Cleverman324
JF-Expert Member
- Nov 17, 2018
- 389
- 631
😎Mkuu kalamu mvuta bange kashafikisha 91..sio tena78..na kesho ana Oda ya Trey 6.hivyo mvuta bange ataamka sakumi alfaji kwenda kukusanyia ili ajazilizie mzigo spare pesa.vipi wewe mwenzangu unaendelea kufugia kwenye tabletNiliposema wewe ni 'bogus' sikukosea kabisa.
Mkuu 'cleverman' (sijui unau-clever gani wewe), niseme tu wazi hujui kitu chochote kuhusu ufugaji wa kuku.
Ninachokusikitikia tu, na ndiyo sababu inayonirudisha nijibishane nawe tena hata baada ya kuachana nawe, ni huku kupotosha na kuwapoteza vijana ambao wanayo nia kweli ya kujitoa kwenye maisha duni kwa njia hii ya ufugaji.
Na kama kweli uliwahi hata mara moja kufuga kuku, basi siyo ajabu hadi leo hii unaendelea kuzungukia tuuu kwenye makosa yale yale bila kupiga hatua yoyote mbele. Kwa sababu hutaki kujifunza kutokana na makosa unayofanya.
Nimalizie kwa kukwambia hivi: usijaribu kujkoga mimi na hivyo "vitafiti vya kiasili". Ninajua hujui kitu hata huko
EeeenHeeee! Eti "cross breeding"? Unajua kitu gani kuhusu 'cross breeding' wewe? Weka 'reference' hapa za kazi yako uliyoshiriki katika eneo hili ili tukusome kazi uliyofanya.
Wewe hata elimu ya mifugo kiujumla huna.
Inatosha.
Narudia tena kukuambia kuwa wewe unaongea usichokifanya.Eti uhitaji kuwa na jogoo ndiyo hao kuku watage!Mzee,kuku wa kienyeji hatagi bila kupandwa isipokuwa wapo matemba fulani huku unyamwezini wanaitwa MAHWUNGULU,lakini asilimili 90 ya kuku wa kienyeji ni lazima apandwe ndiyo atage.Unapo sikia yai halina mbengu,usifikiri huyo jike anakuwa hakupandwa,bali alipandwa bila ya kumwagiwa mbegu na jogoo.Mfano unapokuwa na majogoo wengi mara nyingi huwa na tabia za kumpiga jogoo anayepanda juu ya jike na hivyo kupelekea jogoo huyo kushushwa juu ya jike bila ya kumwaga mbegu kwa jike.Lakini wakati huo jike kwa kule tu kupandiwa mgongoni tayari ulichavusha yai.Kukuonyesha kwamba hujui unachozungumzia wewe, ni kwamba huhitaji kuwa na jogoo ndiyo hao kukuwatage.
Hili pekee linakuondolea sifa ya kuwa na taarifa kuhusu ufugaji wa hao kuku.
Kuku wa kienyeji, "genetic potential" yake hairuhusu, hata ufanye kitu gani, kwa sasa, akupe faida kibiashara, iwe ni mayai, au nyama.
Kama wewe unaamua kuwafuga kibiashara kwa maelfu, hapo sasa hilo litakuwa ni swala tofauti, tutaanza kulipigia mahesabu yake, lakini siyo kuku 10, 78, au hata 500. Hupati faida kamwe.
Sielewi niseme mara ngapi.Niseme Jambo humu...mkuu kalamu nimeshalikoka mno na nimetokea vikindu na Tenga la mitetea 13. Nawaingiza home sasaivi..nilisema na pia ntasema ili kupata faida ni kuhakikisha biashara unajiendesha yenyewe na wewe unapata hata Kama ni kidogo
Unaweka stori za kijiweni hapa, wakati mimi ninakupa sayansi ya utagaji mayai wa kuku aina yoyote ile, bila kujali wa kienyeji au wa kizungu.Narudia tena kukuambia kuwa wewe unaongea usichokifanya.Eti uhitaji kuwa na jogoo ndiyo hao kuku watage!Mzee,kuku wa kienyeji hatagi bila kupandwa isipokuwa wapo matemba fulani huku unyamwezini wanaitwa MAHWUNGULU,lakini asilimili 90 ya kuku wa kienyeji ni lazima apandwe ndiyo atage.Unapo sikia yai halina mbengu,usifikiri huyo jike anakuwa hakupandwa,bali alipandwa bila ya kumwagiwa mbegu na jogoo.Mfano unapokuwa na majogoo wengi mara nyingi huwa na tabia za kumpiga jogoo anayepanda juu ya jike na hivyo kupelekea jogoo huyo kushushwa juu ya jike bila ya kumwaga mbegu kwa jike.Lakini wakati huo jike kwa kule tu kupandiwa mgongoni tayari ulichavusha yai.
