Mpiga Paspoti
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 309
- 1,273
Duuh!! Kienyeji kinachukua muda mrefu sana, nilivutiwa na maoni ya wengi nikaipenda hii biashara!! Ila mwaka unalea tuu..kwa mbuzi wa kienyeji inaweza kuchukua mwaka mmoja, mpaka mmoja na nusu.
..mbuzi wa kisasi pure breed, au mbuzi chotara, inaweza kuchukua miezi sita mpaka miezi minane.
Duuh!! Kienyeji kinachukua muda mrefu sana, nilivutiwa na maoni ya wengi nikaipenda hii biashara!! Ila mwaka unalea tuu
Mi natamani kufuga kondoo tu ila naona nyuzi nyingi ni mbuzi. Vipi kuhusu uzoefu kwenye kondoo?..nikipata muda nitaleta video ya jamaa toka Uganda analinganisha mbuzi wa Savanna toka Afrika Kusini, na mbuzi wa Kienyeji toka Uganda.
Mi natamani kufuga kondoo tu ila naona nyuzi nyingi ni mbuzi. Vipi kuhusu uzoefu kwenye kondoo?
Mbuzi huzaa mara ngapi kwa mwaka wadau?
Mbona kama mara nyingi sana hizi mkuu,suala la kubeba mimba,kunyonyesha kabla hajashika mimba tena linafanyika ndani ya miezi 4 tu!Kuna mahali nimesoma humu humu wanasema ni mara tatu kwa mwaka!! Nina eneo lipo kwenye wetland nzuri sana nataka nifanye kama karanch kangu japo ni hekari nane tu!!
Ila kukuza mbuzi mwaka na nusu ni hasara kwa kweli, nilijua miezi sita ningepambana kila baada ya miezi sita niuze japo mbuzi 200
Habari za leo kwanza naomba utambue kila mlaji ana uchaguzi wake wa Mbuzi saizi gani anamfaa kwa matumizi yake aliyoyapangilia. Mbuzi akisha fikisha umri wa miezi 4 kwenda mbele huyo anaweza kufaa kwa matumizi ya kuliwa, kuhusu hawa Mbuzi wetu wa kienyeji ukuwaji wao ni watatratibu sana na ndio maana kwa sasa tunashauriwa sana kuanza kuchanganya mbegu na hawa Mbuzi wa kutoka mataifa ya nnje. Mfano Isiolo/Galla. Boer,Red kalahare, Savanaha, nk.MUBENDE na wadau wote habarini??
Nimesoma uzi wote sijaona mahali palipozungumzia kuwa mbuzi toka anazaliwa mpaka kufikia kuwa mkubwa na mzuri wa kuliwa ni muda gani?? Natamani nijue hasa hawa wetu wa kienyeji!!
Hapana Mbuzi huzaa mara 2 tu kwa Mwaka na kunakipindi tunashauriwa kitaalamu asizalishwe kila mara. Kuhusu uuzaji wa mazao ya shambani kwako unapashwa kujua na kujiwekea malengo ili unapo zalisha uweze kujuwa utawauza baada ya muda gani, hapo ndipo linakuja swala la kutafuta Mbegu zilizo bora ili zikuletee mafanikio na matokeo mazuri ktk ufugaji wako. Mwisho na muhimu sana ufugaji unahitaji uvumilivu na kujituma sana ktk kusimamia mradi wako ili ukupe matokeo mazuri.Kuna mahali nimesoma humu humu wanasema ni mara tatu kwa mwaka!! Nina eneo lipo kwenye wetland nzuri sana nataka nifanye kama karanch kangu japo ni hekari nane tu!!
Ila kukuza mbuzi mwaka na nusu ni hasara kwa kweli, nilijua miezi sita ningepambana kila baada ya miezi sita niuze japo mbuzi 200
Mbuzi hubeba Mimba kwa miezi 5 na baada ya kujifunguwa anakuwa tayari kupandwa baada ya siku 30, lakini hii hutegemeana na mwili wa Kila Mnyama kwenye swala la kupevuka mayai ya uzazi.M
Mbona kama mara nyingi sana hizi mkuu,suala la kubeba mimba,kunyonyesha kabla hajashika mimba tena linafanyika ndani ya miezi 4 tu!
KigomaUpo mkoa gani?
Kobe na nyoka sidhani kama utapata watu mkuu.
Sawa Nshomile Unashindwa kutofautisha brand ya mda mrefu na beginner.Hapo morogoro mikumi mkabala na Tiger hotel kuna Jamaa anafuga nyoka na Mamba kiingilio 5000
Na anapata watu sana
Usipende kutoa comment kuponda kitu kama huna experience nacho.