Ufaransa atafunga magoli manne katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la dunia kati yake na Morocco

Sio mshangiliaji wa mpira ,, nashangaa thread nyingi Sana
Tafuta kazi broda
Wewe ni mshamba. Nimewahi kukuomba chochote? Pumbavu sana. Karibu ununio ukutane na upepo wa bahari.
 
Nimekwambia tafuta kazi una wenge Sana huwa naona kila post upo

Umejoin sep post elf 2 huko Ni kukosa kazi au ndo shule zimefungwa
Tatizo lenu vijana ni kwamba mmefundishwa kuishi maisha ya mkono uende kinywani. Siku usipoenda kutafuta basi huna chakula. Ni maisha ya dhiki sana na hapo unataka kila mtu aingie kwenye hiyo vicious cycle of poverty.

Kwahiyo wewe mbuzi ndio unaleta sheria mpya hapa jf kuamua nani akomenti wapi na muda gani? Wewe maskini acha kunifuatilia ujikite katika harakati za kujitoa kwenye lindi la umaskini.
 
acha chuki mkuu
Nyie watu vipi? Ikikosolewa Morroco ni chuki ? Brazil na team nyingine zikikosolewa ni sawa? Huu ni uswahili na ushamba sana. Mtu akitoa mawazo yake kwa team yenu mnasema ni chuki. Why hampendi kupata elimu iwasaidie kujua kuwa kukosolewa ni sehemu ya maisha?
 
Tatizo lenu vijana ni kwamba mmefundishwa kuishi maisha ya mkono uende kinywani. Siku usipoenda kutafuta basi huna chakula. Ni maisha ya dhiki sana na hapo unataka kila mtu aingie kwenye hiyo vicious cycle of poverty.

Kwahiyo wewe mbuzi ndio unaleta sheria mpya hapa jf kuamua nani akomenti wapi na muda gani? Wewe maskini acha kunifuatilia ujikite katika harakati za kujitoa kwenye lindi la umaskini.
Tafuta kazi binti
 
Mkuu walikuwepo uwanjani au walitoka?
Wamefungwa magoli 2-0, na siyo 4-0! Na pamoja na huko kufungwa, bado mchezo haukuwa mwepesi kwa Ufaransa.

Maana hao Morocco walionesha upinzani mkali mpaka dakika ya mwisho! Wamekosa magoli ya wazi! Wamegongesha mwamba!
 
Na mwambie kabisa, kuwa laiti kama Morocco wangekuwa na watu wanaojua kufunga basi tungekuwa tunaongea mengine leo hii.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kwenye makundi Croatia alichapika 2-1 na wa_moroccco, japo anaweza kunywa na France Ila mpak sasa hakuna timu duniani ya kuiogopesha Morocco , yenyewe ndo tishio Kwa sasa
Makundi gani ayo Croatia alifungwa 2_1
Nachojua Mim na wengine pia matokeo yalikua 0-0 na Croatia alishambulia sana
 
Maana hao Morocco walionesha upinzani mkali mpaka dakika ya mwisho! Wamekosa magoli ya wazi! Wamegongesha mwamba!
Mwamba hata wao Giroud aliwagongeshea na ninaona ufaransa ndio walikosa magoli zaidi ya hao Morocco.
 
Makundi gani ayo Croatia alifungwa 2_1
Nachojua Mim na wengine pia matokeo yalikua 0-0 na Croatia alishambulia sana
Utawaweza hao mashabiki wa kidini? Hawaangalii mechi zaidi ya kujiongelea tu.
 
Back
Top Bottom