Mkuu!Kifupi wewe bado unaongea juu ya kitu usichokijua vizuri.
Inabidi nicheke tu!😎Mkuu kalamu mvuta bange kashafikisha 91..sio tena78..na kesho ana Oda ya Trey 6.hivyo mvuta bange ataamka sakumi alfaji kwenda kukusanyia ili ajazilizie mzigo spare pesa.vipi wewe mwenzangu unaendelea kufugia kwenye tablet
Aiiiseee!Faida = Ulichopata - ulichotumia.
Scenario 1. Mfugaji wa kijiji cha mtombole.
Ana kuku 70, hawalishi, wanajitaftia huko shambani kwake, hana muda nao, anauza kuku 3 mpaka 5 kwa mwezi soko la kijiji. Tsh 40,000 mpaka 50,000 anayopata anafanyia mambo yake ya hapo kijijini. Huyu kuku wana faida kwake.
Scenario 2. Mfanyabiashara jijini DSM, anamiliki kampuni ya vyakula KFS ltd(Kalamu Food Supply ltd) ana kuku 500, ana tenda ya kusupply kuku kwa bei juu ya bei ya soko katika hoteli mbalimbali, anasuply kuku 50 mpaka 100 kwa mwezi, tenda zikimzidi ananunua sokoni. Huyu kuku ana faida kwake.
Scenario 3. Mfugaji aliyesoma kuhusu ufugaji JF. Kakodi chumba, kajenga mabanda, kaweka kuku, anawalisha pumba na makombo ana kijana wa kuwaangalia, anauza sokoni. Huyu kwake inaweza kuwa biashara kichaa.
BADO HUNIELEWI NINACHOMAANISHA?
Duuh.Umeongea swala la msingi sana,kwanza hao kuku chotara au wa kienyeji wanaofugwa mjini ukimnunua ukamchinja umle ni wagumu balaa, wanacost itabidi umchemshe au umchome mwa muda mrefu ni wagumu kuiva,sijajua ni kwann ama ndo ile kwasababu wanafugwa kimjini mjini!! wanatumia mkaa mwingi ama gesi nyingi, sasa kwa maisha yetu ya mjini haya sio kweli huo muda haupo.
Je uko field au unafugia kwenye not book..ama ndio wale wa business plan..Ila ungekuwa unapajua kilwa kivinje ningekuunganisha na jamaa flani anafanya biashara ya brawn's na kukodi maboti ili umsikie.mana tuponaye tokea alifu kwa ujiti...alianza kwa hasara ndani ya miaka mnne akauza heka heka nne za ninazo singino kwa ajili ya madeni..familia ikaja juu wengine wakasema kalogwa.wakaanza kumsomea na kuuogesha kombe kwa nguvu..Ila Leo pita tu kilwa uulize kayuyu ni nani alafu ulete habari zako na nadharia hapa..wewe hujawahi kufanya biashara wewe..na pia uliza tu mabasi ya Masha Allah historian yake...Yani vijana wengi wameenda shule kukariri miterminologies ya kuzungu lakini kichwani weupe tu.elimu halusi ni elimu yetu ya mazingira ambao Kuna mbuzi inaniita Mimi mvuta bange bila hata kujua hata hiyo bange ni Nini..Aiiiseee!
Unaishi dunia ya kipekee kabisa wewe, kudhani kwamba mtu anaweza kufuga kitu chochote, achilia mbali kuku, halafu pasiwepo na gharama ya ufugaji!
Kushindwa kwako kuainisha gharama hizo haina maana kwamba hakuna gharama.
Sasa maana ya kufuga ni nini, kama hana muda na hiyo mifugo yake?
