Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

Hatuna kabisa, wenye haya ni wale wanaotembea nusu uchi, au siyo?

MCHUNGAJI:WANAWAKE MARUFUKU KUVAA CHUP* KANISANI​




Mchungaji mmoja nchini Kenya amewaambia wanawake waumini wa kanisa lake waache kuvaa nguo za ndani wanapohudhuria ibada ili "mungu aweze kuwaingia vema na kwa urahisi"
Mchungaji huyo anaejulikana kwa jina Njohi wa kanisa la Lord's Propeller Redemption Church la Nairobi amesema hayo kwa wanawake wa kanisa hilo huku akiongezea kuwa kuingia kanisani bila nguo ya ndani kunasaidia mtu kuwa huru kimwili na kiroho ili kumpokea vema kristu kwa mujibu wa "Kenyan Dialy Post"
Pia amewaonya kuwa wafuate maagizo hayo kuepuka madhara watakayoyapata kama hawatafuata maagizo hayo.Lakini inaaminika kuwa maagizo hayo hawajapewa wanaume wa kanisa hilo.
Wanawake wa kanisa hilo wameanza kufuata maagizo hayo ya kuhudhuria ibada bila nguo za ndani na mchungaji amewambia wanawake hao kuwafuatilia mabinti zao kama nao wanafuatilia agizo hilo.
Kanisa hili liko eneo la Dandora mashariki mwa jiji la Nairobi.

Chanzo: MCHUNGAJI:WANAWAKE MARUFUKU KUVAA CHUP* KANISANI
Duu makubwa haya kweli ibilisi yupo kazini

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Waislam wakiwa katika nchi za watu wanadai democratia kuomba uhuru wa kuanzisha dini Yao na mambo mengine Yao
Wakiwa katika nchi zao hakuna democracy
Wakati wamekimbia makwao, kwanini wasikae makwao ili waitekereze hiyo imani yao? Halafu hawakimbilii kwa wenzao kiguu na njia Ulaya na USA ha ha ha ha

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Unaita chuki za kijinga na hapohapo unadai kulikuwa na sababu za shule hizo kufungwa.

Na katazo la kuzuia madaktari wa kiume kutibu wanawake, wakati huo kuna vikwazo vya wanawake kwenda vyuo nalo unatolea utetezi gani. Wakati almost ⅓ ya madaktari na wanafunzi wa udaktari wamekimbia nchi tangu Taliban iingie madarakani, yenyewe iko busy kulazimisha wanawake watibiwe na wanawake wakati idadi ya madaktari wa kike ni ndogo.
Wanawazuia wanawake wasisome, na wakati huo huo wanataka wanawake watibiwe na wanawake wenzao ukisikia akili kisoda ndiyo hizo sasa watatoka wapi hao ma Dr !

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Mbona umepaniki mkuu na mapovu yote haya?

Tatizo ni Ufaransa au tatizo ni nini?
Vumilia tu..

Kama mnaona Ufaransa inawatesa, njia rahisi ni KUONDOKA Nchini kwao mrudi Iran na Pakistan... Hamna aliyewalazimisha kuishi Ufaransa, ni kiherehere chenu tu
Hao hawana akili mavazi kama hijab na anaya hakuna sababu yeyote ya kuzuia na hayana negative impact yeyote ile.Ma Rass nao wataambiwa wanyoe ? maana kufaga rasta ni nembo yao.

Kuhusu kuondoka hilo ni jukumu la muislamu akiona mahala popote anabanwa katika kuifuata dini yake ,fitna na mtihani ni mingi ni bora kuondoka hilo halina mjadala.
 
Kwani chizi ana maonibgani juu ya wale walio wazima ? bila shaka anawaona machizi .

Mimi siwezi kupanic nikiitwa hivyo najua sio Kafir ila ukimuita Mgalatia lazima aweweseke.
kama jinsi wewe unavyojiona ni mtukufu katika uislam wako na wengine wanajiona ni watakatifu katika ukristo wao. Huwezi kuwaita kafiri wakati nawe unaonekana ni kafiri machoni pao, ishia kuwaita wagalatia kama mnavyowaita inatosha. Halafu mbona budha na hindu huwa hamna ligi nao, vipi huko sheikh?
 
Waislam wakiwa katika nchi za watu wanadai democratia kuomba uhuru wa kuanzisha dini Yao na mambo mengine Yao
Wakiwa katika nchi zao hakuna democracy
Waulize swali hili wanawake wa Afghanistan
 
Angalia nchi za kiislamu zinavyopigwa vita na wasiokuwa waislamu, nchi kama Syria, Israel, Afghanistan, Yemen na Libya. Zote hizi zimefanyiwa chokochoko na wasiokuwa waislamu. Njooni kwenye uislamu
tangu lini israel imekuwa nchi ya kiislam, au ulimaanisha iran/iraq? israel ni nchi ya kiyahudi/zayuni na hizo nchi za kiislam ni maadui zake, zingine zilipigwa zikashindwa ikabidi zitiliane saini mikataba ya amani. Makundi mengi ya kigaidi duniani ni ya kiislam. Wapi ulisikia kuna makundi tishio ya kigaidi duniani yanayojinasibu ni ya kikristo, christian state? Wapi ulisikia wanamgambo wa kikristo? Chokochoko zipo kwa waislam tu wakristo hawana mambo ya shari na ugomvi, ni wapole na wanyenyekevu
 
Hao hawana akili mavazi kama hijab na anaya hakuna sababu yeyote ya kuzuia na hayana negative impact yeyote ile.Ma Rass nao wataambiwa wanyoe ? maana kufaga rasta ni nembo yao.

Kuhusu kuondoka hilo ni jukumu la muislamu akiona mahala popote anabanwa katika kuifuata dini yake ,fitna na mtihani ni mingi ni bora kuondoka hilo halina mjadala.
Waondokeeee??[emoji1787][emoji1787] Waende wapi?

Warudi Tehran,Pakistan, Afghanistan, Syria, Yemen?

Nani anataka kuishi huko mzee? Hamna mtu mwenye ndoto ya kuishi nchi ya kiislam. Hata wewe ukiambiwa uchague Iran/Afghanistan au France/Sweeden utachagua kuishi France/Sweeden.
 
Back
Top Bottom