Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Kwa wanajamii forum wote, tunauza mayai ya mbegu kwa ajili ya kutotolesha, ni kuku wazuri na wanakuwa kwa kasi pia wanataga mayai mengi sawa na layers. Waweza kuwafuga kama wa kienyeji au ukawafuga kama wa kisasa. Tuko mwanza town ukipenda waweza piga simu 0757756948 kwa maelezo zaidi
 
Hao kuku wa Burundi ndio wakoje mkuu
Hebu fafanua kidogo, inaonekana una bidhaa nzuri na exception sana watu tukutafute
 
Mkuu, hawa ni kuku kutoka burundi ,ni wekundu kabisa na wanamaumbile mazuri pia wanataga vizuri sana. Kwa burundi wanawaita parent stock ila hapa kwetu tunawafuga kama layers yet ni productive,
 
mimi sina incubator,je hamtotoleshi wenyewe tununue vifaranga?
 
Msaada wa picha mkuu za hao kenbro..na vipi mayai unauza?kama ndio ni sh.ngapi?
 
mimi sina incubator,je hamtotoleshi wenyewe tununue vifaranga?
mkuu ngaruka, yupo mtu mwanza anafanya kazi hiyo hapa mwanza, yeye anatotolesha kwa sh 15000 kwa tray naweza kukuunganisha bila shaka
 
Na sisi watu wa Dar tukiihitaji hiyo huduma utatusaidiaje?

Kweli:
Sisi wa Dar utatusaidiaje hayo mayai ya kuku wa Burundi?
Mnakuwa mmeyachunguza kwanza na kuhakikisha kuwa MAYAI YOTE 30 yaliyomo kwenye tray ni fertile kabla ya kusambaza kwa wateja?
Pili: Ni wapi kwa hapa Dar naweza kupata huduma ya kutotoleshewa mayai?
Kama hiyo huduma ipo, ni sh. ngapi kwa tray moja?
Ufanisi (efficiency) ya hiyo incubator ikoje, >75%, >90% au?

Nikipata majibu chanya ya maswali yangu hayo hapo juu nitaagiza TRAYS 5 (mayai 150)kwa kuanzia.
 
Sifa moja wapo ya mayai bora kwa kutotolesha ni kuwa yasizidi siku kumi tangu yalivyotagwa kabla hayajaingizwa kwenye incubator. Unamthibitishiaje mkazi wa Dar kuhusu sifa hiyo?
 
Habari wakuu

Vifaranga bora vya kuku, Chotara ya KUCHI, KENBRO na RHODE vinapatikana
Kifaranga cha siku 1-5 2000

Tupo mbezi mwisho, mwanzoni mwa njia ya Goba

Mawasiliano zaidi - 0712 057514

Karibuni Sana tufuge

Nahitaji vifaranga Rhode, je unaweza kutuma uganda?????
 
Back
Top Bottom