Halafu inaonyesha sasa unachosha bure, kwa ubishi tu!
hao kuku 70, halafu kila mwezi auze kuku? Hao kuku wasiofugwa wao wanaota tu kama uyoga?
Unajua kuku wa kienyeji anachukua muda gani hadi aweze kufikia kimo cha kupelekwa sokoni?
Sasa unanitia mashaka kama kweli unao uwezo wa kufikiri sawia!
Halafu angalia mfano huo wa kuku 500, eti anachukua tenda ya ku'supply', hivi ulishawahi kufanya biashara kweli?
Nimekwishakueleza hapo juu kuhusu jambo hili hili, halafu unarudia lilelile, kwamba usichanganye mtu anayefanya biashara mbili tofauti, ukaziweka pamoja na kufanya kwamba zote zimeingiza faida; lakini ni kama ninampigia mbuzi kitaa acheze!
Mwishowe inabidi niseme, kaa na ujinga wako hivyo hivyo, kama ndio unaokupa faida.
Usione uvivu, chukua kalamu na karatasi, chambua gharama zote za ufugaji wa hao kuku wako 70. Unajidanganya kusema hakuna gharama zozote, huo ni uongo
Inaonekana ni biashara kichaa kwa sababu most wanaofuga hawana capital nzuri hivyo kupata mazao machache ama wataendesha kwa hasara..kwani wengi capital za kuku wa kienyeji ni chini ya mil tano....same kwa biashara nyingine zote bila capital ya kuelewa itaonekana ni biashara kichaa pia..mfano mzuri ningekuwa na broiler 78 ningepata faida???. Niliposema kuku wamenisogeza kiuchumi sikuwa nimesinzia kwani kwa huu mradi nimenunua vitu vidogo vidogo ambavyo Sina pia mradi umefika pahala unajiendesha wenyewe bila mm kutoa pesa kwenye vyanzo vingine.mradi unazipi kujua..nazidi kuaminika na pia nakopesheka.Aiiiseee!
Unaishi dunia ya kipekee kabisa wewe, kudhani kwamba mtu anaweza kufuga kitu chochote, achilia mbali kuku, halafu pasiwepo na gharama ya ufugaji!
Kushindwa kwako kuainisha gharama hizo haina maana kwamba hakuna gharama.
Sasa maana ya kufuga ni nini, kama hana muda na hiyo mifugo yake?
Halafu inaonyesha sasa unachosha bure, kwa ubishi tu!
hao kuku 70, halafu kila mwezi auze kuku? Hao kuku wasiofugwa wao wanaota tu kama uyoga?
Unajua kuku wa kienyeji anachukua muda gani hadi aweze kufikia kimo cha kupelekwa sokoni?
Sasa unanitia mashaka kama kweli unao uwezo wa kufikiri sawia!
Halafu angalia mfano huo wa kuku 500, eti anachukua tenda ya ku'supply', hivi ulishawahi kufanya biashara kweli?
Nimekwishakueleza hapo juu kuhusu jambo hili hili, halafu unarudia lilelile, kwamba usichanganye mtu anayefanya biashara mbili tofauti, ukaziweka pamoja na kufanya kwamba zote zimeingiza faida; lakini ni kama ninampigia mbuzi kitaa acheze!
Mwishowe inabidi niseme, kaa na ujinga wako hivyo hivyo, kama ndio unaokupa faida.
Usione uvivu, chukua kalamu na karatasi, chambua gharama zote za ufugaji wa hao kuku wako 70. Unajidanganya kusema hakuna gharama zozote, huo ni uongo
Bibi zetu huko vijijini wanafuga kuku wanawaacha tu shambani huko sanasana labda wawape makombo na usiku wanalala hadi sebuleni, jikoni n.k. Embu tuachane na hizì mada bossAiiiseee!
Unaishi dunia ya kipekee kabisa wewe, kudhani kwamba mtu anaweza kufuga kitu chochote, achilia mbali kuku, halafu pasiwepo na gharama ya ufugaji!
Kushindwa kwako kuainisha gharama hizo haina maana kwamba hakuna gharama.
Sasa maana ya kufuga ni nini, kama hana muda na hiyo mifugo yake?
