Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Nilikuwa zangu vyombo hata sielewi
Nilikuwa zangu vyombo hata sielewi
Ila wewe umezidi sasa bado unahang overNilikuwa zangu vyombo hata sielewi
Sina hangover hata! Sasa nimezidi nini?Ila wewe umezidi sasa bado unahang over
Hiyo kupiga vitu mrembo wangu wakati mi bado nina clean sheet za kutoshaSina hangover hata! Sasa nimezidi nini?
Kila mtu na maisha yake! Mimi ndio nimechagua haya!Hiyo kupiga vitu mrembo wangu wakati mi bado nina clean sheet za kutosha
Njoo prime minister nikupe codeKila mtu na maisha yake! Mimi ndio nimechagua haya!
Hakika mtumishi wa Mungu.Asante kwa maoni yako, lakini naona umechanganya makundi mawili tofauti ya watu.
Katika Injili ya Luka 17:20-21, Yesu hakuwa anazungumza na wanafunzi wake, bali aliulizwa na Mafarisayo: "Ufalme wa Mungu unakuja lini?" Jibu la "ufalme wa Mungu umo ndani yenu/katikati yenu" lilielekezwa kwa Mafarisayo.
Sasa swali ni hili: Je, Mafarisayo ndio waliokuwa wamemwamini Yesu? La.
Je, wao ndio waliokuwa wanatenda miujiza kwa jina lake? La.
Je, wao ndio waliokuwa wameacha kila kitu na kumfuata? La.
Kinyume chake, Injili zinaonyesha mara nyingi Mafarisayo walimpinga Yesu na hata walitaka kumuua (tazama Injili ya Yohana 11:53).
Ndiyo maana tafsiri ya "katikati yenu" (in your midst) inaendana vizuri zaidi na muktadha: Yesu alikuwa akiwaambia kwamba Ufalme wa Mungu ulikuwa tayari umefika miongoni mwao kupitia utume na uwepo wake, lakini hawakuutambua.
Pia, kama unavyosema kwamba Ufalme uko ndani ya kila mwamini, hilo halipingi ukweli kwamba Yesu pia alifundisha waombe:
Na alisema pia kutakuwa na wakati ambapo wenye haki wataurithi Ufalme (Injili ya Mathayo 25:34).
Kwa hiyo, maandiko yanaonyesha vipengele viwili: Ufalme wa Mungu ulianza kudhihirika kupitia utume wa Yesu, lakini pia una utimilifu wa baadaye. Ndiyo maana si sahihi kutumia Luka 17:21 peke yake kusema kwamba Ufalme umekamilika ndani ya kila mtu.
Code za nini?Njoo prime minister nikupe code
Dai lilianza kwamba Mungu yupo.sawa iyo iyo philosophy inasema uwezi SEMA kitu akipo mda umekitaja tena,Mfano unadai Mungu ayupo mda umemtaja iyo Hali Ina halalisha existence ya kitu.
Kulala na kuamka bure.Cha kukuongezea acha kujitoa ufahamu,embu fahamu
Unalala unaamka
Pumzi bure hulipii
sio philosophy iyo
una survive ata kujikwaa ujikwai sometimes sio philosophy iyo
ila ni Prove Mungu yupo
anayekufanya unafikiria
anakupa na aibu ya kukuzuia ukitaka kutenda mabaya,,,
Kwa nini unataka uwepo wako, utegemee uwepo wa huyo Mungu?Au we mtu wa Dini Nini maana ukishika Dini sana Kuna mda unashindwa kuelewa Mungu yupo zaida ya kuwa na story za mitume
Yani we uwepo afu Mungu asiwepo mi niwepo Mungu asiwepo inakuja hata akilini kweli,
Nyie watu, Mnahangaika sana kumuongelea na kumtetea huyo Mungu. As if, yeye ni bubu na mlemavu hawezi kujitetea mwenyewe.Au we AI.
mi mtu akileta mambo ya kusema Mungu ayupo natamani hata Mungu ambarikii amfanyanyie miujiza hadi abadirike awe shuhuda tupunguze illiteracy mtaani
Kwa nini uamini Mungu yupo na si kujua kwa uhakika kabisa kwamba yupo?TU jamani kama tunashindwa kuamini Mungu yupo adi Leo
ivi haki zetu je tutakumbuka.....
Hakuna Mungu.Mungu tusamehe,
pia Mungu tugemee mapande ya riziki nasi.
