Ufaransa imeniangusha sana

Ufaransa imeniangusha sana

Waarabu wameandaa kombe la dunia la heshima nadhani mzungu anajitafakari sana. kuanzia mwanzo mwisho ni utaratibu

Jinsi walivyo design stage nadhani wengine wakaige. Kweli wameonesha jeuri ya pesa.

Ile jukwaa la kupokelea kombe ni noma, wengine wanaweka ka jukwaa kama ka kipaimala. Au ubatizo wa mtoto

Mwarabu anapesa mzungu hagusi
 
Ndio mpira sasa huu,sio tu unasema fulani atashinda...atashindaje?quality inahitajika kila kipengele...hawana kipa kama wa Argentina na wapiga penalty chenga wanashindaje kwa watu wenye full package..?jibu ni HAIWEZEKANI
Mpira umetushinda ndio maana unatoa comment kama hii...inshort hujui mpira
 
Kuna siku alikuja humu na thread akilia Kwamba ameshikwa shikwa makalio,full kupapaswa Kwny hiace,nikawa najiuliza mpk ushikwe makalio na mwanaume mwenzako anakua amekuonaje onaje?

Nikajua huyu Ni boflo tu.
Show evidance
 
Mkuu, wewe nawe ni mwarabu?
Nilijua tu hao ma black waliokosa penalty rangi yao itahusishwa!!
(Mungu baba tulikukosea nini sisi weusi?)
 

Attachments

  • Screenshot_20221220_012716_Instagram.jpg
    Screenshot_20221220_012716_Instagram.jpg
    102.4 KB · Views: 2
Back
Top Bottom