Co - CoronaHivi kama hii corona ni 'Covid-19', je kuna Covid-1-18? Kama ndio, zilikuwaje? Halafu Covid maana yake ni nini?
Covid-19 ni Code Name tu ya huo ugonjwa kama inavyotambuliwa na WHO na hakuna Covid-18/17/16 nk. Neno Covid haina maana yoyote semantically.
Hahaa kwa kweliEti wako "worried" kwa nini maambukizi ni kwa kiasi kidogo Afrika? Washindwe na walegee...
Huwa unawatetea sana wafaransa...eti walikupa nini bibie...tupe siri.Ushindwe na ulegee,na hawatakufa.Utatangulia na utawaacha wanadunda.
Covid-19=Corona Virus Disease 2019Hivi kama hii corona ni 'Covid-19', je kuna Covid-1-18? Kama ndio, zilikuwaje? Halafu Covid maana yake ni nini?
Mwaka gan kiongoziSiyo kila vijidudu vya maradhi vinashambulia kila race. SARS iliua wachina wengi pia na sidhani pia kama kuna mwafrika alidhurika. Likewise kwa mwafrika kufa kwa mafua ni ajabu na kweli. Hata huwezi jua pengine hii corona ilishatupitia na haikupata mtu.
Yale mafua ya ajabu November December na hata Januari, huleta kichwa kuuma, misuli kuuma, mifupa kuuma, wengine waliharisha sana, mwili kukosa nguvu na wengi walidhani malaria..... ilikuwa nini? Najiuliza tu!
Covid-19=Corona Virus Disease 2019
2019 cum 2020Mwaka gan kiongozi
Inachekesha kuona unasema hawamjui Mungu watu waliokuletea habari za huyo Mungu. Hao ni kati ya wazungu au waarabu ambao wanakufa kwa Coronavirus!Hahahaha, waache wafe hao wazungu! hawamjui Mungu!
π Au ndo mzigo wenyewe ulipitaπππHii Colina sio yetu safari hii wametengenezewa wachina na wairani ya kwetu ilikuwa ngoma(ukimwi) nimewakilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo 19 ni kutoka katika mwaka 2019 maana ndipo ulipokuwa detected kwa mara ya kwanza,Hivi kama hii corona ni 'Covid-19', je kuna Covid-1-18? Kama ndio, zilikuwaje? Halafu Covid maana yake ni nini?
French Revolution.Huwa unawatetea sana wafaransa...eti walikupa nini bibie...tupe siri.
Kilichokuvutia kwenye hiyo revolution ni kitu gan kiongoziFrench Revolution.
Yale mafua ya ajabu November December na hata Januari, huleta kichwa kuuma, misuli kuuma, mifupa kuuma, wengine waliharisha sana, mwili kukosa nguvu na wengi walidhani malaria..... ilikuwa nini? Najiuliza tu!
Akikujibu nitagKilichokuvutia kwenye hiyo revolution ni kitu gan kiongozi
Walisema ni Dengue Fever ile..Siyo kila vijidudu vya maradhi vinashambulia kila race. SARS iliua wachina wengi pia na sidhani pia kama kuna mwafrika alidhurika. Likewise kwa mwafrika kufa kwa mafua ni ajabu na kweli. Hata huwezi jua pengine hii corona ilishatupitia na haikupata mtu.