Poultry Sayuni
Senior Member
- Sep 6, 2011
- 125
- 36
Ni RETI ama?
Yes ni RETI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni RETI ama?
Kwa wanajamii forum wote, tunauza mayai ya mbegu kwa ajili ya kutotolesha, ni kuku wazuri na wanakuwa kwa kasi pia wanataga mayai mengi sawa na layers. Waweza kuwafuga kama wa kienyeji au ukawafuga kama wa kisasa. Tuko mwanza town ukipenda waweza piga simu 0757756948 kwa maelezo zaidi
mkuu sisi hatuuzi kuku wa burundi ila sisi tunauza mayai ya mbegu kwa ajili ya kutotolesha, bei ni sh 15000 kwa tray; karibu sanaBei na jinsi ya kuwapata hao kuku wa kinyarwanda
mkuu ngaruka, yupo mtu mwanza anafanya kazi hiyo hapa mwanza, yeye anatotolesha kwa sh 15000 kwa tray naweza kukuunganisha bila shakamimi sina incubator,je hamtotoleshi wenyewe tununue vifaranga?
0757756948naomba mawasiliano yako
Na sisi watu wa Dar tukiihitaji hiyo huduma utatusaidiaje?
mkuu, kwa watu wa dar bado tunafikiria jinsi ya kuwafikia ila kwa sasa bado tunaweka mambo sawaNa sisi watu wa Dar tukiihitaji hiyo huduma utatusaidiaje?
Habari wakuu
Vifaranga bora vya kuku, Chotara ya KUCHI, KENBRO na RHODE vinapatikana
Kifaranga cha siku 1-5 2000
Tupo mbezi mwisho, mwanzoni mwa njia ya Goba
Mawasiliano zaidi - 0712 057514
Karibuni Sana tufuge
Nahitaji mayai fertilized ya kienyeji na chotara nipo Dar.
Nahitaji vifaranga Rhode, je unaweza kutuma uganda?????
naeza pata mayai ya kuchi