Ufanyaji kazi wa viagra

Kwenye Viagra kuna sildenafil na tadalafil

Sildenafil huondoka ndani ya masaa 20, hivyo avumilie tu wala haichukui muda

Tadalafil huondoka baada ya siku 4

Ilipaswa aseme katumia zipi kati ya hizo
Na wewe mmoja wapo wa wahanga? 🤣🤣🤣
 
Aiseeee [emoji15] hizi mbunye hizi.. [emoji23]
 
Kisungura tena? [emoji12]
 
Wala, sisi wengine ni wafatiliaji wa kila kitu. Mm huwa nasoma vingi tu ili nijue mambo mengi.

Ni kama wewe unavyojua jinsi ya kutumia lady pepeta, lakini hujawahi kuitumia[emoji23]
🤣🤣🤣 Shenzy we!!
Lini nilikwambia najua jinsi ya kutumia lady pepeta
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shenzy we!!
Lini nilikwambia najua jinsi ya kutumia lady pepeta
Unajua banaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Niliwahi kufatilia hii imetoka wapi na inatumiwa vipi, hadi video nilizipata[emoji23]

Kitu ingine ambayo niliwahi soma in details na kujua ni nn na inafanyaje fanyaje ni "dipe"[emoji23][emoji23], acha basi pindua hizo herufi [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…