Kwanza hakuna Mungu Muumba.
Binadamu Hawaumbwi.
Binadamu wanazaliwa kwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.
Hawaumbwi na yeyote.
Hakuna Mungu Muumba wa yeyote au chochote.
If people can build a house and call it the house of God, they can also write ✍️ a book and call it, the word of God.
Dai lilianza kwamba Mungu yupo.
Halikuanza kwamba Mungu hayupo.
Kwa hiyo Dai la kwamba Mungu yupo halina uthibitisho na halijathibitishwa.
Wenye mzigo wa kuthibitisha Dai la kwamba Mungu yupo, Wameshindwa na dai hili limebaki halijathibitisha.
Falsafa ya uthibitisho inamtaka anayeanza kudai kitu kipo, ndio mwenye mzigo wa kutoa uthibitisho wa kitu hicho. Na sio yule anayekataa.
Ndio maana ukidai mtu fulani ameiba, Wewe mwenye madai hayo ndio unakuwa na kazi ya kutoa uthibitisho, kuthibitisha madai yako kwamba mtu fulani ameiba.
Polisi wakidai wewe una madawa ya kulevya, Wao ndio wanakuwa na mzigo wa kuthibitisha madai hayo na kusaka hayo madawa unapoishi hadi wayapate. Maana madai wameyaanzisha wao.
Sasa Theists (Waamini Mungu) walianzisha madai yao huko ya uwepo wa Mungu na wameshindwa kutoa uthibitisho wa huyo Mungu mpaka leo hii.
Theists wameshindwa kutoa uthibitisho wa madai yao, wanahamisha magoli upande wa pili wa Atheists
(Wakana Mungu)
Wanataka Atheists(wakana Mungu) wathibitishe Mungu hayupo, wakati wao wenyewe waanzisha madai wameshindwa kuthibitisha Mungu yupo.
Sasa hii inaitwa shifting the burden of proofs.
In philosophy, the burden of proof rests on the person making a positive claim. Shifting this burden occurs when a claimant evades the responsibility of providing evidence for their assertion and instead demands that their opponent disprove it.
It happens when someone makes an unverified claim and incorrectly demands that you prove them wrong to disprove it. In reality, the burden to provide evidence always lies with the person making the assertion.
Kwa hiyo Atheists hatuna madai. Na hatuna mzigo wa kuthibitisha.
Sisi Tunakanusha madai ya kwamba Mungu yupo, kwa kukanusha kusema hayupo.
Mwenye mzigo wa kutoa uthibitisho ni yule anayedai kitu kipo.
Huwezi kuthibitisha kitu ambacho hakipo.
Kulala na kuamka bure.
Kuvuta pumzi bure.
Hakuna uhusiano wowote ule na uwepo wa Mungu.
Kuhusisha mambo haya na Mungu ni kufanya logical fallacy inaitwa Non-sequitur .
Yaani, Unaunganisha vitu viwili tofauti visivyokuwa na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.
Kwa hiyo kuvuta pumzi bure sio hitimisho la moja kwa moja kwamba Mungu yupo.
Kwanza thibitisha Mungu yupo.
Usifanye Conclusion ambayo ni unverified . Hujathibitisha Mungu yupo ila una cconclude yupo kwa vile unavuta pumzi.
Hii ni logical fallacy.
Non- sequitur.
Kwa nini unataka uwepo wako, utegemee uwepo wa huyo Mungu?
Nyie watu, Mnahangaika sana kumuongelea na kumtetea huyo Mungu. As if, yeye ni bubu na mlemavu hawezi kujitetea mwenyewe.
Kama Mungu huyo yupo, Si ajitokeze mwenyewe ajitetee na kujiongelea kama ana huo uwezo?
Huyo Mungu kama yupo, Aje na ajitokeze yeye mwenyewe. Sio nyie Mnahangaika kumuelezea na kumtetea.
Kwa nini uamini Mungu yupo na si kujua kwa uhakika kabisa kwamba yupo?
Huyo Mungu akiaminiwa yupo anafaidika nini?
Huyo Mungu hajiamini hadi anahitaji kuaminiwa na watu?
Hakuna Mungu.
Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
Sheria gani inakuwezesha kuzaliwa?Binadamu wanazaliwa" si jibu la swali "kwa nini binadamu na sheria zinazowezesha kuzaliwa zipo?".
