Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

Kumbe Nyerere hakuwa na demokrasia, alikuwa dictator mkubwa, eti huyo ndiye anakuja kuwa Mtakatifu!

Sikiliza kwa makini:
Wakati wa Nyerere ni wakati huo, na mfumo huo ulihitajika wakati huo. Hakuna sababu yoyote ya kuleta mjadala wa wakati tofauti tuujadili kwa wakati huu!

Swala la Utakatifu linamhusu kitu gani Lissu. Kama anataka kupinga utakatifu wa Nyerere aende mahala stahiki na ushahidi alio naye yeye.

Kupambana na Mwalimu hata katika enzi hizi bado inaonyesha upungufu mkubwa wa kifikra wa hawa watu. Lissu anayo mambo chungu nzima yaliyopo leo hii yanayohitaji kushughulikiwa; huo muda wa kujadili ya Nyerere yatamsaidia kitu gani.
 
Mbona wakoloni na wazungu tunawalaumu mpaka leo? Mpaka vitabu viliandikwa vya kulaumu wazungu
Tatizo mnamlaumu bila kuchukua hatua kurekebisha hali

....mnasahau baada yake wameshapita maraisi 5 ila bado mnalialia kama vile yeye bado ndio mtawala (mmegeuka taifa la kulalamika).

Acheni Kudeka, kama hamuwezi kubadilisha katiba zenu mbovu, mifumo ya uongozi au uchumi wenu vumilieni maana ndio maisha mliochagua.
 
Stop that, we were a protectorate not a colony. We were destined for independence once we are capable of managing our own affairs!
Kwa hiyo wewe hapo hu'acknowledge' juhudi zozote zilizofanywa kupata uhuru!

And from the look of it, we would still be under colonial rule today with people of your disposition, because we would hardly be "managing our affairs" to this day!
 
Siyo kweli. Watanganyika na wengine wengi walikuja Zanzibar kama walowezi ndiyo hao Nyerere alitaka wapewe uraia wa Zanzibar halafu kura. Walivyokataliwa ndiyo uhasama ulianza.
Hata waarabu walikuja Zanzibar pia wakalowea
 
Ni bora ungezaliwa bata ili uwe kitoweo
Acha kushiriki kusambaza ujinga! Lissu hana hata chembe ya akili ya kumzungumza Mwalimu Nyerere kirahisi. # Basi si mumheshimu Mwalimu kwa kujenga taifa moja la Tanzania![emoji120][emoji120][emoji120]
 
Let history prevail!
You probably do not know the meaning of the word "prevail".

Which history are you alluding to?
Nyerere's accomplishments tramps every trash that is invented, yet you term it history?
 
Bila machafuko hakuna mabadiliko yanayotakiwa kutokea yatatokea. Najua hukubaliani na ukweli huu, lakini ili mabadiliko halisi yatokee, machafuko ndio njia pekee. Hizi porojo za kukaa mezani watu wakiwa wamevaa suti na sio kuwa na bandeji, tutaendelea kuchezeana.
Vipi upo tayari kufa au kumua ndugu yako ili lisu aupate urais?
 
N
Bila machafuko hakuna mabadiliko yanayotakiwa kutokea yatatokea. Najua hukubaliani na ukweli huu, lakini ili mabadiliko halisi yatokee, machafuko ndio njia pekee. Hizi porojo za kukaa mezani watu wakiwa wamevaa suti na sio kuwa na bandeji, tutaendelea kuchezeana.
Nakazia: Yatokee machafuko makubwa yatakayoacha alama ya vilema na majonzi ya vifo. Hapo ndiyo katiba bora tapatikana.
 
Na sijui kama Lissu alikuwa amezaliwa 1961.

Na hao wasomi '61 na wapiga kura kidemokrasia 1961-1971 sijui kama huko Ikungi walikuwepo.
Ni wajinga tu hawajui kuwa kina Lissu wamesoma baada ya shule nyingi za Missiin kutaifishwa na hata shule za sekondari kusoma bure.

Leo mtu aatukana mamba baada ya kuvuka to.

Lissu angekuwa ana lima vitynguu Singida leo.
Huyu jamaa ni mzalendo halisi na ninaona ana maono marefu ya akiri za george washington, Erik sharon, David ben gurion, churchil na mahatma Gandhi! Kujua historia ya Pele sio lazima uwe umezaliwa 1942! imefikia mahala la zima tuchambue ukweli kwa nini pele akipigia ugokoni inaitwa staili mpya lakini wewe ukipigia ugokoni unachekwa jukwaani! kumkandia mtu anayezungumzia ukweli wa mungu si haki mbele ya vitabu vitakatifu. Wewe endelea kumalizia ile korasi ya mabepari walia kukatiwa milija walipotangaziwa azimio la arusha, sisi tunalilia katiba mpya ya kidemokrasia!
 
But angalau yeye hakuwa mlafi na alikuwa na maono makubwa
Alikaa madarakani zaidi ya Miaka 20, Ni urafi, maono yake ya ujamaa yalikuwa hayawezi kuwa in practice, he was a failure

Kitu pekee kizuri alifanya Ni kujenga viwanda, ambavyo pia havikukuwa sababu ya sera yake ya ujamaa, Taifa Ni masikini sababu yake, tazama uchumi wa Kenya ulipo leo hi

Watanzania wengi Ni wabaguzi huwa wanamsema Magufuli wakisahau ule ukichaa Ali-copy kwa Nyerere, ambaye alikuwa real kichaa (hii Ni kweli kabisa,tazama baadhi ya wanae)
 
Jidu La Mabambasi,
Amigo! Jaribu kwanza kutuliza akili yako halafu furahia jinsi gani Tundu lisu amezungumzia vizuri kuhusu madaraka ya raisi yatakiwavyo. kero nyingi za muungano zitatatuliwa kwa busara, bunge halitakuwa na mishahala mikubwa,safari za nje zitapungua na kufanywa na mabalozi,taifa stars kucheza world cup, ueuzi utazingatia haki na ujuzi kuliko uspoon!

unajua kwa nini israel ni taifa kali kuliko yote duniani? ni kwa sababu kiongozi wao huwajibishwa kisawasawa.Unaabiwa benja leo hii chupu chupu kunyea debe ingawa alikuwa kiongozi wao miaka kumi!Davi ingawa aliwatoa uhamishoni na kuwa kiongozi wao wa kwanza kipenzi lakini walimtimua madarakani 1967 kwa sababu ya uzembe! Ehud Omlet kashachezea jela na katoka sasa yupo uraiani!
 
Vipi upo tayari kufa au kumua ndugu yako ili lisu aupate urais?
kwani kosa la handipasi ni lipi? kuchambua demokrasia ndo kosa? mimi juzi juzi baada ya Yanga kuchukua ubingwa niliisema ukweli hapo hapo kuwa midfiders wa yanga hawajui ball possesion ili wafanyie kazi. nikaambiwa sijui mpira. jana Yanga kafungwa kwa kosa lilile lile nilotaka walifanyie kazi ili lisitokee sasa nani shujaa hapo? naipenda sanda Yanga ndo maana nilitaka iimalike sio nilitaka kuzomea timu yangi kipenzi, upo amigo!
 
Back
Top Bottom