Nickson francis
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 700
- 1,306
Baada ya vita ya pili ya dunia USA ndio iliinua ulaya kiuchumi, na hata sasa nchi za magharibi haziwezi kuwa kinyume na USA, Israel ni USA na USA ni Israel, sijui kama unlielewa hiloUnafikiri US anapendezwa na kila ujinga wa Israel? US pia hatamani akosane na washirika wake wa Ulaya kwaiyo usijedhani ataruhusu tu liwalo na liwe kwa Ufaransa.
Hakuna myahudi atakae lala usingizi bila wino na makaratasi na kuheshimu makubaliano na wengine pale kumekucha, Gaza pekee kushusha tons 8500 za milipuko haijawahi tokea duniani lakini bado halalisio ufaransa peke yake wenye veto. soon hilo jeshi bovu la UN pale lebanon litakimbia lenyewe. ama la hezbollah waende wakalale kwenye kambi yao. kwa mashambulizi ya jana usiku, naogopa myahudi atakachokifanya lebanon soon. kwa sababu hawezi kukubali asitishe mapigano na kuishi na watu wenye silaha kama zile pembeni yake, lazima atataka awanyang'anye ili alale usingizi.
Weqe bado mtoto. Haujui kusoma nyakatiUna uhakika gani? Marekani Bado ni taifa kubwa na lenye nguvu zaidi, usifikiri kutoa misaada ya silaha kwa Ukraine, Israel na Taiwan ndio sababu ya kuiona marekani imeanguka, kumbuka marekani bado haijaingia vitani
Na wakati huo huo alishawaona wapalestina ni sehemu ya maadui wetuLakini bado hakuwakubali wayahudi hata siku moja
Ni kweli yalitokeaNa wakati huo huo alishawaona wapalestina ni sehemu ya maadui wetu
Na itakuwa imesababishwa na huyo Netanyahu na isreli yake has wale mawaziriSawa na Israeli asahau kuwa na amani. Na Israeli kama inaitegemea marekani ktk hili itakala kwake maana muda si mrefu marekani haitakuwa taifa kubwa lenye ushawishi mkubwa
Kwani Israel hakushiriki vita dhidi ya Assad 2011? Ila tokea Putin aingie vitani sio tu Israel ila US na washirika wake walishindwa vita hiyo. Sasa huo ubabe si angempindua Assad!! Mbona alifeli? Maana anajua Putin angeigeuza Tel aviv majivu.Amempasua? Wapi onyesha ushahidi
Walimuendekeza sana ngoja siku aanze kupiga mabomu nchi za wazungu ndio akili ziwarudi kuwa huyu Netanyahu ni kichaa.
Sasa Syria yenyewe mbona imegawanywa kama mkate wa slace. Kwanini Putin asiwagawanyeKwani Israel hakushiriki vita dhidi ya Assad 2011? Ila tokea Putin aingie vitani sio tu Israel ila US na washirika wake walishindwa vita hiyo. Sasa huo ubabe si angempindua Assad!! Mbona alifeli? Maana anajua Putin angeigeuza Tel aviv majivu.
Kesho msiseme waligoma kuondoka ili wamsaidie Israel , maana hamtabilikiSafi sana mtoto akidekezwa hiyo ndiyo faida yake wakati anashambulia UN Gaza France na wenzake walikuwa mstari wa mbele kuwasaidia Israel, leo kashambulia wazungu mnalia lia endeleeni kumpa silaha😀
Yule Mzee alipuyanga sana kuwaunga mkono magaidi ya kipalestinaNyerere aliwasapoti palestina halafu wakati wa vita ya Idd amin palestina wakaungana na libya kumuunga mkono ghadafi
Kama wanawakinga magaidi basi washughulikiwe. Kwanza wanalinda amani gani kwenye uwanja wa mapambano?!Kwaiyo unasemaje? Wale Wafaransa pale wauawe?
Na magaidi pia hayatalala usingiziHakuna myahudi atakae lala usingizi bila wino na makaratasi na kuheshimu makubaliano na wengine pale kumekucha, Gaza pekee kushusha tons 8500 za milipuko haijawahi tokea duniani lakini bado halali
Putin ameshindwa kuigeuza majivu Kiev ambayo iko km chache kutoka Kremlin ndio ataiweza Tel Aviv?!Kwani Israel hakushiriki vita dhidi ya Assad 2011? Ila tokea Putin aingie vitani sio tu Israel ila US na washirika wake walishindwa vita hiyo. Sasa huo ubabe si angempindua Assad!! Mbona alifeli? Maana anajua Putin angeigeuza Tel aviv majivu.
Christopher Columbus alieishi miaka mingi kabla ya huyu Nyerere aliwaelewa kiundani waislam hasa katika battle yake kuikoa Portugal isiwe nchi ya kiislam,,alisema ''Muslim are vile,, treacherous and savage'' kwamba wote wanaangukia kwenye hayo maneno moja au lingine.Yule Mzee alipuyanga sana kuwaunga mkono magaidi ya kipalestina
Issue ni Damascus is intact and Assad is in powerSasa Syria yenyewe mbona imegawanywa kama mkate wa slace. Kwanini Putin asiwagawanye
Kwani hawezi piga nuclear akiamua? Si vita ingeshakua imeisha kitamboPutin ameshindwa kuigeuza majivu Kiev ambayo iko km chache kutoka Kremlin ndio ataiweza Tel Aviv?!