Halafu inaonyesha sasa unachosha bure, kwa ubishi tu!
hao kuku 70, halafu kila mwezi auze kuku? Hao kuku wasiofugwa wao wanaota tu kama uyoga?
Unajua kuku wa kienyeji anachukua muda gani hadi aweze kufikia kimo cha kupelekwa sokoni?
Sasa unanitia mashaka kama kweli unao uwezo wa kufikiri sawia!
Halafu angalia mfano huo wa kuku 500, eti anachukua tenda ya ku'supply', hivi ulishawahi kufanya biashara kweli?
Nimekwishakueleza hapo juu kuhusu jambo hili hili, halafu unarudia lilelile, kwamba usichanganye mtu anayefanya biashara mbili tofauti, ukaziweka pamoja na kufanya kwamba zote zimeingiza faida; lakini ni kama ninampigia mbuzi kitaa acheze!
Mwishowe inabidi niseme, kaa na ujinga wako hivyo hivyo, kama ndio unaokupa faida.
Usione uvivu, chukua kalamu na karatasi, chambua gharama zote za ufugaji wa hao kuku wako 70. Unajidanganya kusema hakuna gharama zozote, huo ni uongo
Ngoja nikusahihishe makosa yako, ikionyesha kwamba kisomo kiko chini kabisa; na kwa maana hiyo uelewa wa mambo unakuwa mgumu kwako.Je uko field au unafugia kwenye not book..ama ndio wale wa business plan..Ila ungekuwa unapajua kilwa kivinje ningekuunganisha na jamaa flani anafanya biashara ya brawn's na kukodi maboti ili umsikie.mana tuponaye tokea alifu kwa ujiti...alianza kwa hasara ndani ya miaka mnne akauza heka heka nne za ninazo singino kwa ajili ya madeni..familia ikaja juu wengine wakasema kalogwa.wakaanza kumsomea na kuuogesha kombe kwa nguvu..Ila Leo pita tu kilwa uulize kayuyu ni nani alafu ulete habari zako na nadharia hapa..wewe hujawahi kufanya biashara wewe..na pia uliza tu mabasi ya Masha Allah historian yake...Yani vijana wengi wameenda shule kukariri miterminologies ya kuzungu lakini kichwani weupe tu.elimu halusi ni elimu yetu ya mazingira ambao Kuna mbuzi inaniita Mimi mvuta bange bila hata kujua hata hiyo bange ni Nini..
Kwa hiyo unazo ndoto za kwenda kufanya biashara kama alivyozifanya bibi yako? Mbona unazidi kujitoa akili mkuu 'Tsh'.Bibi zetu huko vijijini wanafuga kuku wanawaacha tu shambani huko sanasana labda wawape makombo na usiku wanalala hadi sebuleni, jikoni n.k. Embu tuachane na hizì mada boss
conceited, this is what you have, it has resulted to vexing. Mpaka sasa umeandika maneno mengi sana, Inatosha.Kwa hiyo unazo ndoto za kwenda kufanya biashara kama alivyozifanya bibi yako? Mbona unazidi kujitoa akili mkuu 'Tsh'.
Kadri ninavyozidi kukusoma na maandishi yako haya, naona kama unazidi kujididimiza zaidi. Mwanzo nilidhani unaoufahamu wa kutosha, lakini sasa ni kama huna kitu kabisa?
Hakuna sababu ya kutumia nguvu kujieleza. Kalamu nimeshaelewa ni mtu wa aina gani, watu wa aina yake unachofanya ni kuchukua zuri alilosema, yale yasiyowezekana kwake unayafanya kama tahadhari na kupuuza yale ya kukatisha tamaa yasiyo na msaada katika kuyatafuta mafanikio.Inaonekana ni biashara kichaa kwa sababu most wanaofuga hawana capital nzuri hivyo kupata mazao machache ama wataendesha kwa hasara..kwani wengi capital za kuku wa kienyeji ni chini ya mil tano....same kwa biashara nyingine zote bila capital ya kuelewa itaonekana ni biashara kichaa pia..mfano mzuri ningekuwa na broiler 78 ningepata faida???. Niliposema kuku wamenisogeza kiuchumi sikuwa nimesinzia kwani kwa huu mradi nimenunua vitu vidogo vidogo ambavyo Sina pia mradi umefika pahala unajiendesha wenyewe bila mm kutoa pesa kwenye vyanzo vingine.mradi unazipi kujua..nazidi kuaminika na pia nakopesheka.
