Ufaransa yakataa wito wa Netanyahu wa kuondoa unifil kutoka Lebanon

Ufaransa yakataa wito wa Netanyahu wa kuondoa unifil kutoka Lebanon

Unafikiri US anapendezwa na kila ujinga wa Israel? US pia hatamani akosane na washirika wake wa Ulaya kwaiyo usijedhani ataruhusu tu liwalo na liwe kwa Ufaransa.
Baada ya vita ya pili ya dunia USA ndio iliinua ulaya kiuchumi, na hata sasa nchi za magharibi haziwezi kuwa kinyume na USA, Israel ni USA na USA ni Israel, sijui kama unlielewa hilo
 
sio ufaransa peke yake wenye veto. soon hilo jeshi bovu la UN pale lebanon litakimbia lenyewe. ama la hezbollah waende wakalale kwenye kambi yao. kwa mashambulizi ya jana usiku, naogopa myahudi atakachokifanya lebanon soon. kwa sababu hawezi kukubali asitishe mapigano na kuishi na watu wenye silaha kama zile pembeni yake, lazima atataka awanyang'anye ili alale usingizi.
Hakuna myahudi atakae lala usingizi bila wino na makaratasi na kuheshimu makubaliano na wengine pale kumekucha, Gaza pekee kushusha tons 8500 za milipuko haijawahi tokea duniani lakini bado halali
 
Kwani Israel hakushiriki vita dhidi ya Assad 2011? Ila tokea Putin aingie vitani sio tu Israel ila US na washirika wake walishindwa vita hiyo. Sasa huo ubabe si angempindua Assad!! Mbona alifeli? Maana anajua Putin angeigeuza Tel aviv majivu.
Sasa Syria yenyewe mbona imegawanywa kama mkate wa slace. Kwanini Putin asiwagawanye
 
Safi sana mtoto akidekezwa hiyo ndiyo faida yake wakati anashambulia UN Gaza France na wenzake walikuwa mstari wa mbele kuwasaidia Israel, leo kashambulia wazungu mnalia lia endeleeni kumpa silaha😀
Kesho msiseme waligoma kuondoka ili wamsaidie Israel , maana hamtabiliki
 
Kwani Israel hakushiriki vita dhidi ya Assad 2011? Ila tokea Putin aingie vitani sio tu Israel ila US na washirika wake walishindwa vita hiyo. Sasa huo ubabe si angempindua Assad!! Mbona alifeli? Maana anajua Putin angeigeuza Tel aviv majivu.
Putin ameshindwa kuigeuza majivu Kiev ambayo iko km chache kutoka Kremlin ndio ataiweza Tel Aviv?!
 
Yule Mzee alipuyanga sana kuwaunga mkono magaidi ya kipalestina
Christopher Columbus alieishi miaka mingi kabla ya huyu Nyerere aliwaelewa kiundani waislam hasa katika battle yake kuikoa Portugal isiwe nchi ya kiislam,,alisema ''Muslim are vile,, treacherous and savage'' kwamba wote wanaangukia kwenye hayo maneno moja au lingine.
 
Muslim world is your nightmare!!! Am sure he will not win in a long run ....
 
Back
Top Bottom