Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Kwa iyo ulivoona chap chap ukajua ukifuga Lao kesho unauza?.. Iyo nilikua naongeza chumvi kidogo kuvutia wateja..
Oooh kumbe basi sawa mdau ila ni biashara Nzuri mno kwa maisha ya sasa
 
Kama hujawahi kuwafuga usiongee maana unaweza amka ukawakuta wote wamekufa
Mkuu utakua umewapa sumu? Ila any way siwezi kukataa labda au niseme inawezekana lakini hii sio common Sana Mara nyingi watu wanafanikiwa kupitia hili dili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…