Asili ya mchakato huo, Asili yake ni ipi?Umezungumzia mchakato, si asili ya mchakato.
Hakuna muumba si madai.Ukisema "hakuna Muumba", thibitisha madai hayo; usiyawasilishe kana kwamba ni ukweli uliojitokeza bila ushahidi
Sheria gani inakuwezesha kuzaliwa?
Watu kusex na kuzaa mtoto wanatumia sheria gani?
Asili ya mchakato huo, Asili yake ni ipi?
Kama mchakato lazima uwe na asili yake, Hata asili ya mchakato huo lazima iwe na asili yake nyingine.
Asili ya mchakato haiwezi kuwepo tu hivihivi.
Hakuna muumba si madai.
Hakuna muumba ni "kanusho" la madai kwamba kuna muumba.
Madai kwamba "kuna muumba" hayana uthibitisho.
Na Falsafa ya uthibitisho inamtaka anayeanza kudai kitu kipo ndio mwenye mzigo wa kutoa uthibitisho.
Sasa dai la kwamba kuna muumba lilianza kwenu nyie waamini Mungu.
Mmeshindwa kuthibitisha madai yenu kwamba kuna muumba. Mnahamisha madai upande wa pili wa Atheists.
Mna shift burden of proofs upande wa pili.
In philosophy, the burden of proof rests on the person making a positive claim. Shifting this burden occurs when a claimant evades the responsibility of providing evidence for their assertion and instead demands that their opponent disprove it.
Usihamishe madai upande wa pili kutaka uthibitisho wakati madai yalianzia kwenu. Na bado Mmeshindwa kutoa uthibitisho.
Madai hayakuanzia kwa Atheists.
Yalianzia kwa Theists.
Don't shift the burden of proofs.
Mzigo wa kutoa uthibitisho ni wenu.
Si wetu.
Hakuna Mungu sio positive claim.Unachanganya kukataa kuamini na kudai kinyume chake.
Ukisema, "Hakuna Mungu", hilo si kukaa kimya; ni dai chanya (positive claim) linalohitaji ushahidi. Kama msimamo wako ungekuwa, "Sijashawishika Mungu yupo," hapo ungekuwa huna mzigo wa kuthibitisha.
Lakini wewe tayari umesema mara kadhaa "Hakuna Mungu Muumba." Hilo ni dai lako, na unawajibika kulithibitisha. Huwezi kujificha nyuma ya "burden of proof" wakati umefanya dai la moja kwa moja.
Burden of proof si kinga ya kutoa madai bila ushahidi. Inamhusu kila anayetoa dai, iwe ni "Mungu yupo" au "Mungu hayupo."
Sheria za asili zipi hizo?Umehamisha mjadala. Swali halikuwa watu hutumia sheria gani kufanya ngono, bali kwa nini kuna sheria za asili zinazofanya uzazi ufanye kazi kwa utaratibu uleule kila mara? Umejibu swali tofauti.
Special pleading fallacy .Pili, hoja yako ya "asili ya asili" haimgusi Muumba kama unavyodhani. Inamhusu kile kinachoanza kuwepo. Mjadala wa uwepo wa Mungu unamfafanua Mungu kama asiyeanza kuwepo; kwa hiyo huwezi kudhani anahitaji chanzo bila kwanza kuthibitisha kwamba ana mwanzo. Huo ni mzunguko wa hoja.
Usihamishe magoli upande wa pili wakati madai yalianzia kwenu.Tatu, kuhusu burden of proof, ungekuwa sahihi kama ungeishia kusema, "sijashawishika Mungu yupo." Lakini wewe umesema mara kadhaa, "Hakuna Mungu Muumba." Hilo si kusimamisha hukumu; ni dai la moja kwa moja. Kila anayetoa dai la moja kwa moja ana wajibu wa kulisupport kwa hoja.
Kwa hiyo usijifiche nyuma ya "burden of proof" wakati tayari umefanya dai ambalo linahitaji uthibitisho kama dai lolote lingine.
Sheria za asili zipi hizo?
Ulijuaje ni Sheria?
Special pleading fallacy .
Usihamishe magoli upande wa pili wakati madai yalianzia kwenu.
Usihamishe madai.
