kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Ni kweli mkuu.. Mifugo haijawai muwangusha mtuMiongoni mwa vitu vinavyolipa sana kwa sasa ni kilimo na ufugaji mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu.. Mifugo haijawai muwangusha mtuMiongoni mwa vitu vinavyolipa sana kwa sasa ni kilimo na ufugaji mkuu!
Hakuna pesa ya chapchap, lazima usote kwanza,hadi kuku afikie kuuzwa hiyo bei ni miezi kadhaa, nafuga piaMkuu uku kwetu kuku 1 anauzwa 15000 na jogoo 20000 ad 25000
Unalima mazao gani mkuunikweli hata mimi naamin katika hilo, mwenyewe pia nalima......
ishukubwa ni soko tu.
Kwa iyo ulivoona chap chap ukajua ukifuga Lao kesho unauza?.. Iyo nilikua naongeza chumvi kidogo kuvutia wateja..Hakuna pesa ya chapchap, lazima usote kwanza,hadi kuku afikie kuuzwa hiyo bei ni miezi kadhaa, nafuga pia
Samahani mkuu vipi unaweza ukapiga picha ukanitumia nijue muundo wa ufugaji wako?Hakuna pesa ya chapchap, lazima usote kwanza,hadi kuku afikie kuuzwa hiyo bei ni miezi kadhaa, nafuga pia
Oooh kumbe basi sawa mdau ila ni biashara Nzuri mno kwa maisha ya sasaKwa iyo ulivoona chap chap ukajua ukifuga Lao kesho unauza?.. Iyo nilikua naongeza chumvi kidogo kuvutia wateja..
Ni kweli.. Sasa unaweza ukanipa jinsi ulivyo Anza labda naweza kujifunza kutoka kwako.. Maana mi ndo naanza hizi harakatiOooh kumbe basi sawa mdau ila ni biashara Nzuri mno kwa maisha ya sasa
Nilianza na kuku 3, na jogoo 1, sasa ivi nna kuku zaidi ya 100 na vifaranga,baada ya kuuzaNi kweli.. Sasa unaweza ukanipa jinsi ulivyo Anza labda naweza kujifunza kutoka kwako.. Maana mi ndo naanza hizi harakati
Hongera.. Vipi unafugia banda la aina gani na ukubwa gani.. Samahani naweza nikapata picha yake.Nilianza na kuku 3, na jogoo 1, sasa ivi nna kuku zaidi ya 100 na vifaranga,baada ya kuuza
Nipo safarini,ila ni ft 35 kwa 15Hongera.. Vipi unafugia banda la aina gani na ukubwa gani.. Samahani naweza nikapata picha yake. Wasap namba hii 0621294259
kwenu wapi mkuu tulete mzigo huo, hiyo nifursa.Mkuu uku kwetu kuku 1 anauzwa 15000 na jogoo 20000 ad 25000
Nimekuelewa vipi unawatoa nje au unawafugia ndani Kwa ndaniNipo safarini,ila ni ft 35 kwa 15
Unao wangap mkuu?kwenu wapi mkuu tulete mzigo huo, hiyo nifursa.
Kama hujawahi kuwafuga usiongee maana unaweza amka ukawakuta wote wamekufaNi kweli mkuu.. Mifugo haijawai muwangusha mtu
Nashukuru Kwa mchango wako vipi mkuu tupe changamoto tupate ujuzi kupitia weweNi kweli pesa tunapata ila wana changamoto hao viumbe kuna muda utatamani kulia
Na ni miezi ya jasho maana hapo madawa watakua wamechanjwa sanaHakuna pesa ya chapchap, lazima usote kwanza,hadi kuku afikie kuuzwa hiyo bei ni miezi kadhaa, nafuga pia
Changamoto ni pesa yako tu maana magonjwa yote ya kuku yote yanatibika mpenzi,ngoja nitakuja kuweka experience yangu hapa jioniNashukuru Kwa mchango wako vipi mkuu tupe changamoto tupate ujuzi kupitia wewe
Mkuu utakua umewapa sumu? Ila any way siwezi kukataa labda au niseme inawezekana lakini hii sio common Sana Mara nyingi watu wanafanikiwa kupitia hili diliKama hujawahi kuwafuga usiongee maana unaweza amka ukawakuta wote wamekufa