Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Nnao pure kienyeji kabisa hapa mbezi ya kimara wa miezi 4 na 5 wako 10 tu wana chanjo zote wote nauza 120000 bei haipungui kwako mfugaji nicheki 0787429104
Mbezi sehemu gani? Nawataka wote. Una Usafiri ukawasogeza Kimara?
 
Kuku pure kienyeji ni biashara kichaa endapo unawafugia mjini na kutegemea kuwahudumia kwa chakula cha kununua. Ukitaka piga faida nzuri wafugie shamba penye eneo la kutosha uwe unapiga nusu huria muda mwingi wajitafutie chakula na virutubisho ardhini wenyewe.
 
Naomba kujuzwa kuusu Dawa inayoitwa EGG BOOSTER nimeambiwa Dawa hii ukiwapa kuku wa kienyeji huwa wanataga mayai kila siku lakini wanakuwa hawana uwezo wa kutamia Mayai

Je Wataalam jambo hili linaukweli gani?
 
Subiri waje ila nikushauri ingia group sawap fasta utajibiwa
 
Kuku wanatotoa kweli lkn sina desturi ya kutunza vifaranga hivyo wanakufa sana. Pia gharama ya chakula........shida.
Najikuta nawaachia holela tuu
 
Hahaha umlishe Kuku miez 6 then umuuze elf 15 haiingii akilini.
Ukiwa kijjn hapo sawa gharama ya chakula unaepuka. Wewe Ni dawa tuu
 
Wakuu kuku wangu wanajikunyata na wanatoa sauti kama wamekwama na kitu je tatizo nini naomba msaada wenu kabla sijawakosa wote....nimenunua sehemu tofauti na since wakutane sikuwapa kitu chochote ndio makosa nimefanya
 
Hahaha umlishe Kuku miez 6 then umuuze elf 15 haiingii akilini.
Ukiwa kijjn hapo sawa gharama ya chakula unaepuka. Wewe Ni dawa tuu

Dawa gani ndugu yangu unatumia kama kuku akiwa anajikunyata na kama ana mafua fulani....yaani anakoroma naomba msaada...
 
Dawa gani ndugu yangu unatumia kama kuku akiwa anajikunyata na kama ana mafua fulani....yaani anakoroma naomba msaada...

ningumu kujua aina ya ugonjwa hapa chakufanya muite au mpeleke kuku mmoja mgonjwa kwa mtaalamu wa mifugo usiwe bahiri kwa jambo kama hilo. Ila ingekuwa ni mafua dawa nzuri ni flu ban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…