Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Roho mtakatifu katajwa hapo kwa jinsi ya fumbo ...tumia akili . Wenzako tuna akili kubwa sana ya logic ndiyo maana tunaweza kutambua mafumbo magumu ...Wewe ndiye msemaji wa Yesu ?? Tokea lini ??
Hiyo ni tafsiri yako, si maandiko. Nionyeshe mstari unaosema Yesu alikuwa anazungumzia Roho Mtakatifu katika Luka 17:20–21.
Mimi nimejadili muktadha wa maandiko; wewe umeleta hitimisho bila ushahidi. Tafsiri bila dalili za maandiko si hoja.
UFALME KUWA NDANI YA WATU NI KUJAZWA ROHO MTAKATIFU KWA WACHAMUNGU WAKE (YAANI KUWA NA ROHO MTAKATIFU ) Mtu mwenye roho mtakatifu maana yake ni Ufalme wa mungu umekaa ndani yake na mwili wake umekuwa hekalu takatifu la Mungu.