InvisibleTarget
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,138
- 2,176
watu wanalia kwa mengi bro...mtu kaliwa mkeka wa 500K atalinganisha na machungu ya maji na umeme kweli ?Hapo unaweza kukuta umeme umekatika na maji hayatoki ila wala huumii,lakini unalia kwa France kufungwa na Argentina.
Waarabu wameandaa kombe la dunia la heshima nadhani mzungu anajitafakari sana. kuanzia mwanzo mwisho ni utaratibu
Jinsi walivyo design stage nadhani wengine wakaige. Kweli wameonesha jeuri ya pesa.
Ile jukwaa la kupokelea kombe ni noma, wengine wanaweka ka jukwaa kama ka kipaimala. Au ubatizo wa mtoto
Mpira umetushinda ndio maana unatoa comment kama hii...inshort hujui mpiraNdio mpira sasa huu,sio tu unasema fulani atashinda...atashindaje?quality inahitajika kila kipengele...hawana kipa kama wa Argentina na wapiga penalty chenga wanashindaje kwa watu wenye full package..?jibu ni HAIWEZEKANI
Show evidanceKuna siku alikuja humu na thread akilia Kwamba ameshikwa shikwa makalio,full kupapaswa Kwny hiace,nikawa najiuliza mpk ushikwe makalio na mwanaume mwenzako anakua amekuonaje onaje?
Nikajua huyu Ni boflo tu.
Bro acha makuziYako ndio mazuri,so so soft mtoto mzuri.
Kuna kitu tulikosea sio bureš¤£Mkuu, wewe nawe ni mwarabu?
Nilijua tu hao ma black waliokosa penalty rangi yao itahusishwa!!
(Mungu baba tulikukosea nini sisi weusi?)
Mkuu, wewe nawe ni mwarabu?
Nilijua tu hao ma black waliokosa penalty rangi yao itahusishwa!!
(Mungu baba tulikukosea nini sisi weusi?)
Kwani wewe ni mfaransa? Waswahili kwa kujijaza presha kwa vitu vya hovyo!Mategemo yangu ni ufaransa kuchukua ubingwa lakini sivyo inaniymaaaaaaa saanaaaa mpka nimelia ase, mpira haramu sana.