Aman Ng'oma
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 961
- 533
Ratiba ya chanjo ya mdondo ni Siku ya 7, siku 21 na baada ya siku 21 utarudia kila baada ya miezi mitatu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaaah pole xna subili wataalam naamini watakupa ushauli nzuli dont give upMuda mrefu nimekua mfugaji wa kuku wa mayai lskini uzalishaji upo chini.nifanyeje iluwe juu?
Ungeweka kiasi unachofuga na mayai unayopata (pacent)Muda mrefu nimekua mfugaji wa kuku wa mayai lskini uzalishaji upo chini.nifanyeje iluwe juu?
Hapo ndo mtihani mkuu maana kipi chenye soko mayai na nyama!Mimi kama mayai ndo yanalipa nitfanya hivyo lkn kama nyama ndo wanalipa basi nitafanya hivyo pia ndo maana nimeomba mawazo lkn mm binafsi nataka wa nyamaKuku hawakosi soko
Swami je unataka kuuza was mayai au kienyeji kwa nyama tu
Nataka nifugie Dodoma, 23km kutoka Dodoma mjini barabara kuu iendayo daresalamSoko linategemea na wewe unafugia wapi mkuu. Lakini bado hilo sio tatizo kwa sababu unaweza kuwapeleka sokoni mwenyewe.
Pili, haujataja unataka kufuga mkoa gani Ili watu wakushauri juu ya chakula (malighafi) na mambo mengine muhimu.
Pia swala la mmi kuwapeleka sokoni kumbuka mm ni mfayakazi nataka nimpe ndugu au niajli MTU ausimamieSoko linategemea na wewe unafugia wapi mkuu. Lakini bado hilo sio tatizo kwa sababu unaweza kuwapeleka sokoni mwenyewe.
Pili, haujataja unataka kufuga mkoa gani Ili watu wakushauri juu ya chakula (malighafi) na mambo mengine muhimu.
Wakuu habari;
Mimi ni mfanyakazi katika sekta Fulani.Nimekuja hapa kuomba ushauri na mapendekezo juu ya nitakachokiongelea hapa chini.
Wakuu kipato changu kwa mwezi ni Tsh 439,000/
Nataka nianze kufuga kuku lakini sasa sielewi nianzie wapi.Eneo ninalo la kutosha tu kwa kufugia.Mimi nipo mkoa mwingine na nakotaka kufugia ni mkoa mwingine ambko ndo nyumbni kwetu.
Baadhi ya maswali nayojiuliza ni haya;-
1.Sijawahi kuwa mjasiliamali sasa masoko nitapaje pale nitakapokuwa na kuku wengi tayali.
2.kuku naotaka kufuga ni wa kienyeji je wana soko?
3.je nitapata wadau/wateja wa kufata pale napofugia?
4.Nataka nimpe ndugu yangu huu mradi ausimamie,je ni sahihi au nimwajili mtu?
Mwisho
5.kwa kuanza nianze na kuku wangapi ?
TAFADHALINI NAOMBENI USHAURI WENU TAFAFHALI.[emoji115] [emoji115]
Mkuu kuku wanaela kama madawa ya kulevya nitafutw pm nikupe mbinu alaf nikuunge kwenye magroup ya ufugajiWakuu habari;
Mimi ni mfanyakazi katika sekta Fulani.Nimekuja hapa kuomba ushauri na mapendekezo juu ya nitakachokiongelea hapa chini.
Wakuu kipato changu kwa mwezi ni Tsh 439,000/
Nataka nianze kufuga kuku lakini sasa sielewi nianzie wapi.Eneo ninalo la kutosha tu kwa kufugia.Mimi nipo mkoa mwingine na nakotaka kufugia ni mkoa mwingine ambko ndo nyumbni kwetu.
Baadhi ya maswali nayojiuliza ni haya;-
1.Sijawahi kuwa mjasiliamali sasa masoko nitapaje pale nitakapokuwa na kuku wengi tayali.
2.kuku naotaka kufuga ni wa kienyeji je wana soko?
3.je nitapata wadau/wateja wa kufata pale napofugia?
4.Nataka nimpe ndugu yangu huu mradi ausimamie,je ni sahihi au nimwajili mtu?
Mwisho
5.kwa kuanza nianze na kuku wangapi ?
TAFADHALINI NAOMBENI USHAURI WENU TAFAFHALI.[emoji115] [emoji115]
Mayai yana solo mkuuHapo ndo mtihani mkuu maana kipi chenye soko mayai na nyama!Mimi kama mayai ndo yanalipa nitfanya hivyo lkn kama nyama ndo wanalipa basi nitafanya hivyo pia ndo maana nimeomba mawazo lkn mm binafsi nataka wa nyama
Hata mimi naomba kufahamu hizi mbinu, weka hapa nijifunze ndugu yanguMkuu kuku wanaela kama madawa ya kulevya nitafutw pm nikupe mbinu alaf nikuunge kwenye magroup ya ufugaji