sio wana nini cha ziada hao nini kuku wa kipekee sio kama hawa wa uswahilini..!
1-wanavutia., 2-wanakua wakubwa sana maumbo makubwa.
3-ni wakorofi sana wanaweza kupigana ata na binadamu
ha ha ha ha ha nimeipenda hiyo namba 3!nitatafuta Jogoo nilifanye 'gateman'
Huyu amekuwa mbuzi? Au kwa kuwa ana jina kuchi kuchi hotae
mbna nguruwe ni mdogo na bei yake ipo juu kuliko ng'ombe.
Me naishi kwa azizi ally mtongani njoo whatsapp 0768422758
Poa kk sbl nimtafute Malila
Nguruwe anakuwa na anaongezeka uzito na bei inakuwa zaidi ya ng'ombe upo hapo.
Daaah wabongo mna majibu y ktto sana
ha ha ha ha ha nimeipenda hiyo namba 3!nitatafuta Jogoo nilifanye 'gateman'
Me naishi kwa azizi ally mtongani njoo whatsapp 0768422758
nilikuwa nao lakini walikufa wote kwa ugonjwa.
bei ya kuchi mdogo ni elfu 30 mpka 40.
bei ya kuchi mkubwa ni elfu 80 mpka 100k
sasa kama amesema kuku ni wakorofi na wanaweza hata kupigana na binadamu kuna utoto gani kumfanya awe gateman!
Hizo bei si bora mtu ununue mbuzi? Kuku unanunua kwa 100k?
hao ndio kuku dada yangu
Nimeshindwa mimi kaka ake
Ntawasbl bei ipungue