Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond anaingiza sh ngapi kwa wiki mbili?View attachment 2193728
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana Samia huko Marekani.
Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.
Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.
Nb: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki 😄!
Fursa Yako utaipatia umoja party endelea endelea kupambana pambana Kwanza,mambo maruzi hayahitaji haraka kitureal🤸View attachment 2193728
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana Samia huko Marekani.
Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.
Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.
Nb: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki 😄!
Halafu anakaa mwezi plus! Kipindi cha COVID alikaa Chato zaidi ya miezi 2 kundi nzima.Mbona mwendazake alikuwa anahamisha ikulu kwenda chato na watu kibaoooo....!
Acheni nongwa mwacheni mama.
Bronx,Brooklyn,Queens kuna hotel za kawaida kabisa na unafika town kirahisi...sasa 3MIL pamoja na hotel kwa siku USA kuna tatizo gani? .... huoni kama wakirudi watakuwa na salio la kutosha mfukoni ambalo watalileta huku beach kidimbwi na kugawana na wazalendo wengine...
Huu siyo wivu bali ni ushirikina kamili, ni uchawi pasee."Wivu wa kike" by The late Mkapa
Punguza wivu 😆😆😆
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana Samia huko Marekani.
Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.
Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.
NB: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki 😄!
Hiyo ml3 ni poket maney tu,hotel na vingine vyoote ubalozi ulishamaliza,Umeniwahi. Kwa exchange rate ya Leo wanapata Dola 1300 tu. Wakijifanya kula misosi kama ya home watarudi na mabegi tupu. Menu za misosi ukizikuta utadhani ni pesa kiduchu tu. Ukizibadilisha kuwa madafu hautakula. Jambo lingine ni Inflation marekani Iko juu kidogo.
Mimi kama Msanii wa fani kabisaa ninaona hii post imelenga kuchafua bila facts za msingi.
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana Samia huko Marekani.
Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.
Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.
NB: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki [emoji1]!
Ni pesa ndogo sana hio kwa wiki mbili wamedhulumiwa sana, God forbid , its unfair kbsa Million 3 Marekani kwa wiki mbili hela mbuzi kbsa hio.
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana Samia huko Marekani.
Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.
Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.
NB: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki 😄!
Hoja ya kijinga kabisa.Kuna wabeba box wangapi wanajua kucheza ngoma hilo dili si wangewapa diaspora tu.
Sasa kabla ya kuwaza wanafisadi ebu njoo na majibu kuwa fedha ni za nani. Inawezekana unapaza sauti kumbe fedha ni za mzungu wabunifu wa Royal Tour.