Yaaah hazitakiwi kuvaliwa kabisa, nakumbuka advance pale Same Kuna watu waliadhibiwa Kwa kuvaa rozali na walimu wakristo wote waligwaya kuwaadhibu wale wanafunzi ndo akaja mwalimu mwislamu alikuwa anaitwa (sw*di) akawatandikaKwamba abaya kiingereza chake ni abaya.
Nimejua sasa hivi.
Hoja ni "Hutakiwi kuitambua dini kwa mavazi" nafikiri na rozali hazivaliwi shule zote za serikali ama sivyo?
Kule Afaghanstan Taliban wamewapiga marufuku msisome wala msitembelee hifadhi za taifa.Safi sana, hasira za kukimbizwa Afrika Magharinbi na Waislam, Mfaransa anazitolea Ufaransa.
waislam gani hao wa afrika magharibi? Kumbuka kuwa makoloni mengi ya ufaransa afrika ni nchi za kiislam na ndiyo imewajaza nchini mwake mpaka waliingia mavazi yao kidini, wafuate sheria za nchi waliokaribishwaSafi sana, hasira za kukimbizwa Afrika Magharinbi na Waislam, Mfaransa anazitolea Ufaransa.
Eti baada wa kutimuliwa na waislam Africa,..! poor mind.Hasira zake kwa Waislam hazijaanza ghafla, kukatiwa bajeti si mchezo. Hapa anaharibu mpaka magari baada ya kutimuliwa na Waislam Afrika:
View attachment 2731014
waislam gani hao wa afrika magharibi? Kumbuka kuwa makoloni mengi ya ufaransa afrika ni nchi za kiislam na ndiyo imewajaza nchini mwake mpaka waliingia mavazi yao kidini, wafuate sheria za nchi waliokaribishwa
WanaAbaya mnahaya nyie, hamna maana kabisa ninyi, wanaabaya na ubaya wenu?Safi sana, hasira za kukimbizwa Afrika Magharinbi na Waislam, Mfaransa anazitolea Ufaransa.
Jaribuni muoneJambo jema kabisa,hata huu upuuzi wa kuvalisha wanafunzi hijabu huku tz ufutwe. Unatengeneza ubaguzi wa kidini.
Hatuna kabisa, wenye haya ni wale wanaotembea nusu uchi, au siyo?WanaAbaya mnahaya nyie, hamna maana kabisa ninyi, wanaabaya na ubaya wenu?
Hata wakianzisha haziruhusiwiWana abaya waanzishe shule zao! Wamezidi!
Tanzania ile dini hawajielewi, watapiga mayoweJambo jema kabisa,hata huu upuuzi wa kuvalisha wanafunzi hijabu huku tz ufutwe. Unatengeneza ubaguzi wa kidini.
Ile dini huwa hawajielewi.Hata hapa kwetu hayo mambo itabidi yapigwe marufuku. Unaenda shule fulani unakuta watoto wote wamevaa hayo mavazi ya kutambulisha ni wa dini fulani wakati nchi hii si ya kidini. Hayo mavazi wakavae huko wanakosali