Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Nimeanza na laki 5 kwa sasa nna nguruwe 30. Nimefungua baa yenye duka la vinywaji pia hapo hapo baa nimemwajiri kijana anayechoma nyama ya kitimoto. Kila siku nachinja nguruwe mwenye uwezo wa kutoa kilo 200-250. kilo moja sh. 10,000.

Baa yako iko maeneo gani hapa Kigoma na inaitwaje? Nataka nije kula kitimoto hapo kila weekend.
 
yalimo tujuze hiyo aina ya nguruwe inayotoa kiasi kikubwa ili nasi tujikwamue toka wimbi kubwa la umasikini. Tuwekee na picha tafadhali.
 
Nakuunga mono na mguu kabisa. Watu wa vyuon wana matumiz mabaya ya fedha na kudanganyana ya kwamba wakimalza watapata ajira za mishahara minono. Hahahaaaa. Kama unataman kujiajiri, fungua lacksontungaraza.blogspot.com


watu chuo kikuu wanalia na ajira kumbe ni kukosa mtazamo na uthubutu. wengi wakihitimu ni waoga mno. pia huwa hawana despline ya fedha kipindi wawapo chuoni. hakuna ajira nzuri kama kujiajiri.
 

This is inspiring mkuu
 
safi sana kijana mwenzangu hata mm nipo kwenye hyo project ya kufuga nguruwe Nina eneo kama heka 4.mm nipo mbeya lakn nataka niwafugie huko kijijn kwetu njombe.nguruwe wanastawi sana ukiwafugia polini.kikubwa we hapo uangalie chakula kama upatikanaji wake ni waraisi
 
Asante kwa mchango wako mkuu
 


Kwa walio mikoani pia tunawaagizia

KARIBUNI SANA.
 

Attachments

  • drinkers.jpg
    37.2 KB · Views: 108
  • 20160126_100645.jpg
    197.7 KB · Views: 120
  • 20160126_100715.jpg
    161.3 KB · Views: 118
sasa mkuu ninavyofaham mm nguruwe ni mualibifu..hcho kidude si ataanza kukivunja vunja.. alafu hili nguruwe akue vizur ni vizur akiwa kwenye banda ambalo chini limechapiwa zege au banda la juu la mabanzi
 
sasa mkuu ninavyofaham mm nguruwe ni mualibifu..hcho kidude si ataanza kukivunja vunja.. alafu hili nguruwe akue vizur ni vizur akiwa kwenye banda ambalo chini limechapiwa zege au banda la juu la mabanzi
ni chuma fulani.

swissme
 
sasa mkuu ninavyofaham mm nguruwe ni mualibifu..hcho kidude si ataanza kukivunja vunja.. alafu hili nguruwe akue vizur ni vizur akiwa kwenye banda ambalo chini limechapiwa zege au banda la juu la mabanzi
Mkuu, pamoja na uharibu wa nguruwe lakini hakuna nguruwe anayeweza kutafuna chuma kwakuwa hivyo ni vyuma tena vigumu. Hizo drinkers unaweza kuzitumia hata ukiweka mabanzi hakuna shida kabisa, karibu sana mkuu.
 
Asante kwa kukumfahamisha. Ukihitaji au unaweza mwambia ndugu jamaa au rafiki anayefuga kuwa zinapatikana kwa bei nafuu kabisa

Namba yangu: 0625504952
mkuu hivi bei ya kuuzwa nguruwe mkubwa ni shi ngapi?
nataka kwanza kifahamu hiki labda kitanipa na mimi hamasa ya kuanza kufuga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…