Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

Hata wale wa kanisani wanavaa ushungi.
wanavaa magauni marefu na kiremba, kauso tu kanaonekana, hata kama hawajifuniki tinted kama wewe ila walau wanajitahidi. lakini pamoja na hayo, bado watu wanawapelekea moto tu sawasawa na ndugu zao wanaovaa kininja wanavyodanga kama kawaida tu. pamoja na kujifanya dini safi, uliza mtu yeyote aliyewahi kutembea na mzanzibar au mwanamke wa kiarabu yeyote, mwuliza, akiinama chumamboga nini huwa kinaonekana, unaona kabisa marinda hakuna, ila akitoka pale anapiga tinted na kujifanya msafi.
 
Wizara ya Elimu imetangaza Kanuni hiyo inatarajiwa kuanza Mwaka mpya wa masomo wa Septemba 4, 2023 katika shule zote za Serikali

Waziri wa Elimu, Gabriel Attal amesema "Unapoingia darasani hautakiwi kumtambua Mwanafunzi kwa imani yake ya dini kwa kumuangalia."

Pia, Ufaransa imepiga marufuku alama kubwa za Kidini katika Shule na Majengo ya Serikali kwa maelezo zinakiuka Sheria ya Nchi

Soma Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

#Governance #JamiiForumsView attachment 2731453
Sawa
 
😅😅Hata Italy walipanga ila kikawaida nafsi zinasuta kabisa.

waseme kama hawataki hijabu au Abaya , kingine kwa vile za vyuo je uvaaji utakuwaje maana huko hata chuo mtu anavaa na kuingia darasani.
Screenshot_20230808-144619.png
 
Vipi na mashoga nao ni mti wenye matunda?si Kila siku wanasakamwa Kwa kupigwa mawe
Mm nmekusudia dini kama alivyoanzisha mtoa mada, kama ushoga nao ni dini basi Sawa. Uislamu ndio dini inayopigwa vita kuliko dini zote, lakini cha ajabu ndio dini inayokua Kwa kasi. Kweli sikufanya kosa kuingia kwenye uislamu.
 
Kuna watu ni wagonjwa wasiojijua, imagine mtu hadi anacomment safi na vinyundo juu anaoigilia msumali, sasa kweli kama una akili timamu utaogopa abaya??? Bora hata wangesema nikabu kweli abaya yaani gauni refu duuh!

Na Africa magharibi wataondoka tu mafirauni hayo! Period!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kajinyonge madrasaa
 
Kule Afaghanstan Taliban wamewapiga marufuku msisome wala msitembelee hifadhi za taifa.
zanzibar yetu nusura nayo iwe na uislam wa vituko kama taliban. Wachezaji wa kike wanacheza michezo huku wamefunika vichwa full na joto lote hilo. Kwani wakiaacha vichwa wazi nani atawatamani, kuna dhambi gani, kwamba wataenda motoni?
 
Mm nmekusudia dini kama alivyoanzisha mtoa mada, kama ushoga nao ni dini basi Sawa. Uislamu ndio dini inayopigwa vita kuliko dini zote, lakini cha ajabu ndio dini inayokua Kwa kasi. Kweli sikufanya kosa kuingia kwenye uislamu.
ni mawazo yako tu hakuna anaoupiga vita uislam ila uislam ndio unaopiga vita dini zingine kwa kujiona ni bora zaidi
 
Huo ndiyo ujinga uliojazwa nao, sikushangai.

Hakuna dini ya amani duniani zaidi ya Uislam. Kumbuka hili.
kama kuna dini kitisho cha amani duniani ni uislam. Anzia hukohuko mashariki ya kati, india na ulaya ni fujo mara kwa mara
 
ni mawazo yako tu hakuna anaoupiga vita uislam ila uislam ndio unaopiga vita dini zingine kwa kujiona ni bora zaidi
Angalia nchi za kiislamu zinavyopigwa vita na wasiokuwa waislamu, nchi kama Syria, Palestine, Afghanistan, Yemen na Libya. Zote hizi zimefanyiwa chokochoko na wasiokuwa waislamu. Njooni kwenye uislamu
 
Back
Top Bottom