Ufaransa yakataa wito wa Netanyahu wa kuondoa unifil kutoka Lebanon

Ufaransa yakataa wito wa Netanyahu wa kuondoa unifil kutoka Lebanon

Wanaukumbi

Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa imesema kuwa UNIFIL, kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon, lazima kiruhusiwe kuendelea na kazi yake, na kukataa ombi la Netanyahu la kuondoa vikosi vya UNIFIL.

Ufaransa ilisisitiza umuhimu wa kuwepo kwa UNIFIL katika kudumisha utulivu kusini mwa Lebanon huku kukiwa na mvutano unaoongezeka.
---

FRANCE REJECTS NETANYAHU'S CALL TO WITHDRAW UNIFIL FROM LEBANONThe French Foreign Ministry has stated that UNIFIL, the United Nations peacekeeping force in Lebanon, must be allowed to continue its mission, rejecting Netanyahu's request to withdraw UNIFIL forces.

France emphasized the importance of UNIFIL's presence in maintaining stability in southern Lebanon amid rising tensions.

Chanzo: Al Arabiya
Tatizo ni kukariri matukio!
Allah Anakujibu!
👇👇
وَإِذَا لَقُوا الَّذِينَ آمَنُوا قَالُوا آمَنَّا وَإِذَا خَلَوْا إِلَىٰ شَيَاطِينِهِمْ قَالُوا إِنَّا مَعَكُمْ إِنَّمَا نَحْنُ مُسْتَهْزِئُونَ

[ AL - BAQARA - 14 ]
Na wanapo kutana na walio amini husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao na mashet'ani wao husema: Hakika sisi tu pamoja nanyi. Hakika sisi tunawadhihaki tu.

😇😆😆😆😆
 
Attachments

  • FB_IMG_1728832318194.jpg
    FB_IMG_1728832318194.jpg
    28.2 KB · Views: 2
Israel ni namba mbili kiuchumi pale mashariki ya kati, fikiria kama angekuwa anaelewana na majirani zake wote na nchi zote pale middle east ingekuwaje
Unajua maana ya free trade area!?..sasa anao huo uhuru ambao wengine hawana,ni some sort of kubebwa/kulelewa,hapo bado na misaada lukuki,yaani hapo EU wakipitisha hilo kilio kitakua kikubwa kwa taifa feki
 
Binadamu hajawai shindwa Jambo toka MATTERNICK ERA

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Sawa na Israeli asahau kuwa na amani. Na Israeli kama inaitegemea marekani ktk hili itakala kwake maana muda si mrefu marekani haitakuwa taifa kubwa lenye ushawishi mkubwa
Una uhakika gani? Marekani Bado ni taifa kubwa na lenye nguvu zaidi, usifikiri kutoa misaada ya silaha kwa Ukraine, Israel na Taiwan ndio sababu ya kuiona marekani imeanguka, kumbuka marekani bado haijaingia vitani
 
Wanaukumbi

Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa imesema kuwa UNIFIL, kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon, lazima kiruhusiwe kuendelea na kazi yake, na kukataa ombi la Netanyahu la kuondoa vikosi vya UNIFIL.

Ufaransa ilisisitiza umuhimu wa kuwepo kwa UNIFIL katika kudumisha utulivu kusini mwa Lebanon huku kukiwa na mvutano unaoongezeka.
---

FRANCE REJECTS NETANYAHU'S CALL TO WITHDRAW UNIFIL FROM LEBANONThe French Foreign Ministry has stated that UNIFIL, the United Nations peacekeeping force in Lebanon, must be allowed to continue its mission, rejecting Netanyahu's request to withdraw UNIFIL forces.

France emphasized the importance of UNIFIL's presence in maintaining stability in southern Lebanon amid rising tensions.

Chanzo: Al Arabiya
sio ufaransa peke yake wenye veto. soon hilo jeshi bovu la UN pale lebanon litakimbia lenyewe. ama la hezbollah waende wakalale kwenye kambi yao. kwa mashambulizi ya jana usiku, naogopa myahudi atakachokifanya lebanon soon. kwa sababu hawezi kukubali asitishe mapigano na kuishi na watu wenye silaha kama zile pembeni yake, lazima atataka awanyang'anye ili alale usingizi.
 
Back
Top Bottom