Fuga Kisasa
Senior Member
- Jan 16, 2016
- 165
- 91
Ni kati ya laki mbili na nusu mpaka laki tatu na nusu, kuna mdau humu ndani anaitwa @MalafyaleP huwa anafuga na kuuza nguruwe. Karibu sanamkuu hivi bei ya kuuzwa nguruwe mkubwa ni shi ngapi?
nataka kwanza kifahamu hiki labda kitanipa na mimi hamasa ya kuanza kufuga.