Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Ratiba ya chanjo ya mdondo ni Siku ya 7, siku 21 na baada ya siku 21 utarudia kila baada ya miezi mitatu.
 
Muda mrefu nimekua mfugaji wa kuku wa mayai lskini uzalishaji upo chini.nifanyeje iluwe juu?
 
hata mimi tatizo hilo hilo mkuu na kwa bahati nzuri hawana magonjwa kabisa chanjo wanapata pia chakula chakutosha na virutubisho vyote
 
Unatumia chakula bora?
Unawapa chakula na maji ya kutosha?
Unazingatia kanuni za fufugaji bora?

Hebu utupatie mchanganuo/kanuni za ufugaji wako labda itawasaidia wataalam kukupa suluhisho
 
Wakuu habari;
Mimi ni mfanyakazi katika sekta Fulani.Nimekuja hapa kuomba ushauri na mapendekezo juu ya nitakachokiongelea hapa chini.
Wakuu kipato changu kwa mwezi ni Tsh 439,000/
Nataka nianze kufuga kuku lakini sasa sielewi nianzie wapi.Eneo ninalo la kutosha tu kwa kufugia.Mimi nipo mkoa mwingine na nakotaka kufugia ni mkoa mwingine ambko ndo nyumbni kwetu.
Baadhi ya maswali nayojiuliza ni haya;-
1.Sijawahi kuwa mjasiliamali sasa masoko nitapaje pale nitakapokuwa na kuku wengi tayali.

2.kuku naotaka kufuga ni wa kienyeji je wana soko?

3.je nitapata wadau/wateja wa kufata pale napofugia?

4.Nataka nimpe ndugu yangu huu mradi ausimamie,je ni sahihi au nimwajili mtu?
Mwisho
5.kwa kuanza nianze na kuku wangapi ?

TAFADHALINI NAOMBENI USHAURI WENU TAFAFHALI.[emoji115] [emoji115]
 
Kuku hawakosi soko
Swami je unataka kuuza was mayai au kienyeji kwa nyama tu
Hapo ndo mtihani mkuu maana kipi chenye soko mayai na nyama!Mimi kama mayai ndo yanalipa nitfanya hivyo lkn kama nyama ndo wanalipa basi nitafanya hivyo pia ndo maana nimeomba mawazo lkn mm binafsi nataka wa nyama
 
Soko linategemea na wewe unafugia wapi mkuu. Lakini bado hilo sio tatizo kwa sababu unaweza kuwapeleka sokoni mwenyewe.

Pili, haujataja unataka kufuga mkoa gani Ili watu wakushauri juu ya chakula (malighafi) na mambo mengine muhimu.
 
Nataka nifugie Dodoma, 23km kutoka Dodoma mjini barabara kuu iendayo daresalam
 
Soko linategemea na wewe unafugia wapi mkuu. Lakini bado hilo sio tatizo kwa sababu unaweza kuwapeleka sokoni mwenyewe.

Pili, haujataja unataka kufuga mkoa gani Ili watu wakushauri juu ya chakula (malighafi) na mambo mengine muhimu.
Pia swala la mmi kuwapeleka sokoni kumbuka mm ni mfayakazi nataka nimpe ndugu au niajli MTU ausimamie
 
Wakuu habari;
Mimi ni mfanyakazi katika sekta Fulani.Nimekuja hapa kuomba ushauri na mapendekezo juu ya nitakachokiongelea hapa chini.
Wakuu kipato changu kwa mwezi ni Tsh 439,000/
Nataka nianze kufuga kuku lakini sasa sielewi nianzie wapi.Eneo ninalo la kutosha tu kwa kufugia.Mimi nipo mkoa mwingine na nakotaka kufugia ni mkoa mwingine ambko ndo nyumbni kwetu.
Baadhi ya maswali nayojiuliza ni haya;-
1.Sijawahi kuwa mjasiliamali sasa masoko nitapaje pale nitakapokuwa na kuku wengi tayali.

2.kuku naotaka kufuga ni wa kienyeji je wana soko?

3.je nitapata wadau/wateja wa kufata pale napofugia?

4.Nataka nimpe ndugu yangu huu mradi ausimamie,je ni sahihi au nimwajili mtu?
Mwisho
5.kwa kuanza nianze na kuku wangapi ?

TAFADHALINI NAOMBENI USHAURI WENU TAFAFHALI.[emoji115] [emoji115]

1. Usipoanza kuwa mjasiriamali utabaki kusema "sijawahi kuwa mjasiriamali". Una wazo zuri sana, kuku wa kienyeji wana soko kubwa ukilinganisha na wa kisasa.
2. Jibu la swali hili linapatikana kwenye jibu la swali la kwanza hapo juu.
3. Kuna watu wengi wanafanya biashara ya kununua kuku mikoani na kusafirisha kupeleka Dar Es Salaam kwahiyo kama utakua unazalisha kwa wingi utakua umewarahisishia wao kupunguza gharama za kukusanya mzigo huko minadani na kwa wafugaji wadogo wadogo watakua wanakua wanachukua kwako. Consistency yako katika kuzalisha na reliability yako ndio itakua silaha yako kuwafanya wafanye biashara nawewe.
4. Ili kujibu ni sahihi au sio sahihi kumuweka nduguyo au kuajiri mtu, ni lazima ujiridhishe na uaminifu, uchapa kazi pamoja na maslahi yake pia ndugu au mwajiriwa. Yeyote anaye meet hayo hapo juu muweke na utakua uko sahihi.
5. Hii itategemea na kiasi ulichokitenga kwa ajili ya huu mradi wako wa ufugaji (umeeleza tu kipato chako cha mwezi).
6. (Hii kwako haipo), Mimi binafsi ninatamani sana ufanikiwe katika mradi wako, Mungu akubariki na akufanyie wepesi katika kukabiliana na changamoto zozote zinazojitokeza katika ufugaji.
Kila lililo jema.
 
Wakuu habari;
Mimi ni mfanyakazi katika sekta Fulani.Nimekuja hapa kuomba ushauri na mapendekezo juu ya nitakachokiongelea hapa chini.
Wakuu kipato changu kwa mwezi ni Tsh 439,000/
Nataka nianze kufuga kuku lakini sasa sielewi nianzie wapi.Eneo ninalo la kutosha tu kwa kufugia.Mimi nipo mkoa mwingine na nakotaka kufugia ni mkoa mwingine ambko ndo nyumbni kwetu.
Baadhi ya maswali nayojiuliza ni haya;-
1.Sijawahi kuwa mjasiliamali sasa masoko nitapaje pale nitakapokuwa na kuku wengi tayali.

2.kuku naotaka kufuga ni wa kienyeji je wana soko?

3.je nitapata wadau/wateja wa kufata pale napofugia?

4.Nataka nimpe ndugu yangu huu mradi ausimamie,je ni sahihi au nimwajili mtu?
Mwisho
5.kwa kuanza nianze na kuku wangapi ?

TAFADHALINI NAOMBENI USHAURI WENU TAFAFHALI.[emoji115] [emoji115]
Mkuu kuku wanaela kama madawa ya kulevya nitafutw pm nikupe mbinu alaf nikuunge kwenye magroup ya ufugaji
 
Back
Top Bottom