Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Wanaukumbi
Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa imesema kuwa UNIFIL, kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon, lazima kiruhusiwe kuendelea na kazi yake, na kukataa ombi la Netanyahu la kuondoa vikosi vya UNIFIL.
Ufaransa ilisisitiza umuhimu wa kuwepo kwa UNIFIL katika kudumisha utulivu kusini mwa Lebanon huku kukiwa na mvutano unaoongezeka.
---
FRANCE REJECTS NETANYAHU'S CALL TO WITHDRAW UNIFIL FROM LEBANONThe French Foreign Ministry has stated that UNIFIL, the United Nations peacekeeping force in Lebanon, must be allowed to continue its mission, rejecting Netanyahu's request to withdraw UNIFIL forces.
France emphasized the importance of UNIFIL's presence in maintaining stability in southern Lebanon amid rising tensions.
Chanzo: Al Arabiya
Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa
Muhammad Kamel Naim, kamanda wa kikosi maalum cha Radwan cha jeshi la Hezibollah, kikosi maalum cha makombora ameuawa kwenye shambulio la Israel kusini mwa Lebanon. Pia Israel imefanya shambulio jingine, kwa mara ya kwanza kaskazini mwa Lebanon na kuua watu 22. Haijajulikana bado kama hao 22...