SACO
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 2,623
- 3,397
mimi ni hapohapo akitotoa natoa vifaranga then namwekea mayai mengine... speed ya kuzaliana imekuwa kubwa sanaMiezi miwili mbona mingi sana, wiki moja paka mbili inatosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi ni hapohapo akitotoa natoa vifaranga then namwekea mayai mengine... speed ya kuzaliana imekuwa kubwa sanaMiezi miwili mbona mingi sana, wiki moja paka mbili inatosha.
Kula muhimu nikiwa nao hamsini kwanini nisile mmoja kila baada ya miezi 3Ni kweli pesa tunapata ila wana changamoto hao viumbe kuna muda utatamani kulia
Boss embu weka timeframe vizuri tunataka kufaham inachukua muda gani mpk unawafikisha sokoni. Na picha kuonyesha hao kuku angalau tuwaone kwa muonekanoNimevitiwa sana mimi mwaka jana nikuwa nafuga hawa wa mitandao koroiler wanaitwa. Nilisoota sana wanamagonjwa kila kukicha, wanakula kaa wanahama, hayana habari na kutamia. Nikawauza december, nikaanza kununua pure kienyeji waswahili wanaita chep4ere wanapedwa sana kwa biashara niligundua nilipofika soko la chogo handeni nikiwa mgeni kabisa mji huu na koroiler wangu kuuza. Hapa wachuuzi toka dar ni makumi wengi mno. Nilipata wakati mgumu kwani wengi waliwaita wa kisasa na kusema nyama yao sii nzuri ka ya kienyeji. Wenye vichepere waliuza vyote hadi alipoingia mkenge tajiri mmoja wa sheli akinuwia kufuga akanunua kwa jumla bei sawa na pungufu kidogo kwa kienyeji.
Niliporudi kazi ilikuwa kutafuta chepere hadi february nilikuwa na mitetea 80 mwezi wa sita wakaanza kutaga, wasaba mwishoni nikaanza kuwaatamisha hadi niandikapo nina vifaranga wa umri tofauti 412. Nimejifunza kuku wa kienyeji ni encubator tosha, ni ngumu kuugua, garama za chakula ni ndogo sana na soko ni kubwa lao mno. Fuga kienyeji hata ukikosa hela ya chakula hujiokotea wenyewe wakisubiri upata haya mengine utaumia.
Unawezaje kutambua mayai bora?Hilo tatizo lilinisumbua sana kipindi naanza kufuga kuku solution ni hizi
1.Akikisha kuku wako anahatamia bila kupata bugudha ya kuku wengine hii inasababishwa endapo utakuwa na kuku wengi wanaokaa kwenye banda dogo.
2.Weka dawa ya kuua wadudu kwenye viota vyao coz wadudu husumbua kuku na kufanya asilalie mayai vizuri ..tumia dawa kama Akheri Powder n nzuri
3.Kuku wanapoanza kutaga uwe unatoa mayai na kuyaacha machache mwisho akimaliza chagua mayai mazuri ambayo yatafaa kuatamiwa muweke aanze kuraliaNB. Sio mayai yote yanakuwa na mbegu.
4.Sio kuku wote wanauwezo sawa kuangua vifaranga wengi chagua hata matemba kadhaa ambayo yapo vizuri kwenye kuangua vifaranga na yape kazi ya kuangau vifaranga mara kwa mara.
Kwanza hii siyo bongoHuo ndio ufugaji wa kienyeji sio jogoo mbili kelele
Huko kwenu wapi mkuuMkuu uku kwetu kuku 1 anauzwa 15000 na jogoo 20000 ad 25000
Hata ingekuwa Mazini bado inawezekana Bongo ishu ni ufugaji wa kienyeji unaowezekana Kenya wana mfugaji mwenye kienyeji 50,000. Bongo mtu ana kuku 100 ana keleleKwanza hii siyo bongo
tATIZO NI Soko mkuu...soko linapatikana wapi? ninao wengi tuuu ila sina pa kuwauza hawa kuku wa kienyeji na ni wakubwa Mnooo.Hakuna madhara ila chagua kuku wakubwa waatamie mayai 20-25 kuku 1, hivyo kwa kuwa kuku wanataga mayai machache, basi yachanganye wakati huo wengine wakiendelea kutaga mayai unakula au unauza, usiatamishe kiholela, wakitotolewa kaa mwezi 1-2 ndo unaatamisha tena, fuga kisasa
Wakuu
Mimi ni mfugAji mpya ndio nimeanza now sasa naomba kuuliza kuku Wa kienyeji huwa anachukua mda gani kuanzia anapototolewa mpaka kuanza kutaga?
Asantekuna uzi mmoja utafute uko humu utakusaidia.
Ufugaji wa Kuku wa kienyeji ni dili kubwa la pesa za chap chap
Ufugaji wa kuku wa kienjeyi kwa muda mfupi
Oksoma thread za nyuma kuhusu ufugaji wa kuku
Swali zuriUnawezaje kutambua mayai bora?
Hata mm nasubiria jibu piaKweli jamani msaada hilo swali ni muhimu pia kwangu, kuyatambua mayai bora
tATIZO NI Soko mkuu...soko linapatikana wapi? ninao wengi tuuu ila sina pa kuwauza hawa kuku wa kienyeji na ni wakubwa Mnooo.