Hatuna kabisa, wenye haya ni wale wanaotembea nusu uchi, au siyo?
MCHUNGAJI:WANAWAKE MARUFUKU KUVAA CHUP* KANISANI

Mchungaji mmoja nchini Kenya amewaambia wanawake waumini wa kanisa lake waache kuvaa nguo za ndani wanapohudhuria ibada ili "mungu aweze kuwaingia vema na kwa urahisi"
Mchungaji huyo anaejulikana kwa jina Njohi wa kanisa la
Lord's Propeller Redemption Church la Nairobi amesema hayo kwa wanawake wa kanisa hilo huku akiongezea kuwa kuingia kanisani bila nguo ya ndani kunasaidia mtu kuwa huru kimwili na kiroho ili kumpokea vema kristu kwa mujibu wa "Kenyan Dialy Post"
Pia amewaonya kuwa wafuate maagizo hayo kuepuka madhara watakayoyapata kama hawatafuata maagizo hayo.Lakini inaaminika kuwa maagizo hayo hawajapewa wanaume wa kanisa hilo.
Wanawake wa kanisa hilo wameanza kufuata maagizo hayo ya kuhudhuria ibada bila nguo za ndani na mchungaji amewambia wanawake hao kuwafuatilia mabinti zao kama nao wanafuatilia agizo hilo.
Kanisa hili liko eneo la Dandora mashariki mwa jiji la Nairobi.
Chanzo:
MCHUNGAJI:WANAWAKE MARUFUKU KUVAA CHUP* KANISANI