Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makalio yako ndo unayaita ununio😋😋 na Bado unasema Yana upepo😋Wewe ni mshamba. Nimewahi kukuomba chochote? Pumbavu sana. Karibu ununio ukutane na upepo wa bahari.
Sasa mbona mkeka wako haujatimia?Hatua ya makundi ilipoisha na full route to the final kukamilika, niliandika huu mkeka.
Sasa niumieje?View attachment 2447148
Nimekwambia tafuta kazi una wenge Sana huwa naona kila post upoWewe jamaa ni maskini sana na unahisi kila mtu anaishi kwa tabu kama wewe.
Tatizo lenu vijana ni kwamba mmefundishwa kuishi maisha ya mkono uende kinywani. Siku usipoenda kutafuta basi huna chakula. Ni maisha ya dhiki sana na hapo unataka kila mtu aingie kwenye hiyo vicious cycle of poverty.Nimekwambia tafuta kazi una wenge Sana huwa naona kila post upo
Umejoin sep post elf 2 huko Ni kukosa kazi au ndo shule zimefungwa
Wewe ni punguani kabisa. Unaona hiyo mada ipo jukwaa gani?Nimenunua kasia, je naweza kupata ajira pale airport niwe nafungulia milango ya ndege?
Wakuu nilipita katika pwani ya bahari nikaona kijana amebeba kasia nikampa elfu tano akaniuzia. Naweza kulitumia hili kupata ajira pale airport niwe nawafungulia milango ya ndege?www.jamiiforums.com
Ndo Mana namwambia acha wenge Bado una akili za kitoto tafuta kazi walau ikuweke busy kidogo
Kwani Brazil walishinda kila mechi ambao ulikiri wana uwezo?Uwezo umeenda wapi leo?
Kwani ukiwa na uwezo unashinda kila mechi?Lete maelezo ya uwezo sasa kijana. Jifunze kusikiliza wazoefu.
Vipi mkuu magoli manne bado tu? Nataka nikalaleLete maneno
Nyie watu vipi? Ikikosolewa Morroco ni chuki ? Brazil na team nyingine zikikosolewa ni sawa? Huu ni uswahili na ushamba sana. Mtu akitoa mawazo yake kwa team yenu mnasema ni chuki. Why hampendi kupata elimu iwasaidie kujua kuwa kukosolewa ni sehemu ya maisha?acha chuki mkuu
Hii mechi bado ipo half time au imeisha?Upo sahihi, haitabezwa na ufaransa na ndio maana itafungwa 4
Tafuta kazi bintiTatizo lenu vijana ni kwamba mmefundishwa kuishi maisha ya mkono uende kinywani. Siku usipoenda kutafuta basi huna chakula. Ni maisha ya dhiki sana na hapo unataka kila mtu aingie kwenye hiyo vicious cycle of poverty.
Kwahiyo wewe mbuzi ndio unaleta sheria mpya hapa jf kuamua nani akomenti wapi na muda gani? Wewe maskini acha kunifuatilia ujikite katika harakati za kujitoa kwenye lindi la umaskini.
Haijalish Ila nakusii tafuta kazi,, una maisha magumu unakuja potezea muda huku tafuta kazi ujitoe kwenye umasikini wa fikra ulionaoWewe ni punguani kabisa. Unaona hiyo mada ipo jukwaa gani?
Wamefungwa magoli 2-0, na siyo 4-0! Na pamoja na huko kufungwa, bado mchezo haukuwa mwepesi kwa Ufaransa.Mkuu walikuwepo uwanjani au walitoka?
Na mwambie kabisa, kuwa laiti kama Morocco wangekuwa na watu wanaojua kufunga basi tungekuwa tunaongea mengine leo hii.Wamefungwa magoli 2-0, na siyo 4-0! Na pamoja na huko kufungwa, bado mchezo haukuwa mwepesi kwa Ufaransa.
Maana hao Morocco walionesha upinzani mkali mpaka dakika ya mwisho! Wamekosa magoli ya wazi! Wamegongesha mwamba!
Makundi gani ayo Croatia alifungwa 2_1Kwenye makundi Croatia alichapika 2-1 na wa_moroccco, japo anaweza kunywa na France Ila mpak sasa hakuna timu duniani ya kuiogopesha Morocco , yenyewe ndo tishio Kwa sasa