Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Vipi wakifika miezi miwili si unaweza kuwahamisha watoto na kuwaacha mama zao waweze kutaga tena.. Au wewe hujawai wafanyia hivi?
Inategemea unatumia njia gani, wanalelewa na mama mmoja au unawalea peke yao bila mama zao, na umri wao uwe mmoja eti, ukiwaweka pamoja na mama wengi ni hatari pia
 
Labda unamajike ambao wote wametotoa wiki 1 Kwa Mara 1 wakishakua watoto kama miezi miwili ivi si unaweza kuwahamisha watoto upande mwingine wa banda lako?
 
Mimi nataka kuanza na majike 30 vipi unanishauri nijenge banda la ukubwa gani..
sawa anza na ukubwa wa banda kama langu, ila waatamie wachache tu au kama una incubator ni vizuri, hakikisha unawasiliana na mtaalamu muda wote kwa utunzaji wake
 
Sawa.. Vipi Kuna madhara gani ya kuwaacha waatamie wote? Au pia Kuna faida gani za kuwaatamisha wachache?
 
Labda unamajike ambao wote wametotoa wiki 1 Kwa Mara 1 wakishakua watoto kama miezi miwili ivi si unaweza kuwahamisha watoto upande mwingine wa banda lako?
Wiki 2 zinatosha, unaweka mfumo wa joto, mama ni kwa ajili ya joto tu kama huwezi kuwatunza, jifunze kuwatenganisha wanapototolewa tu
 
Back
Top Bottom