

Kimsingi sina tatizo na ubepari sababu huwa kilele chake kinakuwaga na element ya philanthropy. Ila ubepari wenye element za kishenzi kama za CCM za kutesa raia wakati wao wanainjoy ndio sizipendi na ndio maana nilimkubali Magufuli.

Hata huyo Magufuli aliletwa ili CCM ionekane inapambana na ufisadi lakini siyo kweli. CCM ni ile ile. Tena huyo Magufuli alivyovuruga upinzani ndiyo amehakikisha CCM inaendelea kutawala miaka mingine 60.
 
Back
Top Bottom