Rukube
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 245
- 477
Mkuu wakiwa wadogo ni mtihani,wanakumbuka na wanarudi , mbona hata Sungura huwa nawaachia wanatembea na wanarudi ila nimesema tabia zao Kwa ujumla Ili kumpa mvugaji AbcSio hawakumbuki kwani wao hawana akili wakae waliwe [emoji38][emoji38]