N.b nipo mkuranga asubuhi hii nilikuja kwa ajili ya tray nne nichanganye na mbili za kwangu nipeleke Oda.. nashukuru mungu biashara kichaa inanifungulia milango ya rizki..
LOo!conceited, this is what you have, it has resulted to vexing. Mpaka sasa umeandika maneno mengi sana, Inatosha.
Ukinionyesha hata moja kati ya "yasiyofaa" niliyoyataja kwenye maandishi yangu itawasaidia hao unaotaka kuwatahadharisha.Hakuna sababu ya kutumia nguvu kujieleza. Kalamu nimeshaelewa ni mtu wa aina gani, watu wa aina yake unachofanya ni kuchukua zuri alilosema, yale yasiyowezekana kwake unayafanya kama tahadhari na kupuuza yale ya kukatisha tamaa yasiyo na msaada katika kuyatafuta mafanikio.
Aiiiseee!
Unaishi dunia ya kipekee kabisa wewe, kudhani kwamba mtu anaweza kufuga kitu chochote, achilia mbali kuku, halafu pasiwepo na gharama ya ufugaji!
Kushindwa kwako kuainisha gharama hizo haina maana kwamba hakuna gharama.
Sasa maana ya kufuga ni nini, kama hana muda na hiyo mifugo yake?
Halafu inaonyesha sasa unachosha bure, kwa ubishi tu!
hao kuku 70, halafu kila mwezi auze kuku? Hao kuku wasiofugwa wao wanaota tu kama uyoga?
Unajua kuku wa kienyeji anachukua muda gani hadi aweze kufikia kimo cha kupelekwa sokoni?
Sasa unanitia mashaka kama kweli unao uwezo wa kufikiri sawia!
Halafu angalia mfano huo wa kuku 500, eti anachukua tenda ya ku'supply', hivi ulishawahi kufanya biashara kweli?
Nimekwishakueleza hapo juu kuhusu jambo hili hili, halafu unarudia lilelile, kwamba usichanganye mtu anayefanya biashara mbili tofauti, ukaziweka pamoja na kufanya kwamba zote zimeingiza faida; lakini ni kama ninampigia mbuzi kitaa acheze!
Mwishowe inabidi niseme, kaa na ujinga wako hivyo hivyo, kama ndio unaokupa faida.
Usione uvivu, chukua kalamu na karatasi, chambua gharama zote za ufugaji wa hao kuku wako 70. Unajidanganya kusema hakuna gharama zozote, huo ni
Ukufatilia maandiko yangu.sijawahi sema ni kitu rahisi. Ila inawezekana kufanikiwa...hasa ukiwa na mtaji mdogo Kama Mimi jamii haitakuelewa na itaonekana kichaa Ila ukijikaza kweli kweli basi yanawezekana.ili kujitafta unaweza ukawa na laki tano mfukoni Tena yako kabisaa Ila ukawa unashindia mihogo tu ili usife...chukua haya maneno kwa mikono miwili.wengine tunapenda story za zero to hero.LOo!
Sasa hiki kiingereza ndio tusemeje!
Tutumie muda hapa tena kunyooshana vizuri kwenye lugha hii ya kigeni?
Hapana. Acha hili liende!
Ila ninakubaliana nawe, kwamba nimeandika maneno mengi sana, lakini naona hayajasaidia kitu katika kueleza uhalisia wa hiyo biashara ya kuku, wewe na mwenzako mnayotafuta kuwapotosha vijana kuhusu urahisi/wepesi wake wa kuifanya na kupata mafanikio.
Atakayetaka kunisoma katika maneno hayo mengi na kunielewa, ataelewa ili ajipange vizuri kuifanya hiyo kazi. Siyo biashara rahisi. Ni ngumu, inahitaji uvumilivu na umakini mkubwa sana kuifanya ili upate mafanikio; kama zilivyo kazi/biashara nyinginezo zote.
Huu ndio ujumbe ninaotaka kuufikisha kwa wasomaji wote wa mada hii.