Salaaam wadau....Kuchi ni ghali lakini sio kwa bei hiyo...Mimi ninao nilinunua dume kwa laki na ishirini....Vifaranga wanauza elf 25 mpaka 40
Bei ukweli ni kubwa kuliko tunavo fikiria, yani km ntaamia kuuza basi ni Tsh 1,700,000
Mkuu unamaanisha 17,000 au?
Mimi nashindwa kuelewa kinachompa kuchi hii thamani ni nini hasa....kwa bei iyo si bora ukanunue ng'ombe.
Watu wana inflate sana bei za huyu kuku. Naanza uzalishaji mkubwa wa kuchi. Ntakuwa nauza kifaranga kwa sh 1800 na wa mwezi 3000..
Bei hiyo sh 1,700,000 kwa kuku wangapi?
Mkuu hapo kwenye red ina maana hawa kuku wana uwezo wa kutabiri? kama ndivyo basi utapata soko kubwa sana maana vijana wanaliwa hela kweli kwenye football betting utasikia Aaaahh!!! mkeka umechanika.......ilikuwa bado kidogo tuu............................timu moja tuu imeharibu..........ipo siku nitamla muhindi. Sasa naona uleleta suluhishoMatumizi makubwa wa kuchi hawa ni:
1. Kupiganisha km ww ni mshabiki, baadhi ya watu wanachezeshea kamari. Lkn kuchi wa kupaganisha bei yake haifiki 800,000 .
2. Bustani, kuku hawa ndiobwana bei kubwa kuliko tunavo fikiria itatetegemea quality yake, na hii ni jambo la kawaida ktk ufugaji, kwani hata njiwa wapo pear Milion na wengine zaidi, kiufupi si kuku wa kuchinja.
[/COLOR]
Huyu kuku wa milion anataga dhahabu au?
Sexer unahitaji KUCH wangapi?!
Kuch 20
Mimi pia nahitaji kuchi wanaokaribia kuanza kutaga 20
Hizo ndo bei yake, ktk market ya Zanzibar, sasa km ww unao, nioneshe picha mm nipo tayari kununua kwa laki mbili na hamsini.
Bila kupatana