Ufugaji wa ndege raha sana

Ufugaji wa ndege raha sana

Kabisa mkuu nilisha wahi kuzika vifaranga 50 Kwa muda wa week mbili,ila sasa hivi nimefanikiwa kuwakuza 70+ ila chamoto nilikiona
Mkuu una moyo mi biashara ya ufugaji ( kuku) ilinivunja moyo siitaki kabisa. Wakati nimeanza nilifuata kila step kwenye kitabu hasa chanjo, lakini walivyokuwa wanakufa nikasema nakosea nn jamani! Unamuita daktari nyumbani anakuchaji hela kubwa utafikiri hela ya kumuona daktari bingwa ili tu akuandikie dawa! Nikaachaga kuwapa chanjo waishi hivyo hivyo cha ajabu ndo wakawa hawafi nikasema hawa wanatupa chanjo kuua kuku wetu?
 
Dah ! Noma sana kufuga uwe unapenda kutoka moyani la sivyo huwezi kuendelea,mifugo huwa inakufa sana na unakua umefanya Kila kitu,ww endelea tu Ipo siku mifugo itakua na utasahau Kila kitu
 
Mkuu una moyo mi biashara ya ufugaji ( kuku) ilinivunja moyo siitaki kabisa. Wakati nimeanza nilifuata kila step kwenye kitabu hasa chanjo, lakini walivyokuwa wanakufa nikasema nakosea nn jamani! Unamuita daktari nyumbani anakuchaji hela kubwa utafikiri hela ya kumuona daktari bingwa ili tu akuandikie dawa! Nikaachaga kuwapa chanjo waishi hivyo hivyo cha ajabu ndo wakawa hawafi nikasema hawa wanatupa chanjo kuua kuku wetu?
Mkuu, mimi dawa kuu ni muarobaini,alovera+pilipili[emoji23][emoji23]
hzo nyingne ni ziada tu hzi za kidhungu kwakweli[emoji848]

hata ukimwi unabustiwa na ARV.
(usifuate maneno yangu lakini) [emoji4]
 
Mkuu hiyo aya ya mwisho tufahamishe vizuri bwana inawezekana tuko gizani 😆😆

Kweli aloe vera nina ushuhuda nayo ni dawa safi ya kuku
 
Mkuu una moyo mi biashara ya ufugaji ( kuku) ilinivunja moyo siitaki kabisa. Wakati nimeanza nilifuata kila step kwenye kitabu hasa chanjo, lakini walivyokuwa wanakufa nikasema nakosea nn jamani! Unamuita daktari nyumbani anakuchaji hela kubwa utafikiri hela ya kumuona daktari bingwa ili tu akuandikie dawa! Nikaachaga kuwapa chanjo waishi hivyo hivyo cha ajabu ndo wakawa hawafi nikasema hawa wanatupa chanjo kuua kuku wetu?
Pharmaceutical industry huwa haipo kwaajili ya kuponesha bali kwaajili ya kutengeneza pesa.

#MaendeleoHayanaChama
 
[emoji23] mkuu yoteyametimia ktk post #48, ni kwamba tusiziamini sana dawa za kizungu 100%. Nusu ni dawa, nusu ni sumu! ..hili unalijua.. nikielezea zaidi ya hapa, nitakuwa nje ya mada
Wafungue macho tu kwa msaada zaidi..humu humu tunajifunza mengi.

Pia vipi ushawahi kuwaza kufuga bata mzinga??

#MaendeleoHayanaChama
 
nilichopenda ktk uzi huu, watu wapo real. hakuna zile story za motivation za kimchongo .....ati ooh nilianza na kuku wawili na kanga mmoja, sasa hivi naingiza milioni tano kwa mwezi.
Wale jamaa kwenye mafanikio wanakuaminisha kuwa kila kitu kiko straight wakati kuna changamoto kibao...ambazo usipo kuwa na roho ngumu hutoboi.

Kwenye ufugaji passion ndio suala la msingi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuruka huwezi kuwazui hata kama unauzio wanaruka mpaka juu ya bati mm wangu nilikua nikiwafungulia tu asubuhi wanarukia juu ya mchikichi ,pia wanaakili sana na wahisia Kali, pia wanatambua hata mgeni akija nyumbani,ila wakitotolewa na kuku kidogo tabia zao zinafanana kidogo na kuku,
Mgeni akiingia huwa wanapiga kelele sana, nikiangalia vichwa vyao na midomo yako siwezi amini kama ni wao ndo wanatoa kelele zote zile.

Kwenye swala la kelele nawaaminia, walikuja kuleta kasumba ya kukesha wanapiga kelele usiku mzima, na kibaya zaidi walikuwa wanalala uelekeo wa dirisha la chumba changu, nilianza kula mmojammoja mpaka wakabaki 8 tu.

Nina bata pia, napenda nyama zao zilivyojishindilia, na ni nyekundu kama za ng'ombe tu (zikiwa mbichi).
 
Back
Top Bottom