Niulize mimi Yesu alimaanisha nini ...hapo kuna ROHO MTAKATIFU KATAJWA ILA WAKRISTO NA WAISLAMU MMESHINDWA KUTAMBUA HIYO LUGHA ..Asante kwa maoni yako, lakini naona umechanganya makundi mawili tofauti ya watu.
Katika Injili ya Luka 17:20-21, Yesu hakuwa anazungumza na wanafunzi wake, bali aliulizwa na Mafarisayo: "Ufalme wa Mungu unakuja lini?" Jibu la "ufalme wa Mungu umo ndani yenu/katikati yenu" lilielekezwa kwa Mafarisayo.
Sasa swali ni hili: Je, Mafarisayo ndio waliokuwa wamemwamini Yesu? La.
Je, wao ndio waliokuwa wanatenda miujiza kwa jina lake? La.
Je, wao ndio waliokuwa wameacha kila kitu na kumfuata? La.
Kinyume chake, Injili zinaonyesha mara nyingi Mafarisayo walimpinga Yesu na hata walitaka kumuua (tazama Injili ya Yohana 11:53).
Ndiyo maana tafsiri ya "katikati yenu" (in your midst) inaendana vizuri zaidi na muktadha: Yesu alikuwa akiwaambia kwamba Ufalme wa Mungu ulikuwa tayari umefika miongoni mwao kupitia utume na uwepo wake, lakini hawakuutambua.
Pia, kama unavyosema kwamba Ufalme uko ndani ya kila mwamini, hilo halipingi ukweli kwamba Yesu pia alifundisha waombe:
Na alisema pia kutakuwa na wakati ambapo wenye haki wataurithi Ufalme (Injili ya Mathayo 25:34).
Kwa hiyo, maandiko yanaonyesha vipengele viwili: Ufalme wa Mungu ulianza kudhihirika kupitia utume wa Yesu, lakini pia una utimilifu wa baadaye. Ndiyo maana si sahihi kutumia Luka 17:21 peke yake kusema kwamba Ufalme umekamilika ndani ya kila mtu.
Niulize mimi Yesu alimaanisha nini ...hapo kuna ROHO MTAKATIFU KATAJWA ILA WAKRISTO NA WAISLAMU MMESHINDWA KUTAMBUA HIYO LUGHA ..
YESU ALIMAANISHA MAANA ZOTE MBILI YAANI "NDANI YAO" NA "KATI YAO"Asante kwa kunukuu Injili ya Luka 17:21. Hata hivyo, aya hiyo inahitaji kusomwa katika muktadha wake. Yesu alikuwa anazungumza na Mafarisayo waliokuwa wanamuuliza kuhusu kuja kwa Ufalme wa Mungu.
Tafsiri ya maneno ya Kigiriki "entos hymōn" inaweza kumaanisha "katikati yenu" (in your midst) au "ndani yenu" (within you). Wanazuoni wengi wa Biblia huelewa kwamba hapa Yesu alikuwa akimaanisha Ufalme wa Mungu ulikuwa katikati yao kwa sababu yeye, mjumbe wa Mungu, alikuwa miongoni mwao.
Pia, ni vigumu kuelewa "umo ndani yenu" kwa maana ya ndani ya mioyo ya Mafarisayo, kwa kuwa Yesu aliwakosoa mara nyingi kwa unafiki na kutokuamini (tazama Injili ya Mathayo). Je, ingewezekanaje kusema Ufalme wa Mungu ulikuwa ndani ya watu aliowaita wanafiki?
Aidha, katika sehemu nyingine Yesu alifundisha:
"Baba yetu uliye mbinguni... Ufalme wako uje." (Injili ya Mathayo 6:10)
Pia alizungumza kuhusu watu kuurithi Ufalme wa Mungu siku zijazo (Injili ya Mathayo 25:34).
Hivyo, Luka 17:21 haiifuti dhana kwamba Ufalme wa Mungu utakuja; inaonyesha kwamba hauji kwa namna ambayo watu walikuwa wanaitarajia kisiasa au kwa ishara za nje, na kwamba wakati huo ulikuwa tayari katikati yao kupitia utume wa Yesu.
Swali kwako :
Je, unafikiri Yesu alikuwa akiwaambia Mafarisayo kwamba Ufalme wa Mungu ulikuwa ndani ya mioyo yao, ilhali aliwakosoa kwa kutokuamini na unafiki?
Au alikuwa akimaanisha kwamba Ufalme ulikuwa katikati yao kupitia uwepo wake?