Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Miezi miwili mbona mingi sana, wiki moja paka mbili inatosha.
mimi ni hapohapo akitotoa natoa vifaranga then namwekea mayai mengine... speed ya kuzaliana imekuwa kubwa sana
 
Nimevitiwa sana mimi mwaka jana nikuwa nafuga hawa wa mitandao koroiler wanaitwa. Nilisoota sana wanamagonjwa kila kukicha, wanakula kaa wanahama, hayana habari na kutamia. Nikawauza december, nikaanza kununua pure kienyeji waswahili wanaita chep4ere wanapedwa sana kwa biashara niligundua nilipofika soko la chogo handeni nikiwa mgeni kabisa mji huu na koroiler wangu kuuza. Hapa wachuuzi toka dar ni makumi wengi mno. Nilipata wakati mgumu kwani wengi waliwaita wa kisasa na kusema nyama yao sii nzuri ka ya kienyeji. Wenye vichepere waliuza vyote hadi alipoingia mkenge tajiri mmoja wa sheli akinuwia kufuga akanunua kwa jumla bei sawa na pungufu kidogo kwa kienyeji.

Niliporudi kazi ilikuwa kutafuta chepere hadi february nilikuwa na mitetea 80 mwezi wa sita wakaanza kutaga, wasaba mwishoni nikaanza kuwaatamisha hadi niandikapo nina vifaranga wa umri tofauti 412. Nimejifunza kuku wa kienyeji ni encubator tosha, ni ngumu kuugua, garama za chakula ni ndogo sana na soko ni kubwa lao mno. Fuga kienyeji hata ukikosa hela ya chakula hujiokotea wenyewe wakisubiri upata haya mengine utaumia.
Boss embu weka timeframe vizuri tunataka kufaham inachukua muda gani mpk unawafikisha sokoni. Na picha kuonyesha hao kuku angalau tuwaone kwa muonekano
 
Habarini ndugu zangu poleni na majukumu naomba ushauri wenu kuku wangu wanataga mayai mengi kwa mfano anaatamia mayai 12 na anatotoa vifaranga wachache sana msaada wenu wapendwa wangu nini shida zaidi?
 
Hilo tatizo lilinisumbua sana kipindi naanza kufuga kuku solution ni hizi
1.Akikisha kuku wako anahatamia bila kupata bugudha ya kuku wengine hii inasababishwa endapo utakuwa na kuku wengi wanaokaa kwenye banda dogo.
2.Weka dawa ya kuua wadudu kwenye viota vyao coz wadudu husumbua kuku na kufanya asilalie mayai vizuri ..tumia dawa kama Akheri Powder n nzuri
3.Kuku wanapoanza kutaga uwe unatoa mayai na kuyaacha machache mwisho akimaliza chagua mayai mazuri ambayo yatafaa kuatamiwa muweke aanze kuraliaNB. Sio mayai yote yanakuwa na mbegu.
4.Sio kuku wote wanauwezo sawa kuangua vifaranga wengi chagua hata matemba kadhaa ambayo yapo vizuri kwenye kuangua vifaranga na yape kazi ya kuangau vifaranga mara kwa mara.
 
Unawezaje kutambua mayai bora?
 
Hakuna madhara ila chagua kuku wakubwa waatamie mayai 20-25 kuku 1, hivyo kwa kuwa kuku wanataga mayai machache, basi yachanganye wakati huo wengine wakiendelea kutaga mayai unakula au unauza, usiatamishe kiholela, wakitotolewa kaa mwezi 1-2 ndo unaatamisha tena, fuga kisasa
tATIZO NI Soko mkuu...soko linapatikana wapi? ninao wengi tuuu ila sina pa kuwauza hawa kuku wa kienyeji na ni wakubwa Mnooo.
 
Wakuu
Mimi ni mfugAji mpya ndio nimeanza now sasa naomba kuuliza kuku Wa kienyeji huwa anachukua mda gani kuanzia anapototolewa mpaka kuanza kutaga?
 
Back
Top Bottom