Ufaransa yakataa wito wa Netanyahu wa kuondoa unifil kutoka Lebanon

 
Hao Israel unaowasemea wamekula kipigo juzi hadi wakakimbilia kambi za UNIFIL.
Kuna picha na video zimeonekana vifaru vya IDF vikiwa vinatembea katikati ya vifaru vya UNIFIL.
 
Huyu Rais Macron ana matatizo makubwa Hana uwezo wa kuongoza Taifa kubwa Kama ufaransa
Ni mnafiki mnafiki Sana

Ameingia madarakani kwa Demokrasia lakini anailaumu Demokrasia
 

Attachments

  • 5851593-7378837c7eb1620f326a5dfe710427c.mp4
    12.8 MB
Sina hakika na wapi walipo hao askari wa UN but kimsingi Iran ina urafiki wa karibu sana na mataifa mengi ya middle east; unakumbuka hawa viongozi wa kidini wa Iran? Wakati wanakuja kupindua walitokea France; wakati Iran inajitafuta, kiwanda cha magari cha Peugeot kutoka Ufaransa kilifungua kiwanda chake pale pale Iran; rais wa PLO na maofisa wote wa Palestine huaga wakizidiwa, wanatibiwa Ufaransa na sio nchi nyingine. So France ni rafiki mkubwa sana na Waarabu hasa jamii ya wapinzania wa Israeli
 
Huyu anataka kutupanda kichwani kwahio yeye ndio Boss wa UN? Yani ni kama mtoto kwa kua baba ake ni mkuu wa majeshi anaamrisha watu wapige kwata na yeye baba akiondoka anasimamisha majeshi eti mbele tembea aone response
 
Hao Israel unaowasemea wamekula kipigo juzi hadi wakakimbilia kambi za UNIFIL.
Kuna picha na video zimeonekana vifaru vya IDF vikiwa vinatembea katikati ya vifaru vya UNIFIL.
dah ahaaa, wakakimbilia kambi za UNIFIL, aisee sasa hapo umejitoa akili, wakati jana walivunja geti la UNIFIL na walishawamiminia risasi wapo hospitali. sipendi wanachofanya anyway, ila kwenye vita kuna kupiga na kupigwa. Hezbollah hawapo peke yako, kuna maafisa wa jeshi wataalamu sana wa iran wapo mle ndani na ndio wanaoongoza mitambo ile na drones zile, na ndio maana popote ukiona wameuwa magaidi ya hezbollah utasikia na kamanda wa iran alikuwa pamoja nao amekufa. cha muhimu tuombe Mungu magaidi wafurushwe ili walebanon waishi kwa amani.
 
Lete ushahidi wa IDF kuwamiminia risasi askari wa UNIFIL?
Hata Israel haiko peke yake.
Intelijensia nyingi inazotumia Israel basi CIA huhusika pakubwa.
 
Lete ushahidi wa IDF kuwamiminia risasi askari wa UNIFIL?
Hata Israel haiko peke yake.
Intelijensia nyingi inazotumia Israel basi CIA huhusika pakubwa.
hadi security council of the UN wana mpango kukaa kuhusu Israel kumiminia risasi UNIFIL na wewe haujui na bado unajadili haya mambo? shida ni shule au nini.
 
Nia yake inajulikana wazi.

Upande ambao UNIFIL wapo hauhusiani na Hizbollah.

Kama anataka kufanya operations zake huo upande wanaolinda UNIFIL yeye unamuhusu nini!?
Hezibolah wanajificha huko.

Kisha wanatoka wanaenda kulipia mabomu Kisha wanakimbilia kwenye UNFIL
Kama ngao Yao kujifichia.
 
Hezibolah wanajificha huko.

Kisha wanatoka wanaenda kulipia mabomu Kisha wanakimbilia kwenye UNFIL
Kama ngao Yao kujifichia.
Huu utahira uache.
Hapo UNIFIL kuna vikosi hadi vya Ulaya.
Kwa ujinga wako Hizbollah aende akajifiche kwa hao jamaa inaingia akilini!?
Embu kuwa mtu reasonable acha kuropoka pumba.
 
hadi security council of the UN wana mpango kukaa kuhusu Israel kumiminia risasi UNIFIL na wewe haujui na bado unajadili haya mambo? shida ni shule au nini.
Kwani mie ni nani hadi nijue taarifa zote!?
Je wewe una taarifa zote kuhusu Middle East!?
 
Nyerere aliwasapoti palestina halafu wakati wa vita ya Idd amin palestina wakaungana na libya kumuunga mkono ghadafi
⚡️BREAKING: Emmanuel Macron anamkosoa Benjamin Netanyahu:

“Bwana. Netanyahu asisahau kuwa nchi yake ILIUMBWA KWA UAMUZI WA UN. Asidharau maamuzi yao.”

Matamshi haya yanarejelea hali ya kusini mwa Lebanon, inayoadhimishwa na mashambulizi ya mara kwa mara ya Israel dhidi ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa, ambayo yalisababisha kifo cha wanne kati yao.

- Le Parisien
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…