Wewe ulisema nimebadili hoja nimekuonyesha kuwa toka mwanzo nilijenga hoja zangu kwenye logic mbili ..... wewe unaleta ubishi mafii umesha elewa ukweli maana hata wewe ulieleza ila haukujua tu kuwa kuna Roho Mtakatifu katajwa sehemu ..kuhusu logic mbili ni swala la lugha hata katika kiswahili au kismarabu kuna hayo mambo sana ya lugha kukosa uzito sawa na lugha nyingine kwenye kufafanua mambo
😁😁kwa hiyo wewe unapinga hadi msahafu maana hatackwenye uislamu dini ufafanuliwa kwa kuunganisha logic za maandiko mbali mbali siyo mastari mmoja ..Bado unazunguka pembeni ya hoja.
Madai ya "logic mbili" na "lugha ya asili" hayatoshi bila ushahidi wa maandiko.
Nikuulize swali rahisi: Ni mstari gani katika Luka 17:20–21 unaotaja Roho Mtakatifu?
Ukishindwa kuonyesha huo, basi umeingiza maana ambayo kifungu chenyewe hakisemi.
😁😁kwa hiyo wewe unapinga hadi msahafu maana hatackwenye uislamu dini ufafanuliwa kwa kuunganisha logic za maandiko mbali mbali siyo mastari mmoja ..
Haya tuambie wewe maana hake hayo maneno ?Unahamisha mjadala. Sijapinga kufafanua maandiko kwa maandiko. Ninachopinga ni kuingiza maana ambayo muktadha wa kifungu hauibebi.
Kama Luka 17:20–21 kweli inazungumzia Roho Mtakatifu, ithibitishe kwanza kutoka kwenye muktadha wake. Usikimbilie mistari mingine ili kufunika udhaifu wa hoja yako.
Haya tuambie wewe maana hake hayo maneno ?
Kwa hiyo kabla ya kuja Yesu hakukuwa na neno la mungu kati ya waisrael au hakukuwa na mitume kabla ya YesuMaana yake iko wazi kwa muktadha: Mafarisayo waliuliza Ufalme wa Mungu utakuja lini, Yesu akawaambia hauji kwa dalili za kuonekana kama wanavyodhani, kwa sababu Ufalme ulikuwa tayari katikati yao kupitia uwepo na utume wake.
Sijaona katika kifungu hicho Yesu akisema "hii ni kuhusu Roho Mtakatifu." Hilo ni hitimisho lako, si maneno ya kifungu.
Kwa hiyo kabla ya kuja Yesu hakukuwa na neno la mungu kati ya waisrael au hakukuwa na mitume kabla ya Yesu
Hiyo maana uliyo sema wewe ni sahihi kwa hoja ya UFALME WA MUNGU KUWA KATI YA WATU ILA BADO KUNA HOJA YA UFALME WA MUNGU KUWA NDANI YA WATU .Swali lako limehamisha mjadala.
Sijasema kabla ya Yesu hakukuwa na maneno ya Mungu wala wajumbe.
Hoja ni hii: Katika Luka 17:20–21, Mafarisayo waliuliza kuhusu kuja kwa Ufalme wa Mungu, na Yesu akajibu kuhusu hali ya Ufalme huo. Haimlazimishi mtu kuingiza Roho Mtakatifu kwenye kifungu hicho.
Kuwepo kwa maneno ya Mungu kabla ya Yesu hakuthibitishi kwamba "ndani yenu" hapo lazima maana yake ni Roho Mtakatifu.
Hiyo maana uliyo sema wewe ni sahihi kwa hoja ya UFALME WA MUNGU KUWA KATI YA WATU ILA BADO KUNA HOJA YA UFALME WA MUNGU KUWA NDANI YA WATU .
Mbona kuna maandiko chungu mzima kwenye injili na torati yanayo eleza haya ninayo kuambia.Kuwepo kwa uwezekano wa maana nyingine hakumaanishi moja kwa moja kwamba ndiyo maana iliyokusudiwa kwenye kifungu hicho.
Swali ni: Luka 17:20–21 ina ushahidi gani wa kuonyesha "ndani yenu" hapa ni Roho Mtakatifu? Kama hakuna ndani ya muktadha, basi umeongeza tafsiri kutoka sehemu nyingine.
Inawezekana dhana hiyo ipo kwenye mafundisho mengine, lakini si lazima iwe ndiyo maana ya mstari huo.
Mbona kuna maandiko chungu mzima kwenye injili na torati yanayo eleza haya ninayo kuambia.
Circular reasoning fallacy.Kurudia "hakuna ushahidi" si hoja.
Wewe bado hujatoa sababu ya dai lako la "hakuna Muumba."
Kukataa dai langu hakuthibitishi dai lako.
Matusi kwa imani hayachukui nafasi ya ushahidi.
Circular reasoning fallacy.
Ufalme wa Mungu u ndani mwako.God lives in you!Acha upumbavu