Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

ebe545f4f733a852805a13a43a34e1e7.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hapo mkuu ila bado haijamaliziwa kujengwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
binafs kuna aina ya mbegu ya kuku hawawatotoi mayai mengi! ushauri wasubirishie mzunguko wa pili uone itakuwaje!mie huwa wanantotoa13! samtym anabakiza 1!tafuta mbegu ya kuchi! nane nane wanakuwepo nunua jike moja utakuja toa ushahd hapa! kila la heri
 
Navipi kuhusu bando hlo mkuu je linafaa kwaufugaj wa kuku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hilo uwe unawalaza tu humo! km utafanikiw litanue kias!kila la heri!alafu nahitaj kujua wewe unaawchia mayai au wakitaga unatoa?
 
Nimefuga KUKU mwakienyeji lakini sasa changamoto nikua wanachanganya sana mayai na mwisho wa siku hawatotoi mayai yote utakuta KUKU ametaga mayai 12 alafu anatoto mayai 4 tuu

Post sent using JamiiForums mobile app
nimeona wengi wamekupa ushauri lakini, mimi nimeona nikupatie ushauri wa kudumu, nunua kitabu cha uboreshaji wa Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji kwa bei nafuu sana humo utapata maelezo yote kuhusu ufugaji Bora wa Kuku wa kienyeji. tunapatikana kwa namba 0784690277 au tovuti www.tepu.co.tz.
 
binafs kuna aina ya mbegu ya kuku hawawatotoi mayai mengi! ushauri wasubirishie mzunguko wa pili uone itakuwaje!mie huwa wanantotoa13! samtym anabakiza 1!tafuta mbegu ya kuchi! nane nane wanakuwepo nunua jike moja utakuja toa ushahd hapa! kila la heri
Kuchi ni chotara? Msaaada please
 
hapana sio chotara ni mbegu kubwa tu! kienyeji pure
Asante kwa kunijibu.
Ukuaji wao upoje? Na je wanaweza taga zaidi ya mayai 20?

Na nikiamua wasiatamie je wanaweza kuendelea kutaga?

Nataka nianze kufuga ila kuna mtu alinishauri wa chotara
 
uwe unayatoa akitaga! unayahifadhi vzr! mie hua najikutra natotolesha vifarang ving kuna kuku nwavivu anaishia kutaga 7 tu! ila tafuta kuchi nane nane!(maonesho) km unakaa karibu na moro niambie nikusaidie!
hivi kuchi huwa anatamia mkuu?
 
Back
Top Bottom