Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

kwenye suala la kujikwamua na umaskini, dini staki inifunge kwa hili
cha kushangaza mtu hafugi nguruwe, lakn anakuwa na bar au guest
si ni yaleyale tu!
 
kwenye suala la kujikwamua na umaskini, dini staki inifunge kwa hili
cha kushangaza mtu hafugi nguruwe, lakn anakuwa na bar au guest
si ni yaleyale tu!

yaleyale but you can leave them both. Millions of things to do. Ufuta, dengu, matikiti maji, maboga, mihogo, biashara za mitumba/duka, ufugaji wa mbuzi, ng'ombe, kondoo, kuku wa aina tofauti, mbaazi, mpunga n.....k..... havitoshi?
 
kwenye suala la kujikwamua na umaskini, dini staki inifunge kwa hili
cha kushangaza mtu hafugi nguruwe, lakn anakuwa na bar au guest
si ni yaleyale tu!

:smile-big: Wenzenu wanapofanya ufisadi mnalalamika, na wao hawataki dini iwafunge kwenye kujikwamua :smile-big:
 
yaleyale but you can leave them both. Millions of things to do. Ufuta, dengu, matikiti maji, maboga, mihogo, biashara za mitumba/duka, ufugaji wa mbuzi, ng'ombe, kondoo, kuku wa aina tofauti, mbaazi, mpunga n.....k..... havitoshi?

Ndugu ukitaka kutajirika haraka we fuga nguruwe.Nguruwe wana kwato zilizopasuka katikati ili waweze kuchimbua ama kuparua mizizi(kama ungesoma sayansi na maumbile ungejua), na pia hawacheui kwasababu hawana mfumo wa watumbo matatu( chew the cud) kama mbuzi au ng'ombe ambao hula zaidi majani(yana cellulose ngumu kumeng'enywa tumboni hivyo mbuzi, ng'ombe na kadhalika huitaji kucheua na kutafuna tena), kwa nguruwe chakula kikuu ni vitu asili ya mizizi, viazi.
Pia nyama ya nguruwe ni nyama nzuri kiafya kwa sababu si nyama nyekundu sana na ni rahisi kumeng'enywa.Nguruwe pia wana magojwa kama homa ya nguruwe, minyoo.Lakini ng'ombe wana magonjwa maengi na hatari zaidi kuliko nguruwe kama sotoka , minyoo, TB,kichaa cha ng'ombe,homa ya bonde la ufa.Pia nyama ya ngombe ni nyekundu na ngumu, inaweza kusabisha bawasili( kutoka nyama sehemu ya haja kubwa) na pia kusabisha kukosa choo.
Kula kitimoto asubuhi, mchana na usiku.Ni tamu, haikinai na pia ni nzuri zaidi kwa afya kuliko nyama ya ng'ombe!
 

:shetani: Huyu umemtawalisha nafsini mwako. Waweza kuta mtu kama huyu wikiendi kakomelea suti safiiii na mkononi ananing'iniza Bible...kumbe mhhh!! Mashariki na magharibi.
 
Samahanini wajasiliamali...mm nina eneo kubwa huko kiluvya kama nusu heka hivi ninataman sana kuanza ufugaji wa nguruwe...nilikua naomba ushauri wenu nini cha kuzingatia kabla ya kuanza.....utengenezaji wa mabanda yao upoje...soko lao lipoje...magonjwa yao ni yapi....changamoto zote kwa ujumla upoje na faida zake je ni nn? Asanteni sana...
 
Astakaghafullilah.mode post zingine zizingatie mwezi husika.
 
Tafuta humu kuna uzi unazungumzia vizur mimi nimesha anza na ngurue wadogo 30 ila ujiandae mkuu
 
Sidhani kama ni,kweli,nguruwe ni heavy feeder kitu cha muhimu ni kujua kiwango anachohitaji kula kwa siku, hapa ndo huwa shida kwani wengi wetu huwa hatujua kiwango anachohitaji kula kwa siku, so huwa tunawapa tu nao hula bila kukataa, nijuavyo mimi nguruwe wa miezi 6 anahitaji si zaidi ya 3kg of feeds pee day
 
Kuna breed ya nguruwe nilisikia inazalishwa songea+mbeya, nguruwe anafugwa 3 months anakua ready for sale.
Hivi hii ina ukweli wowote.
Cc Malila
 
Last edited by a moderator:
Mmh Amoeba umenichallenge kusema kweli kwa nguruwe 200 kwa mwezi kwa iyo bei. Ni
40,000,000 per month. 20, 000,000 ikirudi katika biashara. It means average 20,000,000 per month.
Average of 120,000,000 per year. Alafu kweli tunalalamika. Kazi kazi. Hajamuibia mtu ni kujishusha tuu kukubali hali. Utoke. Respect Amoeba..... lakin i believe sijachelewa. Tayari mchakato umeanza.
 

project ilifikia wapi?
 
Unategemea kufuga wapi?gharama za chakula zinategemea ulipo.
Nguruwe mmoja mkubwa anakula 2-3kg za mchanganyiko wa chakula(sio pumba tu!).kwa dar hiyo ni kama tshs600/kg.piga hesabu hapo kaka.ukihitaji ushauri zaidi nambie maana mie nafuga for a while now
 

Ndio maana nmekua addicted huku.kina vitu vizuri kwelii.naahidi kulifanyia kazi hili mpwaa
 
Ndio maana nmekua addicted huku.kina vitu vizuri kwelii.naahidi kulifanyia kazi hili mpwaa

nawe umo mimi hapa nina majukwaa mawili tu hili na international, haya ndo yatanitoa tu sio kuzungumzia vitz na hummer ukiwa kwenye kachumba kamoja na harrier. hapa ukikoma mbona unakuwa billionea ndan ya mwaka, yaan kwa hesab hizo hela ya kununua harrier nikiziwekeza baada ya mwaka nanunua escalade na change inarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…