kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Nashukuru Agynasa umezungumzia juu ya mfumo wa joto.. Labda nipende kujua namna ya kuweka huo utaratibu..Wiki 2 zinatosha, unaweka mfumo wa joto, mama ni kwa ajili ya joto tu kama huwezi kuwatunza, jifunze kuwatenganisha wanapototolewa tu
Ulitumia njia gan mkuuNilianza na kuku 3, na jogoo 1, sasa ivi nna kuku zaidi ya 100 na vifaranga,baada ya kuuza
Hakuna madhara ila chagua kuku wakubwa waatamie mayai 20-25 kuku 1, hivyo kwa kuwa kuku wanataga mayai machache, basi yachanganye wakati huo wengine wakiendelea kutaga mayai unakula au unauza, usiatamishe kiholela, wakitotolewa kaa mwezi 1-2 ndo unaatamisha tena, fuga kisasaSawa.. Vipi Kuna madhara gani ya kuwaacha waatamie wote? Au pia Kuna faida gani za kuwaatamisha wachache?
Tupia namba yako au we unaweza ukaanzisha mkuu tupo wengi Sana mkuunaomba mwenye grup la wasap la ufugaj wa kuku ani-PM....nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyej...banda langu lina ukubwa wa 5m x 15m na vifaranga ni croiler 150
Kifaranga ndani ya siku 2 paka 3 toka aanguliwe kina uwezo wa kujitegemea atakachomisi kwa mama yake ni joto tu, cha kufanya nikuwaandalia maisha ya joto tu.Mkuu vipi Kwa usalama wa watoto si watakua bado hawajaawa na nguvu ya kujitegemea?
Nimekuelewa mkuu. Vipi Kwa upande wa chakula unawapa aina gani ya chakulaHakuna madhara ila chagua kuku wakubwa waatamie mayai 20-25 kuku 1, hivyo kwa kuwa kuku wanataga mayai machache, basi yachanganye wakati huo wengine wakiendelea kutaga mayai unakula au unauza, usiatamishe kiholela, wakitotolewa kaa mwezi 1-2 ndo unaatamisha tena, fuga kisasa
Mkuu Sawa lakini hayo maisha ya joto unayaandaa vipiKifaranga ndani ya siku 2 paka 3 toka aanguliwe kina uwezo wa kujitegemea atakachomisi kwa mama yake ni joto tu, cha kufanya nikuwaandalia maisha ya joto tu.
Walipotaga waliatamia 2 tu na wakawalea wao, mwingine akabaki na jogoo sikuwa hata na banda kubwa, wakakua 30 mara 3, nikawa na kuku 90 ndo nikajenga banda, ilichukua muda mrefu lakini, niliuza majogoo nikabakisha 5 jike 50, ndo nikaanza kufuga kibiashara, Sasa hivi natotolesha mara 1 kwa miezi 2, muda mwingi nauza mayai, kwa kweli nilianza kikawaida sana bila gharama kubwa, huu mwaka wa 5 sasaUlitumia njia gan mkuu
Nanunua chakula kulingana na umri wa kuku na kutengeneza kutumia vitu vinavyonizunguka pia, ukianza kufuga utaelewa tu, hii kitu inataka vitendo mkuuNimekuelewa mkuu. Vipi Kwa upande wa chakula unawapa aina gani ya chakula
Kuna ile njia ya kiasilia unaweka moto wenye majivu kwenye chungu nadhani chungu kikipata moto hutoa joto basi vitoto vitasogelea pale kupata joto. Nyingine ni ya kawaida unawafungua taa kwenye banda lao ile taa iwe karibu nao.Mkuu Sawa lakini hayo maisha ya joto unayaandaa vipi
Shemeji ukija kushusha nondo fanya kun mention ili na mimi nijifunze kitu hapo.Changamoto ni pesa yako tu maana magonjwa yote ya kuku yote yanatibika mpenzi,ngoja nitakuja kuweka experience yangu hapa jioni
na akitaka faida nzuri auze mayai ya kienyeji kuliko kuuza kuku mzima. inabidi ajifunze kila siku atumie mbinu bora na zenye tija kwenye uzalishaji.Hakuna pesa ya chapchap, lazima usote kwanza,hadi kuku afikie kuuzwa hiyo bei ni miezi kadhaa, nafuga pia
Ni kweli kabisana akitaka faida nzuri auze mayai ya kienyeji kuliko kuuza kuku mzima. inabidi ajifunze kila siku atumie mbinu bora na zenye tija kwenye uzalishaji.
mkuu naomba unipe michapo ya soko la znz mimi nipo znz lakini naona kiza nipe michapo nifaidikeMimi napatikana mtwara ila soko zuri lipo dar na zanzibar kwenye zile hotel kubwa kubwa ukiwa na shida ya soko nitakupa maelekezo mkuu ukapige pesa.
Sema "haki ya Mungu"Hakuna pesa ya chapchap, lazima usote kwanza,hadi kuku afikie kuuzwa hiyo bei ni miezi kadhaa, nafuga pia
Unaniambia Mimi mkuu?Nnao pure kienyeji kabisa hapa mbezi ya kimara wa miezi 4 na 5 wako 10 tu wana chanjo zote wote nauza 120000 bei haipungui kwako mfugaji nicheki 0787429104
Teh teh ama kweli wonderfulSema "haki ya Mungu"