Mathematician
JF-Expert Member
- Nov 8, 2009
- 327
- 109
waliwe na nani mbona husemi?
na je mbwa na nguruwe nani haramu
Simba, chui, mbwa mwitu e.t.c
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waliwe na nani mbona husemi?
na je mbwa na nguruwe nani haramu
kwenye suala la kujikwamua na umaskini, dini staki inifunge kwa hili
cha kushangaza mtu hafugi nguruwe, lakn anakuwa na bar au guest
si ni yaleyale tu!
kwenye suala la kujikwamua na umaskini, dini staki inifunge kwa hili
cha kushangaza mtu hafugi nguruwe, lakn anakuwa na bar au guest
si ni yaleyale tu!
yaleyale but you can leave them both. Millions of things to do. Ufuta, dengu, matikiti maji, maboga, mihogo, biashara za mitumba/duka, ufugaji wa mbuzi, ng'ombe, kondoo, kuku wa aina tofauti, mbaazi, mpunga n.....k..... havitoshi?
Ndugu ukitaka kutajirika haraka we fuga nguruwe.Nguruwe wana kwato zilizopasuka katikati ili waweze kuchimbua ama kuparua mizizi(kama ungesoma sayansi na maumbile ungejua), na pia hawacheui kwasababu hawana mfumo wa watumbo matatu( chew the cud) kama mbuzi au ng'ombe ambao hula zaidi majani(yana cellulose ngumu kumeng'enywa tumboni hivyo mbuzi, ng'ombe na kadhalika huitaji kucheua na kutafuna tena), kwa nguruwe chakula kikuu ni vitu asili ya mizizi, viazi.
Pia nyama ya nguruwe ni nyama nzuri kiafya kwa sababu si nyama nyekundu sana na ni rahisi kumeng'enywa.Nguruwe pia wana magojwa kama homa ya nguruwe, minyoo.Lakini ng'ombe wana magonjwa maengi na hatari zaidi kuliko nguruwe kama sotoka , minyoo, TB,kichaa cha ng'ombe,homa ya bonde la ufa.Pia nyama ya ngombe ni nyekundu na ngumu, inaweza kusabisha bawasili( kutoka nyama sehemu ya haja kubwa) na pia kusabisha kukosa choo.
Kula kitimoto asubuhi, mchana na usiku.Ni tamu, haikinai na pia ni nzuri zaidi kwa afya kuliko nyama ya ng'ombe!
Tafuta humu kuna uzi unazungumzia vizur mimi nimesha anza na ngurue wadogo 30 ila ujiandae mkuu
Astakaghafullilah.mode post zingine zizingatie mwezi husika.
wanajamvi hatimaye nimekutana na wafugaji wenye experience zao linapokuja suala la ufugaji wa nguruwe,nimepigwa lecture ya kutosha kabisa na kwa mtaji wangu ni mkubwa tu kwa kuanza na idadi ya majike 20 kama wadau wengine walivyoshauri hapo juu,thanks to all mliochangia na mtakao endelea kuchangia wacha mie nikafanye utekelezaji..
Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000
Banda la mabanzi=1,000,000
Chakula = 1,000,000
Dawa= 200000
After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,
utachakuwa vitoto jike 100,
mama zao wote watauzwa, huku shambani kwetu nguruwe
mkubwa ni Tsh 200,000 tu, utapata 4,000,000
After 2yrs: Nguruwe 100 wanaweza kuzaa 700
Kati ya 700 chagua majike 500,(unaweza kuuza watoto dume ukanunua jike)
Year 3: Nguruwe 500 watazaa watoto 3500, chagua watoto 1500 tu
Kutoka hapo unamentein Number 1500, kila mwaka unaweza kuuza
watoto zaidi ya 3000, na nguruwe wakubwa 1500
1500*200000= Tsh 300,000,000/= kwa mwaka
Nusu ya hiyo pesa ni gharama zingine, unabaki na 150mil.
Welcome to the club
Kabla hujajitumbukiza kaone mifano, au nenda sokoine ukaonane na wataalamu.
Kila mwaka nalima Mahindi, alizeti, maboga ekari 30 kwa ajili ya chakula cha
Nguruwe tu.
nakupenda saana mpwa,
Ndio maana nmekua addicted huku.kina vitu vizuri kwelii.naahidi kulifanyia kazi hili mpwaa