Ufaransa yakataa wito wa Netanyahu wa kuondoa unifil kutoka Lebanon

Huu utahira uache.
Hapo UNIFIL kuna vikosi hadi vya Ulaya.
Kwa ujinga wako Hizbollah aende akajifiche kwa hao jamaa inaingia akilini!?
Embu kuwa mtu reasonable acha kuropoka pumba.
Kama magaidi wanaweza kujificha nyuma ya wanawake na watoto wanashindwa vipi kutumia UNIFIL kama ngao?
 

Attachments

  • IMG_3778.jpeg
    360.6 KB · Views: 1
Mtasema yote ila kichapo kiko pale pale
 
Ndioo Emanuel macron simamia hapo hapo ,,
 
Kinchi feki na uchumi feki wa kubebwa
Afu eti kinatisha dunia siku za nyuma kilikuwa kinakuzwa na waimba kwaya, oh Israel hapo Middle East hakuna wakumchezea. Hakuna silaha inaweza kupiga Israel sababu Israel inalindwa na Mungu, vichaa kweli kumbe inalindwa na THAAD na mpaa wanajeshi wa US.

Hicho kitaifa fake kama vile bibilia zao.
 
Kwani mie ni nani hadi nijue taarifa zote!?
Je wewe una taarifa zote kuhusu Middle East!?
sasa, how can you confident to discuss something you are not knowledgeable about? unapotezea watu muda. acha wenye uelewa wajadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…