Kwahio kwanini watu wengi waziwafuge hawa na kuwauza kama kuku wa kienyeji kwa bei ya soko la kienyeji au whats the catch..., (hawafi sana, magonjwa kwao ni ya kusikia...), naona positives tu hapo na ukiweka bei ya elfu 80 kwanini watu wasifuge wawauze hata kwa 20 ?pia hawafi kwa magonjwa kama kuku wengine. dondo ,kideri wanayasikia kwa majirani
Hawa kuku wanoko Sana. Siku moja Nilikuwa naongea na simu na bosi wangu nikimweleza Kuwa siwezi kwenda kazini kwasababu tumbo limenichafuka, basi pembeni alikuwepo kuku wa Kuchi kwa sauti ya juu akasema Kama tumbo limekuchafuka meza tambara LA deki
Kwahio wanaowanunua ni kwa ajili ya mbegu na gambling (kuwapiganisha), kwahio kama mimi ninao wengi kuwauzia watu wa kupika supu sina jinsi bali kuwauza tu kama kuku wa kawaida ?Anayemhıtaji kumla hawezi kutoa elfu 80.Anayemhitaji kufuga anaweza, wale kuku ni wazıto na wanatumika na wacheza kamali kugombanishwa.Wana uwezo mkubwa wa kupgana na ukiwakuta wanapigana ni burudani.
Mimi mbona simjui kuku wa kuchi! Mimi nilifikiri kuchi ni jogoo lolote. Mwenyewe picha ya huyo kuku atuwekee hapa.
Shilingi yetu imeporomoka, lakini haijafikia kiwango hicho. Umedanganya.Wadau naomba kuuliza bei halisi ya huyu kuku, sababu nimeona link ya 2013 huko Kenya anauzwa 2000kshs, (zaidi ya elfu 80 za kitanzania) pia nimeshakutana na watu humu wana-qoute zaidi ya laki kadhaa kwa kuku mmoja.. !!!
Sasa najiuliza kwanini huyu kuku ana bei kubwa hivi ?
- Je ni mtamu kuliko wengine ?
- Je ni sababu ya uadimu wake na kama ni adimu kwanini watu wengi wasijitahidi kumzalisha kama return ya investment ni kubwa kiasi hicho ?
- Je ni kweli nikiwa nao naweza kupata mteja kwa kutoa elfu 80 au zaidi kwa kuku mmoja ?, Na huyo mteja anamfanyia nini ? ni wa mbegu, uganga au kumla mchuzi ?
Maswali mengi najiuliza bila majibu..., sababu kama kweli wateja wapo na bei ndio hio inayotajwa..., maybe am in the wrong business, niambieni na mimi niweze kufaga hawa viumbe. Ingawa my business sixth sense bado inakataa this is too good to be true.
Huko kwenu no wapi mkuu, ningependa kupata jogoo moja na tetea moja
Shilingi yetu imeporomoka, lakini haijafikia kiwango hicho. Umedanganya.
Kuchi ana umri 14month
Huyu nae kwenye picha ni kuchi? Au si wote wenye shingo ndefu? Na anakomaa kwa kawaida akiwa na miezi mingapi? Sababu kusubiri mwaka na ushee ili aanze kuproduce au kumweka kwenye kikaango itakuwa ni disadvantage
Okay kwahio tuseme hawa soko lao kubwa ni kwenye kuwapiganisha ? Hivi huwa wanakuwa mpaka kilo ngapi yaani tofauti ya hawa na kuku wa kawaida inaweza kuwa kilo ngapihuyo ndio ni kuchi,kuchi wko wa aina tofauti.huyo sasa ndo wanaotumika kwa kupigana kule sehem za india au pakistan, kwa kizungu wanaitwa Aseel.pia kuna wale midomo mifupi ambao watu wanapenda kuwaita parrot beak aseel.tafuta kwenye google Parrot beak aseel utaona picha zao.
mnauza bei gani?? na ni shilingi ngapi?? kwa kila kifanga?? ni wa muda gani mie nataka wa week mbili au tatu
kuku wa Malawi ni hybrid nadhani ambao ni weusi na upanga mwekundu uliokolea.
kuch wazuri ni wa kienyeji hawajachanganyika na ni wakubwa sana wanataga yai moja kawaida.
na hao wa Malawi wanataga na kuatamia kawaida japo si wazuri sana kama kuku wa kienyeji pure.
Malawi na kuch wanatofautiana kwa kiwango kikubwa kuanzia umbo na tabia zao.
mim nko na vifaranga vya kuchi pure vina miezi mitatu.ninauza 40,000.nipo moshi.
Natafuta vifaranga vya kuchi, nipo Dar, kama uko nao niPM please.
elf40 vifaranga wangapi
niko na vifaranga vya kuchi pure vya miezi mitatu.nipigie 0715 390738.nipo moshi.hawa ni pure kabsa.